Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,217
- 34,447
Wewe ni mdhaifu.Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume wake wa zamani kufahamu huyu mwanamke ana mwanaume mwingine siku moja akaniambia kwamba huyu mwanamke huwezi kuja kumzalisha maisha yako yote hata iweje.
Ndugu zangu mpaka leo huyu mwanamke amepata mimba mara 3 ila zote zimetoka. Sasa baada ya hapo mwanamke akaanza kunidharau na kuniambia kwamba sina mbegu za kumzalisha. Me kama mwanaume nikapoteza confidence nikaenda kupiga nje na nimepata mtoto vizuri bila shida kabisa
Sasa amekuja kugundua kwamba me nimezaa nje ila nilivumilia mateso yote na maneno yote ya mateso na alikuwa muda wote ananidharau sana na kusema hata iweje umenikuta na mtoto na taka usitake siwezi kuacha kuongea na baba wa mtoto.
Akinikuta nakunywa anamwaga drinks zote kwenye sink.
Sasa jana usiku nimepigwa vyupa vibaya sana damu nyingi zimetoka sababu anataka tuwe tunatumia password moja, ameingia kwenye simu amekuta yule mwanamke mwingine mwenye mtoto amenitumia picha za mtoto.
Baada ya hapo akanitukania wazazi wote na kuwaita Idiots familia nzima pamoja na mimi...
Nilikuwa tu naomba ushauri nini cha kufanya ila tumeenda hospitali tumegundua zile mimba 3 alipata moja imeziba mirija yake ya uzazi so hawezi pata mimba kwa njia ya kawaida.
Naombeni ushauri wenu tafadhali kwa hili suala.
Je, bora niondoke?
Kwa akili hizi, acha tu uendelee kunyooshwa.Soma nini nimeandika usiniulize maswali ya kipuuzi....Nilishasema nimemkuta na mtoto...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sijui kuhusu familia yako but kwa wewe kama wewe ni kweli you are an idiot!
Ndo maana unapigwa vyupa.Soma nini nimeandika usiniulize maswali ya kipuuzi....Nilishasema nimemkuta na mtoto...
Sema kaka inaonekana ULIZAMA KABISAAA pole sanaAsante sana mkuu nashukuru sana na mitafanya hivyo hamna neno kabisaaa asante sanaaaa...
Sasa kwanini bado unataka kuwa nae, mna watoto? Hata kama kakuambia tangu...Kila tukigombana anasema ndoa imeisha mda mrefu sana
Sasa si hana hisia na wewe tangu aanze kukupa kwa kujilazimisha na sasa hivi ni live anakukataq, hisia zake zipo huko umeona tayari na labda kwa mwingine au wengine. Mwanamke akikata hisia kabisa ni ngumu kukutaka hata kiuongo.Sasa hata unyumba hatoi tena anakataa kabisaa
Mwanamke akifika kukufananisha hata hayo maneno basi ujue hakutaki kakuchoka, anatamani umuache au muachane ila bado hautaki kuachanq. Maneno kama haya huwa yanamaanishwa kwa asilimia kubwaa. Wanawwke wengine hawata tamka kujipotezea muda ni bye bye live unabaki mataa..ila huyu kakupa ukweli nawe bado hutaki kukubalikabisaa...Anasema anajuta hata baba wa mtoto wake alikuwa ana mtreat vizuri kuliko mimi
mmmmh halafu anakuambia hayo maneno juu..kuna ambayo haufahamu. Inawezekana aliachwa huku bado anampenda nawe ukawa kipoozeo au wa kukutumia kumkomoa huyo.. sasa labda wameona hawawezi kuishi bila kuwa pamoja..Na jamaa alikuwa anampiga vibaya sanaa sio kidogo
Achana nao usijiharibie maisha yako kisa mwanamke hakutaki..au umewekeza kwwke sana au anakusaidia pesa hauwezi kuishi bila yeye.....ila amejaribu kwangu na ni professional nikimgusa ataniharibia kazi ambayo nafanya....
Uzoefu tu, nipo kwenye ndoa kwa muda mrefu, watoto wa ndoa idadi inaridhisha na huko nje pia nimezaa na wanawake tofauti tofauti idadi ya watoto inayoridhisha. Nakupa ushauri wa kiume, huyo mkeo hana makosa, mwenye makosa ni yule aliyekutangulia, alimuacha huyo demu huku akiwa bado anampenda, akitegemea labda ateseke ili waweze kurudiana au laa. Ulipoingia wewe kwenye hayo mahusiano, wewe ukawa umempa huyo mwanamke kiburi, ambacho ndio kilichomuumiza aliyekutangulia na kuja kukuambia maneno ya ajabu. Yale maneno aliyafanyia vitendo kwa mambo ya kiswahili na kupelekea hizo mimba zako kutokamatika, na huyo mwanamke kuvishwa sura nyingine ya kukuchukia wewe. Kama bado unampenda sana huyo mkeo, kutana na watu wa kiroho; na kama hiyo vita uiwezi, achana na huyo mwanamke endelea na maisha yako.
Mbona una mambo ya kijinga utafikiri askari polisiSoma nini nimeandika usiniulize maswali ya kipuuzi....Nilishasema nimemkuta na mtoto...
ππππππTangu JF inaanzishwa kauli mbiu ya usioe single mother imesisitizwa sana humu jukwaani kwa wanaume.
Sasa kuna makenge hayasikii, hadi yatoke damu.
Wacha kwanza wanawake wawatie adabu kisawasawa hadi akili ifunguke.
1). Kuna kumpenda na Kumtegemea huyu mdada(mke) sio kama anampenda mumewe ila anahitaji huduma zake.Ukimwangalia ana mapenzi nawe japo ana dharau? Pengine dharau inatokana ns masuala ya kipato.
Pole Mr. IdiotNdugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.