Ndoa ikiwa changa raha sana

Ndoa ikiwa changa raha sana

Sijui unapozungumzia makelele unazungumzia nini, naamini kila ndoa ina changamoto lakini pia kuna namna ya kutatua changamoto kwa upendo na hekima padipo kumfanya mwenzi wako ajisikie kudharaulika au ajute kwa namna moja au nyingine

Wanaume wengi si wepesi kujishusha hata wanapokosea, changamoto inakuja pale mwanamke anaposhout au kutumia lugha ya dharau/ubabe anapoona mwezie amekosea au hata anapohitaji kitu kutoka kwa mwenzi badala ya kutumi kuuliza kwa unyeyekevu

Trust me, mwanaume ni mwepesi sana kwa mwanamke, ila kama tu ukijua lugha ya kuzungumza nae, vilevile kwa mwanamke, kuna lugha ambazo pia wanaume mnapaswa kuzitumia kwa wake zenu especially pale unapokua umefanya jambo ambalo unajua limemuudhi au kumkwaza kwa namna moja au nyingine,

Watu mnaolala kitanda kimoja na kishare miili yenu hampaswi kupigizana kelele bali mnapaswa kuelewana
Ubaya ni kwamba wanawake kama wewe walishapotea katika ramani ya dunia. We umebakia kama lulu tu. Katika wanawake 1000 understanding women hawazidi 10! Na hiki ndio kinafelisha wengi, mwanamke akiwa understanding nyumba inakuwa kama heaven. Hio character ndio inamdefine mwanamke mwenye hekima. Hutasikia anapayuka wala kurap ndani ya nyumba.
 
Ubaya ni kwamba wanawake kama wewe walishapotea katika ramani ya dunia. We umebakia kama lulu tu. Katika wanawake 1000 understanding women hawazidi 10! Na hiki ndio kinafelisha wengi, mwanamke akiwa understanding nyumba inakuwa kama heaven.
Bado wapo, sema tu hampendi kutulia kuwatafuta, mkishaona hizo pics za kuedit kwenye maistagram basi unazoa unaweka ndani
 
Ndoa ni changa kila siku,hata mkiwa na watoto 10, ukiweka hiyo akilini huwezi kujuta kuingia kwenye ndoa

Kuna mbinu nyingi sana za kuifanya ndo iendelee kuwa changa

Tatizo vijana wa siku hizi ukishatoka honeymoon tayari unatafuta kamchepuka, halafu unaanza kuona kama ndoa yako imezeeka

Kwenye ndoa kila siku ni honeymoon na kila siku mwenzio ni mpya...

hii ni applicable kwa sisi wenye miaka 50 kwenda juu, vijana wa siku hizi hawawezi
Tupe hizo mbinu mzee
 
mbinu gani za kuifanya ndoa iwe changa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom