Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Dah! Yaani mke anatafuta mimba nakuaminisha ni yako, unalea mimba huku akijua si yako, anmpa mtoto jina lako,huku akiendelea kuwasiliana na baba halisi yaan mchepuko, unajua kwa njia zako, anakwambia nisamehe sirudii tena.
 
Kuna vitu kabla hujafanya lazima ujiulize why nafanya hivi? majibu yakiwa positive or negative itakuwaje? je niko tayari to face reality? wakati kaka ako anaanza safari ya kuutafuta ukweli lazima alikuwa na msimamo kuwa mtoto akiwa sio wangu je nitachukua uamuzi upi? kama maamuzi ilikuiwa nikipata ukweli nitavunja ndoa then avunje ,kama kichwani he thought akijua ukweli basi atakaa kimya kama zuzu na akae kimya milele atapata thawabu kwa kumlea huyo malaika na kamwe asimtenge.
Asante
 
Maamuzi yalishafikiwa! Niliweka update ya ishu hii hapahapa
Ndoa ilivunjika, na hadi sasa mke yuko kwao na mtoto wake
 
Kitendo cha kuchepuka tuu ningemuacha, sembuse kunilietea mtoto asiye wangu ndani mwangu?

Tena amemleta intentionaly kama kumbukumbu ya yeye na huyo jamaa yake? Aaah hizi dharau ni za kiwango cha SGR[emoji23][emoji23]

Hapo ukute wanakaa wote, mume anamtimizia kila kitu mke wake, na jamaa wala huwa hasafiri kama ni kumbusuka huwa anambususua vizuri tuu!

Ila mke akaamua kwenda kumzawadia jamaa yake wa zamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kaenda kumpa kiroho saafi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]. Na mimba akambebea na mtoto akamzalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee, bro wako ana uvumilivu sana, mm siku hiyohiyo nimepata majibu ya mtoto si wangu ningetimua mama na mwanaye.

Nikuhakikishie tuu huyo mke hatakaa aachane na huyo ex wake, na kaka ako akimsamehe ndio itakuwa imekula kwake mazima maana mke atamuona hamnazo.
Mimi hata huomuda wakuomba ushauli nisingekua nao.. yani baada yakujua napiga chini muda huo huo,
 
Wanawake wenzangu tufanye yoteee ila tusiwasingizie waume zetu watoto jamani ni dhambi na inauma sana.

Huwa nahisi wanaume kuchapiwa wake zao inawauma kupita kiasi, halafu mtu umsingizie mtoto[emoji1544]
Kuchapiwa tu demu ambaye hauna commitment naye sana inauma sembuse mke..aisee sio mchezo
 
Kuchapiwa tu demu ambaye hauna commitment naye sana inauma sembuse mke..aisee sio mchezo

yaani mke kakosea sana akapumzike tu kwao au aanze maisha mapya yeye mwenyewe.

Hili liwe funzo kwake hata akija kuolewa tena n
 
Ngumu kama hizi zisikie tu kwa wenzio. Yalishanikuta kitambo, yule dada kumbe mke wa mtu. Ana mimba yangu na hataki kutoa. picha liliishaje mimi sijui
 
Maamuzi yalishafikiwa! Niliweka update ya ishu hii hapahapa
Ndoa ilivunjika, na hadi sasa mke yuko kwao na mtoto wake
Hayo yanaweza kuwa ni maamuzi sahihi sana.
Maana Mume kugundua tu mke kachepuka tu maumivu na hasira anazopata mwanaume huwa hayaishi moyoni. Sembuse mke kupachikwa na mimba juu, hizi ni zarau za hali ya hali ya juu sana. Huyo Mtoto pia hawezi kupendwa na Mume.

Ingenitokea mimi hapo ningeacha mke kiroho safi tu. Vinginevyo kuendelea kuishi na mke wa hivi, siku yoyote lile tukio la kuchoma mtu kwa Gunia la mkaa linaweza kujirudia.
 
Aisee, story kama hizi huwa zinanikatisha tamaa ya kuoa kabisa, daaaaah, ngumu kumeza
 
Yaani awape shida wanae wawili wa damu kisa kumkomoa mke na mchepuko?

Mke ambaye seems hajawahi kumkosea significantly. Yaani mtoto huyo angeendana naye hata kidogo tu asingekuwa na hofu yoyote maana mke kajua kuficha siri.

Aendelee tu, maana I can guess hata yeye hajawa mwaminifu 100% tangu waoane.
 
Hivi kwa mwanaume timamu unafikil ni rahisi kama unavyofikilia wewe
 
Maamuzi yalishafikiwa! Niliweka update ya ishu hii hapahapa
Ndoa ilivunjika, na hadi sasa mke yuko kwao na mtoto wake
Ni uamuzi sahihi alichukua,
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Maana KE wengine akili zao ni sifuri.
Unaweza kumsamehe kisha akaendeleza mawasiliano na mahusiano ya kimapenzi na baba wa mtoto,jambo ambalo litaleta madhara makubwa zaidi kuliko hayo ya kuvunja ndoa.
 
Back
Top Bottom