Ndoa inataka kunishinda

Status
Not open for further replies.
Kwahichi ulicho jibu hii story yako ni one side of the story tungesikia na other side ya story watu humu wangekupa ushauri mzuri wa kusaidia na kukujenga zaidi, maana haiwezekani mtu anywe sumu mwenyewe then usingiziwe wewe kuwa ulitaka kumuua, pia watu kuitwa tasa mjitakia mngeenda hospital mpime wote na hata afya ya huyo mwanaume ijulikane maana huwezi itwa tasa huku hujawahi kukutana na mumeo maana aliyepata huo uwezo ni bikra maria.
I think hii marriage yenu ina shida mahali au ilikuwa ndoa ya ku force kingi na hii mivurugano ndio haswa bebi wako jogoo atashindwa kuwika zaidi, hii yako ni one sided story ingekuwa vyema tupate na ya mumeo.
 
Dah kwa kila jambo huwa Kuna kitu kinatokea na huwa sio bure aisee ni vyema ikifika hyo hatua watu mzungumze mubashara kabisa kutatua hyo kero, pia hata uchawi waweza husika
 
Dah kwa kila jambo huwa Kuna kitu kinatokea na huwa sio bure aisee ni vyema ikifika hyo hatua watu mzungumze mubashara kabisa kutatua hyo kero, pia hata uchawi waweza husika
Ukikuta mwenzio mkali bila sababu unakuwa huna jinsi papuchi ya ratiba ni ngumu sana kwa baharia bora kila mtu ajikate😂
 
Yes ilisaidia hata kulinda undugu na usaliti kwa watoto wa mbali Sasa hivi tunaiga usasa ndio Matokeo yake haya mahusiano hayadumu ni machungu tu kwa kwenda mbele, na ndio maana zamani wagumba walijulikana kuwa ni wanawake baada ya kujaribu tofauti tofauti, na wanawake walibebeshwa na kaka, au dingilai mwanaume hujui hata
ila wazee bana
 
Sahizi unatafta ex wako unampa uroda kisha unamubambikia mr. Fredy
 
Siku ina masaa 24, mwaka una masaa 8640 times 2 equal to 17280,. Binadamu wa kawaida asiye kua na tatizo lolote mfumo wa kumeng'enya hufanya kazi ndani ya masaa 3,after hapo kila kirutubisho huenda pahali pake kwajili ya kuboresha mwili.

Tezi kuu ikiferi kupokea na kuwasilisha kimeng'enywa rejeshi kwenda kwenye Tezi ya uzazi basi hupelekea kupungukiwa kwa baadhi ya nguvu kwenye msuri.

#ushauri wangu kwako dada yangu usimuahe mumeo hilo tatizo dogo sana,. Nina shuhuda juu ya kaka yangu alizaliwa mzima ila alipofika barehe msuri ukagoma mpk anafika umri wa miaka 32 mzigo bila bila ila alipona na ana watoto wa 3

#NB:. Omba Mungu, usioneshe kumdharau, muheshimu zen rudisha mapenzi ya sasa kua kama mwanzo. Atarudi sawa miaka miwili michache kaka alikaa miaka 12 jogoo awiki, ila sasa ni mzima show kali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…