SaraM
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 162
- 109
- Thread starter
- #61
Ahsante kwa majibu mazuri Who Cares....dada yeye yuko mid thirties, bado anadai, na shem anaenda gym kwa ajili ya mazoezi,kuhusu kumfatilia nyumba ndogo, alimfatilia yule aliyemkuta nae, akakuta ni msichana mwenye mchumba na pia ana bwana mwingine mume wa mtu pia, iliishia hapo, na si mtu wa kulaumu laumu yaliyopita, ni kati ya wanawake wanao believe in family na one marriage forever, kwa hiyo kukiwa na tatizo anaongea linaisha, yuko hivyo hata mimi nikimkosea huwa ananiambia ukweli halafu yanaisha na wala habaki na kinyongo, ni mtu mwema sana kwa kweli,she deserve to be happy.majibu umenipatia ila kwa hizi comments anaweza kuzifanyia kazi kwanza kisha nije na dozi ya kumaliza tatizo ikiwamo vyakula na mazoezi na hata ushauri wa kwenda kwa kiongozi gani wa kiiman au hata mganga gani wa jadi.