Afuate ushauri huu.Huwa najiuliza hivi mtu kama huyu anataka ushauri kwa suala kama hili seriously? Anashindwa kuachana naye?Kitendo cha kuchepuka tuu ningemuacha, sembuse kunilietea mtoto asiye wangu ndani mwangu?
Tena amemleta intentionaly kama kumbukumbu ya yeye na huyo jamaa yake? Aaah hizi dharau ni za kiwango cha SGR[emoji23][emoji23]
Hapo ukute wanakaa wote, mume anamtimizia kila kitu mke wake, na jamaa wala huwa hasafiri kama ni kumbusuka huwa anambususua vizuri tuu!
Ila mke akaamua kwenda kumzawadia jamaa yake wa zamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kaenda kumpa kiroho saafi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]. Na mimba akambebea na mtoto akamzalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, bro wako ana uvumilivu sana, mm siku hiyohiyo nimepata majibu ya mtoto si wangu ningetimua mama na mwanaye.
Nikuhakikishie tuu huyo mke hatakaa aachane na huyo ex wake, na kaka ako akimsamehe ndio itakuwa imekula kwake mazima maana mke atamuona hamnazo.
Hiyo familia yenu nahisi hamkubahatika kuzaliwa mwanaume japo mmoja tu kitu ambacho ni bahati mbaya sana.Inafikirisha sana! Bro anatengeneza maswali mengi kuliko majibu..
Mpango wake ni kumuacha mke, ila bado hajalisema kwa familia..
Anadai bora angeishia kunyanduliwa tu, angeiezea
Hakika umenena. Najaribu kuvaa viatu vya Jamaa lakn vimenishinda kabisa.Kitendo cha kuchepuka tuu ningemuacha, sembuse kunilietea mtoto asiye wangu ndani mwangu?
Tena amemleta intentionaly kama kumbukumbu ya yeye na huyo jamaa yake? Aaah hizi dharau ni za kiwango cha SGR[emoji23][emoji23]
Hapo ukute wanakaa wote, mume anamtimizia kila kitu mke wake, na jamaa wala huwa hasafiri kama ni kumbusuka huwa anambususua vizuri tuu!
Ila mke akaamua kwenda kumzawadia jamaa yake wa zamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kaenda kumpa kiroho saafi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]. Na mimba akambebea na mtoto akamzalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, bro wako ana uvumilivu sana, mm siku hiyohiyo nimepata majibu ya mtoto si wangu ningetimua mama na mwanaye.
Nikuhakikishie tuu huyo mke hatakaa aachane na huyo ex wake, na kaka ako akimsamehe ndio itakuwa imekula kwake mazima maana mke atamuona hamnazo.
Unaongea nn mkuu??Aweke wazi ijulikane kuwa si damu yake. Mtoto amfahamu baba yake pia na ajue yeye ni baba mlezi. Asimtenge mtoto, amtunze sawa na kaka zake ambao ni damu yake.
Ampuuze mkewe, asimchukulie kama mwanamke serious ila kama chombo cha starehe kama atamuhitaji. Asimuondoe nyumbani ila ampe restriction za mtindo wa maisha atakaoishi hapo endapo atapendelea kuwa na mpenzi.
Akishamaliza kutulia afanye nn??Hapo maamuzi magumu yanahtajika! Huwezi kutoa talaka usiumie wewe wala watoto, lazima itkula kote!
Hivyo namsihi awe mtulive!
Hujaelewa nn?Unaongea nn mkuu??
Una hasira za kijinga.Mke kufikia hatua ya kuamua kuzaa na Ex wake ili iwe kumbukumbu ya mahusiano yao hakuna ndoa hapo angecheat kisela sawa angeeleweka ila kafika mbali na mke wa namna hii hawez jirekebisha asilan hayo mapemz na Ex hayawez kufa kirahis tena ukizingatia wameshazaa kuna cha kuwaweka pamoja milele. Sitaki kumsemea bro wako ila kama nimm basi hiyo ndoa ishakufa nafukuza mke na mwanae nabaki na damu yangu nalea maisha lazima yaendelee. Mke akaendelee tu na Ex wake walee na mtoto wao
Yaani mmoja aharibu mwingine awe na kazi ya kuijenga. It takes two to tango.Hiv vitu havijaanza kwa kizaz hiki tu yalikuwepo toka zaman ndio maana walianzisha kamsemo kao "kitanda hakizai haramu" pia atambue yeye sio wa kwanza kulea watoto/mtoto ambaye sio wake. Hapo ndipo ulipo ukomavu wa akili na tatzo halitatuliwi kwa kukimbiwa.
Alinde ndoa yake apambane kuilinda familia yake ndio kitu pekee cha thamani alicho nacho ubinafsi usimfanye aipoteze.
Ukishaoa malaya una kazi sana.Kifupi tu, huyo Mosses ana nguvu juu ya huyo mwanamke kuliko ndugu yako aliemuoa. Binafsi talaka ingehusika japo Kuvunja ndoa kuna madhara sana kwa watoto hasa kama hakutakuwa na mazingira rafiki ya namna ya kuwalea. Afikiri sawa sawa kabla hajafanya maamuzi.
Kukutana na huyo jamaa hakuna maana yoyote zaidi ya kumuonyesha tu kuwa yeye ni dhaifu mbele yake na kijiti cha ndoa yake kimeshikiliwa na yeye.Bikra ndio kigori
Nachokiona kwa bro, ni kukosa majibu ya KWANINI avunje ndoa au alinde!?
Kwa mfano, nilimwambia akutane na huyo jamaa, amueleze everything...kisha amwambie aachane na mke wake
Akaniuliza atakuwa na uhakika gani km hawataendelea???? Nikashindwa kujibu[emoji19]
Anaweza asiwe malaya ila ukaoa mtu ambae moyo wake uko kwa mtu mwingine na akakosa kutambua nafasi yake kwenye ndoa lazima mambo kama haya yatokee. Watu hawaelewi na kuthamini ndoa siku hizi.Ukishaoa malaya una kazi sana.
Malaya malaya malaya malaya malaya malaya malaya malaya hana jina mbadala. Ukioa malaya ndo mambo kama hayo yanakukuta. Mwanamke mwenye hofu ya mungu na asiye malaya hawezi kukuingiza kwenye hizo aibu.Anaweza asiwe malaya ila ukaoa mtu ambae moyo wake uko kwa mtu mwingine na akakosa kutambua nafasi yake kwenye ndoa lazima mambo kama haya yatokee. Watu hawaelewi na kuthamini ndoa siku hizi.
We unaogopa kugawana mali??? Mali zinatafutwa kabla hunazipata hizo kwan ulikiwa nazo?? Umezitafuta ukazipata unashindwa kupata zingine vp na una nguvu za kupambana??? Acha uoga wa maisha toa sababu zingine labda malez ya watoto ntakuelewa sio maliUna hasira za kijinga.
Unafahamu hata taratibu za Jamhuri za kufukuza mke kwa kosa la uzinifu bila wewe kupata madhara?
Utatoa fidia mpaka za boxa. Kuna wanasheria wapo wanaangalia fursa labda uwe kapuku njaa usiye na mali...
Ukishaoa malaya ukazaa nae unahitaji akili kumuondoa kwenye maisha yako si nguvu.
Wewe una umri gani huogopi kupoteza mali? Labda kama upo below 40 ntajua kwann unazumgumza hayo tena kwa kiburi.We unaogopa kugawana mali??? Mali zinatafutwa kabla hunazipata hizo kwan ulikiwa nazo?? Umezitafuta ukazipata unashindwa kupata zingine vp na una nguvu za kupambana??? Acha uoga wa maisha toa sababu zingine labda malez ya watoto ntakuelewa sio mali