Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,029
- 61,933
Kama mke analipwa zaidi ya million 2 kwa mwezi basi Sawa awe Tu mbali ila sio awe mkoa mwingine af mshahara laki nne
Kama hakuna umuhimu,Mke awe Mama wa Nyumbani tu,
Aangalie Nyumba,Mumewe na watoto wake,
Kama kuna umuhimu wa Mke kufanya kazi,basi iwe ni kazi ya kwenda asubuhi na kurudi home mchana au jioni.
Muhimu;Mume ajitahidi kutimiza majukumu ya nyumbani na kumtimizia mkewe ili mke asione umuhimu au ulazima wa kufanya kazi.
Mfano, umemkuta tayari mkeo ana kazi mkoa mwingine kabla ya kuoana, je utamuachisha kazi?
Utakuwa tayari kwa matokeo yoyote yatakayo sababishwa na huo umbali?Kama mke analipwa zaidi ya million 2 kwa mwezi basi Sawa awe Tu mbali ila sio awe mkoa mwingine af mshahara laki nne
Inategemea na uchumi wako. Na pia wategemezi alionao mkeo.
Maana wanawake wengine wamebeshwa majukumu ya kutunza wazazi wao na wadogo zake
Kwa mazingira hayo, utakuwa uko tayari kubeba 'risk' yoyote itakayo sababishwa na umbali?
Ikitokea akapata uteuzi wa kwenda huko mbali, utamzuia?Kwa mimi siwezi kubeba risk ndio maana naishi nyumba moja na mke wangu.
Sina ujinga wa kufunga ndoa za bluetooth, ndoa hewa
Ikitokea akapata uteuzi wa kwenda huko mbali, utamzuia?
Hivi mke akiwa mama wa nyumbani tu mara paaap, baba ambaye ndio provider akafariki huyo mama anaanzia wapi kutunza familia?? Au ndio ile unaona mume kafariki leo mke wiki ijayo anaanza kudanga,.Kama hakuna umuhimu,Mke awe Mama wa Nyumbani tu,
Aangalie Nyumba,Mumewe na watoto wake,
Kama kuna umuhimu wa Mke kufanya kazi,basi iwe ni kazi ya kwenda asubuhi na kurudi home mchana au jioni.
Muhimu;Mume ajitahidi kutimiza majukumu ya nyumbani na kumtimizia mkewe ili mke asione umuhimu au ulazima wa kufanya kazi.
Na je kama unachepuka, hapo itakuwaje?Ushauri upo hivi ni vizuri mke akiwa mbali kwa maana unaepushwa na madharau napia kwasababu akiwa nakazi kuombwa pesa ni kidogo sana kwanini umuachishe kazi awe anakusumbua
Kudanga ni tabia ya mtu,wala haihusiani na shida ya maisha,kudanga ni sawa na tabia ya wizi,mtu mwizi hata akiwa na hela ila ataiba tu,Hivi mke akiwa mama wa nyumbani tu mara paaap, baba ambaye ndio provider akafariki huyo mama anaanzia wapi kutunza familia?? Au ndio ile unaona mume kafariki leo mke wiki ijayo anaanza kudanga,.
Kwahiyo kufa huwa tunaanza Sisi wanaume tu?Hivi mke akiwa mama wa nyumbani tu mara paaap, baba ambaye ndio provider akafariki huyo mama anaanzia wapi kutunza familia?? Au ndio ile unaona mume kafariki leo mke wiki ijayo anaanza kudanga,.
Hayo yanatakiwa kua ni mapatano yenu kabla hamjaoana.Mfano, umemkuta tayari mkeo ana kazi mkoa mwingine kabla ya kuoana, je utamuachisha kazi?
Kwa hiyo, mke aliyesomeshwa na wazazi wake unataka awe mama wa nyumbani?Unafiki ni mwingi sana ,kama utaoa mtumishi mambo ya ndoa sahau ...Maisha ya kazi yanajulikana ,kazi zina majukumu kila siku .
Ukweli ni kwamba ,mke na mume wakiwa wanafanya kazi basi wanakuwa na malengo tofauti ,tena malengo binafsi ,kila mtu anataka kupanda cheo na kufanya vizuri kazini kwake .
By the way ,fanye kile unachoona kinafaa ,ukweli utabaki pale pale ; mke anayefanya kazi sio mke ,tena akiwa mkoa wa mbali ,inakuwaje mke anaishi mkoa tofauti na wewe?
Hayo mengine ,sijui kusaidiana ,mme akifa Watoto watapata tabu ni mambo ya kufikirisha ,hayana uhusiano kabisa na mke kutofanya kazi.
Ninachokuambia kusoma hakuna uhusiano na kufanya kazi ,haya mambo zamani waliwezaji basi katika ulimwengu wa sasa ,wote wanafanya kazi ni ubatili kufunga ndoa.Kwa hiyo, mke aliyesomeshwa na wazazi wake unataka awe mama wa nyumbani?