Vipi kuhusu magonjwa?Kuna njia mbili tu. Kuamua kuiacha ndoa au kuendelea kuvumilia na kuacha kumfatilia mpaka hapo mwenyewe nafsi itakapo msuta. Ukiamua kuvumilia unatakiwa uwe na roho ngumu. Uende kumpa heshima yake kama mume na huduma zote bila kujali ambacho unakijua kuwa anakusaliti. Ukifanikiwa hilo ndoa utakua umeiweza na yeye mwenyewe atajishtukia hata akiwa anakucheat kamwe hutojua na hata ukija kuambiwa wewe mwenyewe ndio utakataa.


