Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Ulitakiwa kujua hilo kabla ya kuingiza ndani jumla, kama umegundua asili yake ni kelele wakati umeshaoa huna budi kuvumilia ndio maana sisi wakristo huwa tunasema for better and worse...means kila aina ya madhaifu utayabeba na kuyavumiliaWengine makelele ndio asili yao. Ilimradi tu akukere.