Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Katavi, Aug 12, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Heshima wakuu.....
  Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.
  Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita. Kwa kuwa hakuwahi kumegwa na huyo jamaa yake kabla ya ndoa hakujua nini kingetokea baadae. Baada ya muda ndipo aligundua kuwa jamaa hana uwezo wa kufanya kazi kabisa(jongoo hapandi mtungi). Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. Anataka ndoa ivunjwe kwa taratibu na sheria za kanisa ndipo ataondoka.
  Naomba kuuliza kwa wajuzi wa sheria za ndoa (kanisa na serikali), je ndoa hii inaweza kuvunjwa???
  Mchango wenu tafadhali...
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Si tuna Father Rev Masanilo humu ndani anaweza kutupa taratibu za Kuvunja Ndoa za Kikatoliki
   
 3. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndoa ni makubaliano kama makubaliano mengine..kuna hatua zinafuata kufanya makubaliano na kuna hatua zinafuatwa kuvunjwa hayo makubaliano.. Pia, Kumbuka kuna aina nyingi za makubaliano..Basi hata ndoa zipo za aina nyingi ..zipo za ki biashara ...zipo Ndoa za jina.. Ndoa za uroda nusu zipo.. ndoa feki zipo..

  Sisi kama jamii porojo zetu hapa hazitawasaidia ..kila kitu kiko mikononi mwao na kwa utashi wao.. Kama wanataka kuachana ni matakwa yao na kama wanataka kuegemea kwenye imani ni uamuzi wao na ni juu yao kwenda huko kanisani kwao..kwani kanisa la letu hapa JF ni tofauti kidogo hawatalipenda....

  At the end.. ni uamuzi wao kusuka au kunyoa ila wafuate utaratibu..hawakulazishwa kuoana..na ukiacha mambo ya imani hakuna anayewalazimisha kuendelea kuishi pamoja.. Kusema mmoja anamwonea huruma mwingine ni unafiki..kama kweli basi angekaa na siri yake na kuishia kuchezea dildo..
   
 4. n

  neyro JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  kuna mtoto wa dada yangu alipata kisa kama hicho yeye mume wake alikuwa ni katekista aligoma kutoa talaka kwa amani (kanisani) lakini mahakama ikaamua na kanisa likakubali kwamba ndoa ni batili kwani NDOA ni TENDO LA NDOA. sasa kwa ishu hiyo ni makubaliano yake yeye na mume wake kama yuko tayari kumpa talaka. inabidi alishirikishe kanisa na mumewe awe tayari ili asipate kizuizi.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kumbe inawezekana kuvunjwa..
   
 6. n

  neyro JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  haswaaaaa............KWA USHAURI WA BURE jamani SHAKE WELL BEFORE USE!!!! aibu za namna hiyo zisingetokea unauziwa mbuzi kwenye gunia hivi hivi LOL!!! ILA IM VERY SORRY FOR HER!!!!
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Ndugu yako ni mnafiki, kama anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa huko sio kumdhalilisha kama lengo ni kuficha aibu za huyu punga anayekaa naye? Na anapotaka taratibu zifuatwe haoni sasa ndio atazidi kumdhalilisha maana itabidi kuhusisha, kanisa, wazee na pengine mahakama?
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Katavi inaweza kuvunjwa kama umewahi kuhudhuria ibada ya sakramenti ya ndoa ungekuwa na majibu na huyo ndugu yako sijui alikuwa hasikilizi Padri anasema nini?? Muulize kile kiapo anakikumbuka vizuri na Padri alimwambia nini atakuwa na jibu. Hata ukijiuliza tu swali rahisi kwanini inaitwa Tendo la Ndoa??? Ina maana ndoa bila tendo la ndoa HAIPO. Maoni yangu binafsi
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa kwa ishu hii ni muhimu kutest kabla...
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  inawezekana kuvunjwa
  ikishindikana church
  nenda mahakamani
   
 11. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Namuhurumia huyo mwanaume...........namuombea Mungu amkumbuke siku moja.
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  huyu mchungaji siku hizi ana jazba kwel *2,....anyway sijui kama ataweza kuchunga kondoo wa bwana kama alivyoachiwa na mkuu wake wa kazi,...ngoja aje utaona
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Inavyojulikana mojawapo ya kigezo cha kujua kuwa ndoa ipo ni ile wenza baada ya kuoana wakaconsumate marriage yao yaani wakafanya sex katika usiku ule wa ndoa yao. Kama hilo halikutokea kwa sababu ya either matatizo ya mwanaume kutoweza kufanya sex na mke wake kutokana na matatizo ya kiafya kama kushindwa au kutokuwa na nguvu z akuweza kufanya hivyo au kwa mwanamke may be kwa kuwa na maumbilie madogo ambayo hayamtoshi mwenza wake so akashindwa kuconsumate marriage hicho kisheria ni kielelezo kuwa hakuna ndoa hapo na inaweza kuvunjwa. Aw3aone viongozi wake wa dini awajulishe na then aende mahakamani maana ndio yenye uamuzi wa mwisho kuvunja ndoa hiyo
   
 14. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hii mambo ya kufuata utaratbu wa kzaman ilshapta...vyakula na mazngra ya maisha ye2 ya sasa yanachangia sana hv viungo muhm kugoma kaz. Nimuhmu ku"shake well before use" co unakurupuka toka ucngzn na kumeza dawa bla kuitksa kuhakksha imechanganyka vema..
  Kama hlo halkutendeka na ushaimeza dawa na kuona imechakachuliwa ni jukum la m2miaj kujiulza je? Bado dawa hyo anaipenda au? Kama ndio bas doz inaendelea na kama hutak unafanya mbadala na hlo linawezekana.
  KWAN DAWA ULIYONUNUA KWA MATBABU NA HAIJAKUTBU...KUNAHAJA GAN YA KUENDELEA KUIMEZA?
   
 15. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Hahahaa, nimeuona umuhimu wa kuitest bidhaa kabla sijaibeba nyumbani. Naona hii habari ya vigezo na masharti kuzingatiwa + bidhaa ikishauzwa hairudishwi vitanishinda, lol
   
 16. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  atakuwa mnafiki huyo binamu yako, kwani hakumbuki kama alimwambia atakuwa nae kwenye shida na raha? Sasa inakuaje atake kutumia taratibu za kuvunja ndoa? Aache ufala, amvumilie tu mume wake.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  swali la kizushi hapo..
  Umesha test bidhaa ngapi mpaka sasa???????lol
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  TB hilo swali ni N/A
   
 19. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Napita tu. Mpe pole huyo binamu ako. Ange2mia kanuni ya SHAKE WELL BEFORE USE. Hata mm inaniuma kwani msela kaandaa haruc wakati anajijua ni impotence. Kama angekua muslim kwa sheria ze2 hakuna ndoa.
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Dullah sio Muslim tuu hata kwa wengine hapo hakuna ndoa
  Jamaa may be alijua anaweza kujaribu na ikakubali si unajua tena
   
Loading...