safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,840
- Thread starter
- #61
Naam kabisa mkuuHapana sio kweli. Ndoa inahitaji mwanamke imara na mwanaume anayejitambua nafasi yake kama baba. Na kingine ambacho wengi tumesahau ni kwamba ndoa inahitaji kujishusha. Ikitokea wote wawili mkaweza kujishusha basi hiyo ndoa itakuwa na amani na upendo. Ikishindikana kwa wote wawili basi mmoja ajishushe. Tofauti na hapo hakuna ndoa kwani mafahali wawili hawakai zizi moja dada Hornet..