Ndio umri wangu huo mkuunasubiri jibu
wengine memkwa, tukupe mji?Ndio umri wangu huo mkuu
Na wewe mkuu uoe....mliooa uzi wenu huu
Ha ha haSisi wanaume tukioa tunazuzukaga sana kila saa lazima tuseme neno mke wangu
Wajumbe hawana menoWajumbe mna msikia huyu abunu ac
ha ha ha inabidi warudi tena shule, elimu ni burewengine memkwa, tukupe mji?
Ndoa ni changa kila siku,hata mkiwa na watoto 10, ukiweka hiyo akilini huwezi kujuta kuingia kwenye ndoaMkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna kuchelewa kufika nyumbani, muda wote unatamani muwe wawili tu kwenye eneo lenu la kujidai.
Vijana tuoeni jamani, lakini pia tuoe tukiwa tumeshajipanga ili tufurahie mema ya dunia.
Ni kweli mkuu halafu kwenye account kuwe na comma za kutosha ,nje umepaki mikoko kama mitatu hivi halafu abdallah kichwa wazi awe na nguvu za kutosha.Mkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna kuchelewa kufika nyumbani, muda wote unatamani muwe wawili tu kwenye eneo lenu la kujidai.
Vijana tuoeni jamani, lakini pia tuoe tukiwa tumeshajipanga ili tufurahie mema ya dunia.
Mkipata watoto after 8 years pia ulete mlisho nyuma.Acha tuu mkuu
Nimegundua mwanaume huwezi enjoy kama huna mwanamke wako unae mtawala vyemaa rahaaa sanaa
Hahahahah ndoa ni mpya mpaka pale mwanamke atapoanza makelele ndani hapakaliki with no sane reasons.🤣🤣🤣Ndoa ni changa kila siku,hata mkiwa na watoto 10, ukiweka hiyo akilini huwezi kujuta kuingia kwenye ndoa
Kuna mbinu nyingi sana za kuifanya ndo iendelee kuwa changa
Tatizo vijana wa siku hizi ukishatoka honeymoon tayari unatafuta kamchepuka, halafu unaanza kuona kama ndoa yako imezeeka
Kwenye ndoa kila siku ni honeymoon na kila siku mwenzio ni mpya...
hii ni applicable kwa sisi wenye miaka 50 kwenda juu, vijana wa siku hizi hawawezi
Mkipata watoto after 8 years pia ulete mlisho nyuma.
Mkiwa wawili tu hamnaga tatizo mbona, hela ikiwepo ya kukidhi mahitaji yenu bila shida actually kula tu na bills za maji na umeme na mafuta hapo huwa hamna tatizo.Watoto bado kwanzaa
acha genye mdogo wanguWa 12 naoa mkuuu nikiwa 2cond year
Ukiona kelele jaribu kuangalia sababu inayoleta kelele otherwise mtu mwenye akili timamu hawezi kupiga kelele hovyo tu, labda hajapitia mafunzo ya ndoa, tatizo vijana wa miaka hii hata mafunzo ya ndoa hamzingatii mnakutana facebook mnafunga ndoa instagram, hamjuani vya kutosha, hakuna aneelewa tabia za mwenzi wake, ukiweza kumuekewa mwenzi wako vizuri, kudeal nae ni rahisi sana wala huwezi kuwa na kelele za ajabu ajabu ndani ya nyumbaHahahahah ndoa ni mpya mpaka pale mwanamke atapoanza makelele ndani hapakaliki with no sane reasons.![]()
Wengine makelele ndio asili yao. Ilimradi tu akukere.Ukiona kelele jaribu kuangalia sababu inayoleta kelele otherwise mtu mwenye akili timamu hawezi kupiga kelele hovyo tu, labda hajapitia mafunzo ya ndoa, tatizo vijana wa miaka hii hata mafunzo ya ndoa hamzingatii mnakutana facebook mnafunga ndoa instagram, hamjuani vya kutosha, hakuna aneelewa tabia za mwenzi wake, ukiweza kumuekewa mwenzi wako vizuri, kudeal nae ni rahisi sana wala huwezi kuwa na kelele za ajabu ajabu ndani ya nyumba
Miaka hiyo mnakaa uchumba muda wa kutosha, by the time mnaoana kila mtu anajua naenda kuishi na mtu wa namna gani