Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,112
- 55,529
Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi.
Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake.
Hii imekuwa ikiathiri taasisi ya ndoa na kupelekea upendo kupungua na kuongeza dhambi ya uchepukaji ndani ya ndoa.
Waume wamekuwa wakimaliza hamu zao na kuzaa nje huku pia wake zao nao wakimaliza hamu zao pamoja nakuzaa watoto nje.
Mwisho wa siku ndoa inakuwa na doa.
Sasa tuchague, ndoa ama kazi ipi ni bora?