Ndoa na kazi ipi bora?

Ndoa na kazi ipi bora?

Wasikutishe, wale ni waoga tu wa maisha ambao hawataki kulima wala kufuga; unaonaje ukinipatia vipacha viwili huku tukisubiri ndoa?
Hata kulima / kufuga ni kazi as long as mkono unaenda kinywani.

Nikuzalie Ili nigundue nini??? Watoto wa Baba chanja wangu wanitosha mi!
 
Hata kulima / kufuga ni kazi as long as mkono unaenda kinywani.

Nikuzalie Ili nigundue nini??? Watoto wa Baba chanja wangu wanitosha mi!
Njoo huku shambani tufuge na kulima tuachane na kazi za kuitana mabosi.
Ukizaa huku, utapata mbegu bora kwa sababu ata mkulima na mfugaji hutafuta mbegu bora itakayotoa mavuno ya kuvutia walaji.​
 
Njoo huku shambani tufuge na kulima tuachane na kazi za kuitana mabosi.
Ukizaa huku, utapata mbegu bora kwa sababu ata mkulima na mfugaji hutafuta mbegu bora itakayotoa mavuno ya kuvutia walaji.​
Sheeeendwahh! Nina mbegu bora na matratraa sana kiasi kwamba nikifyatua alooooooooooohhh😂😂!
 
Ushauri upo hivi ni vizuri mke akiwa mbali kwa maana unaepushwa na madharau napia kwasababu akiwa nakazi kuombwa pesa ni kidogo sana kwanini umuachishe kazi awe anakusumbua
Huu ushauri ungetolewa na mwanaume ningeuzingatia
 
Kazi ndiyo ndoa, hizi za kanisani na bomani ni mbwembwe tu. Kazi ndio msingi wa maisha ila ndoa sio msingi wa maisha. Penda kazi yako, kama ndoa inaleta pingamizi "piga ndoa chini ".
Hii comment mbona imekaa kiukali kali sana.
 
Back
Top Bottom