Ndoa mpya.

Ndoa mpya.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Hizi hufanyika kipindi cha mwanzo mwanzo tuu.
1.jpg
 
Kwa raha zake bi dada awekwa hair relaxer...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Unadhani anapenda kufanya hapo? Chezeiya kuombwa hela ya saluni? Bongo kuritachi saluni ya kitaa hukawii kukuta buku 5 dawa yako. Jamaa anaokoa wallet hapo, lol. Sasa bakieni kushoboka, mie paw wangu hahitaji kufanya hayo manake anaafford kunipa hela ya saluni
 
Halohalooooooo kwa raha zako shosti......mwanamke kupendeza ati tena yahitaji gharama lol

Back
Top Bottom