Ndoa mbaya sana ikiwa...

Hapo sasa.

Alafu mtu anaona solution atafute binti mpya ambaye naye atakuja kuzaa pia,anajikuta anadanda danda tu akiendeshwa na mihamu hamu bila kujua maisha yanaenda alafu hakuna la zaidi linalopatikana.
Wengi huangalia uzuri wa nje na kusahau inner beauty, maana uzuri hupotea tena wanawake tukizaa kunakuwa na changes nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahha,hata ukiishi jirani na magari mabovu lazima utakuwa fundi mzuri tuu.

Nimeishi na washkaji wengi ambao walikurupuka kuoa alafu wakawa hawako siriaz katika ndoa zao na kuchagua mke,matokeo yake siri za ndoa wanazitoa mpaka kwetu kwa sababu ni watu wachepukaji hata kabla ya ndoa hivyo kwao ni rahisi kukupa stori za ndani na mkewe,tunajifunza mengi kupitia washkaji ntaani,alafu tunatafuta ufumbuzi.
Hahahahahaaa unasaidia kusukuma gari za masela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na jee wewe mda ulotumia kuandika comment kujibu post puuzi kama yangu si umekula mda pia

Kazi njema ya kujenga viwanda mkuu.
Mkuu hiki hapa hivi ninacho hapa nakijenga bara bara
Screenshot_20181224-204023.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa.

Alafu mtu anaona solution atafute binti mpya ambaye naye atakuja kuzaa pia,anajikuta anadanda danda tu akiendeshwa na mihamu hamu bila kujua maisha yanaenda alafu hakuna la zaidi linalopatikana.
Na hapo angependa moyoni asingemkimbia wa awali ujue ndoa nzuri sana. Sasa ukiangalia uzuri siku ukapata janga ndo upendo kwishney, pia ukiingia ndoani pia unapunguza uhuni ujue huwa hamna jipya huko tunakohangaika. Ndoa za sikuhizi si mwanaume wala mwanamke wanashindana kwa michepuko kuliko single

Wajinga tu ndo wanawaza kwamba kuna jipya huko nje.
 
Ukiona ndoa inakushinda mnakubaliana mnaachana,coz ni ngum sana kuendelea kukaa pamoja kma upendo umepungua....kasheshe inakuja ikiwa mwenzako bado anakupenda
Ila kiukweli ukikosea kuchagua right partner ndoa ni chungu sana....unaweza utaman kurudisha nyuma siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Mkuu,kuchagua ndo kila kitu katika maisha.
Kama mtu anaouwezo wa kuchagua jambo alafu asifanye uchaguzi makini basi ataangukia pua tu.
Kuna rafiki yangu mmoja katika advance PCM chuo akachagua kozi ambayo baadae akaona alikosea kwa sababu alikurupuka,nikamuambia jee ukikosea kuchagua mke ambae ndo wa milele tofauti na kozi ya mda?
 
Kiukweli ukikosea mwanzon inakuwa ni tabu sana....na kinachowaponza wengi ni ile wanaita unachagua wife material,hili ni kosa kubwa sana coz wengi wanachagua wanawake wasiowapenda ila wanaojua wanaweza kujenga nao familia,ambae hatompelekesha km anavyotaka lkn sio kwa kigezo cha kumpenda na ndio maana wengi wanachepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes unatoka Ila na manundu juu plus hasara na kushusha heshima yako kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kushusha heshima kivp?unajua ndio tatizo linalotukumba Waafrica wengi,tunaogopa kuachana kwa kuangalia jamii itatuchukulia vp....tunaishia kuendelea kuishi maisha ya tabu kwenye ndoa ili kuwaridhisha watu wa nje.Matokeo yake kuchepuka na magonjwa ya zinaa vinendelea kutumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana mambo mazito kwenye ndos,salama yao ni kubaki.
Kuna watu wanatabika kwenye ndoa mkuu

Back
Top Bottom