Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
miaka 6!!!? Sipati pic bado!
Halafu hyo mume anajua tatizo ndo maana anakua mkali akiwa anaulizwa
Halafu hyo mume anajua tatizo ndo maana anakua mkali akiwa anaulizwa
kiukweli maneno haya yamenigusa sana hadi kwenye mtima yamenikumbusha mbali kweli......huu ni ukweli ambao wengi hatutaki kuuelewaNDOA NI ZAIDI YA TENDO!NI ZAIDI YA KUZAA WATOTO!NI ZAIDI YA MIILI YETU
Nyani Ngabu, maisha si ndio hayahaya tunayoishi, hatuwezi zungumzia jipya zaidi ya hayahaya tuuu,toa busara zako
Mwambie dadako atujuze in details haya yafuatayo:-
1- ilianza lini hali hiyo kwa mumewe?
2- ilianza vip i.e. Ni ghafla au ni kadri siku ziendavyo uwezo unapungua?
3- wanahistoria ya magomvi huko kipindi cha nyuma na hasa ya kimahusiano?
4- alishawahi kumfumania mmewe?
5-mmewe alishawwahi kumwomba tigo?
6- amefanya uchunguzi kujuwa kama mmewe ana small house na kama anayo amechunguza sifa za small house ikiwamo ya kutoa tigo?
7-mmewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara na kama biashara au kazi ni ipi?
8-mmewe ana historia ya magonjwa kama moyo sukari figo na ini?
9-mmkewe/dadako unaweza kumweka katika sifa zipi mzuri wa kawaida mzee sana tipwatipwa au kimodel? Tafadhali kuwa mkweli katika hili.
10-nikipata majibu juu ya hayo nitakuwa kwenye nafasi ya kujuwa chanzo cha tatizo.
ushauri mnzuri sana swla jingine ni nyema wakatoka mazingira hayo na kwenda sehemu tulivu sana then amweleze mumewe kistarabu yani wakiwa katika maandalizi mume ajiandae kisakolojia mawazo yote yawe kwake pia adhalau hisia zinazojitokeza kwa wakati huo, Pili kama familia kujikabidhi mikononi kwaMungu asa kuvunja maagano yote ambayo nyuma aliyaweka either kwa wale wanawake wa nyuma ama kwa njia yeyote ile. Nnamdi Jr I Arumeru:: Ajaribu kumuandalia Karanga mbichi (zilizosagika) zilizochanganyika na mihogo iliotwangwa(sagika) ale ikiwa peke yake. Kama anapenda asali atumie kijiko kimoja kikubwa kabla ya kulala na asubuhi kabla ya kupiga mswaki..ashushie maji asubuhi. :: Kiakili Anatakiwa ajitahidi kumtia moyo wakati wa tendo la ndoa. Uchawi mzuri anaoweza kuutumia ni kumpa sifa mumewe na pongezi kwa kila jambo.Avae sura ya upya kiasi cha mumewe kumshangaa. :: Kifamilia Aanze kujiwekea utaratibu wa kumwomba Mungu kama familia,na amshirikishe Mungu tatizo lake. =
shem haumwi kisukari, sio mnene wa kivile
Ilianza miaka hiyo niliyotaja,anasema alianza kama utani, inaweza akawa anamhitaji leo usiku akaambiwa ana stress, ilikuwa week haipiti, ikaanza kupita, mara mwezi mara akawa anajisahaulisha,ugomvi wao ni wa kawaida kama couple nyingine,sio maugomvi makubwa sana,hajawahi ombwa tigo hata mara moja,alishawahi mfuma na mwanamke wake baa, ila sio ile live,na msg za hapa na pale anazikutaga,hana small house ya kudumu,wala hana tabia ya kuchelewa home,ni hizo za wanaume za kawaida,mfanya biashara, age 46,hana sukari wala nini,sio tipwatipwa,mtu wa gymMwambie dadako atujuze in details haya yafuatayo:-
1- ilianza lini hali hiyo kwa mumewe?
2- ilianza vip i.e. Ni ghafla au ni kadri siku ziendavyo uwezo unapungua?
3- wanahistoria ya magomvi huko kipindi cha nyuma na hasa ya kimahusiano?
4- alishawahi kumfumania mmewe?
5-mmewe alishawwahi kumwomba tigo?
6- amefanya uchunguzi kujuwa kama mmewe ana small house na kama anayo amechunguza sifa za small house ikiwamo ya kutoa tigo?
7-mmewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara na kama biashara au kazi ni ipi?
8-mmewe ana historia ya magonjwa kama moyo sukari figo na ini?
9-mmkewe/dadako unaweza kumweka katika sifa zipi mzuri wa kawaida mzee sana tipwatipwa au kimodel? Tafadhali kuwa mkweli katika hili.
10-nikipata majibu juu ya hayo nitakuwa kwenye nafasi ya kujuwa chanzo cha tatizo.
Yereuwiiiiii, mwezi tu mie ningekuwa natembea huku nakata viuno barabarani,asikwambie mtu ile kitu tamu ati,miaka sita ningeandamana mpaka kwa paroko nachukua waumini mpaka kwa askofu mkuu wa jimbo, jamani pole sanasana, kuna kitu hakiko sawa sister wako hajakuweka wazi, hiyo kesi si ndogo jamani kama tuionavyo
Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.
Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.
Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.
Hapo bwana kuna matatizo kibao....mwanamume hawezi kuwa mrenda kwa miaka 6 yote....
Ngoja kwanza nipulize kiko kidogo,
Babu DC!!
ilianza miaka hiyo niliyotaja,anasema alianza kama utani, inaweza akawa anamhitaji leo usiku akaambiwa ana stress, ilikuwa week haipiti, ikaanza kupita, mara mwezi mara akawa anajisahaulisha,ugomvi wao ni wa kawaida kama couple nyingine,sio maugomvi makubwa sana,hajawahi ombwa tigo hata mara moja,alishawahi mfuma na mwanamke wake baa, ila sio ile live,na msg za hapa na pale anazikutaga,hana small house ya kudumu,wala hana tabia ya kuchelewa home,ni hizo za wanaume za kawaida,mfanya biashara, age 46,hana sukari wala nini,sio tipwatipwa,mtu wa gym
majibu umenipatia ila kwa hizi comments anaweza kuzifanyia kazi kwanza kisha nije na dozi ya kumaliza tatizo ikiwamo vyakula na mazoezi na hata ushauri wa kwenda kwa kiongozi gani wa kiiman au hata mganga gani wa jadi.mwambie dadako atujuze in details haya yafuatayo:-
1- ilianza lini hali hiyo kwa mumewe?
umesema miaka sita...hapa nilitaka kupata historia ya ugonjwa ila pia kujuwa usugu wa tatizo...miaka sita sio kipindi kirefu sana kwa tatizo hili coz wapo watu walianza zaidi ya maiaka 15 na walitibiwa ingawa huchukuwa muda mrefu na utayari wa muathirika katika kukubali tiba na kuamini atapona.
2- ilianza vip i.e. Ni ghafla au ni kadri siku ziendavyo uwezo unapungua?
kwa kuanza taratibu inaashiria kuwa tatizo sio kubwa kiasi cha kutisha kwa sababu wapo wale ambao alikuwa anasimamisha vizuri na ghafla aisimami tena hata ufanyeje..soo betri ilikuwa inapungua charge taratibu na siku zingine inawaka...hapa naomba nilihusishe suala hili na mambo ya kisaikolojia zaidi ya maradhi kama sukari na mengineyo.
3- wanahistoria ya magomvi huko kipindi cha nyuma na hasa ya kimahusiano? umeshindwa kuwa mkweli kidogo..unasema wana magomvi ya kawaida ya kifamilia ila mwishoni ukasema aliwahi-kumfumania na dada wa bar..na hana permanent small house na sms nyingi kwenye simu. Hii inatoa picha ya familia kuwa un-stable kisaikolojia na katika suala la ndoa naamini mwanamke huwa mzito sana kusamehe mambo kama hayo..huenda kila siku kuna magomvi yanaendelea na hasa katika tendo hilo ..vitu kama dadako kulalamika na kumtuhumu mmewe akiwa kifuani inaweza kabisaaa kuulaza doro mtalimbo ukiosimama.
4- alishawahi kumfumania mmewe?
umesema aliwahi kumfumania plus sms za kutosha tena na mabaa-maids....yeye kama dadako anasema alilipokeaje suala hili na kama aliweza ki-staarabu kupata sababu za msingi kwanini mmewe ametoka nje ya ndoa?...na dada anajuwa kuwa inaanza na yeye??
5-mmewe alishawwahi kumwomba tigo?
ni wanaume wachache sana wenye uwezo wa kuomba tigo kwa wake zao..lakini ni wanaume wengi sana wenye wake zao huomba tigo kwa wake wa nje...na wengi kati yetu huenda nje kupata kile tusichopata ndani...mtu akiendeleza tigo na kuwa addicted mara nyingi mbele hata iwe vip mashine huwa haisimami...soo anahitaji kupata ushauri wa kitaalam na ni wajibu pia wa mama kumsaidia mzee katika hili.
6- amefanya uchunguzi kujuwa kama mmewe ana small house na kama anayo amechunguza sifa za small house ikiwamo ya kutoa tigo
dadako aliwahi kufanya uchunguzi wa kina juu ya nini kigezo cha mmewe kutoka na yule dada wwa bar?..nyumba ndogo nyingi huamini kuwa zikitupatia sie waume za watu kitu adimu kama tigo basi tunapagawa na kusahau nyumba zetu kubwa...soo mtu akisha zowea tigo then mbele haitaji na bi mkubwa anatoa mbele tu then hana chake...akijuwa mmewe anapewa ndogo na nyumba ndogo basi ajumuike naye kumpeleka na kumletea washauri na walimalize ki-saikolojia.
Pia nyumba ndogo nazo huenda kwa waganga wa kienyeji kutuloga ili tusiweze kupiga kazi kwa wanawake wengine..soo inawezekana kuwapo pia suala la ushirikina toka kwa nyumba ndogo.
7-mmewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara na kama biashara au kazi ni ipi?
umejibu kuwa ni mfanya biashara ..fine..how stressing is his busness?..stresses nazo zinauwa uwezo wa kutamani na kuhitaji tendo la ndoa...ila pia stress zinaweza kuwa resolved na dadako kirahisi...mbali na kutoka out pamoja na kubadilisha sehemu mbalimbali ili-kulipa upya penzi lao. Ajitahidi pia nyumbani kusiwe sehemu ya ofisi na akirudi nyumbani biashara zinaishia getin ndani ni mapenzi na hakuna simu kuwashwa hapo home hasa zile za wateja wa biashara...hiyo inapunguza stress za kazi.
8-mmewe ana historia ya magonjwa kama moyo sukari figo na ini?
umejibu vizuri kuwa ni mtu wa gym...hujasema anaenda gym kufanya nini?...may b kutongoza warembo etc...suala la ugonjwa ni suala la kufanya check-up na kujuwa kama matatizo hayo yawepo then mazoezi yafuate baada ya kupima.
9-mmkewe/dadako unaweza kumweka katika sifa zipi mzuri wa kawaida mzee sana tipwatipwa au kimodel? Tafadhali kuwa mkweli katika hili.
hujanipa jibu...umesema ni 46yrs old..shemejio au dadako?...ila hata kina halle berry wapo age hizohizo ila ni most beautifull girl. Hapa nataka kujuwa kama dadako kesha-chuja na mzee anatafuta sehemu ya kupozea..coz sie wanaume nao tunapendaga vitoto vidogo tukiamini unakula mpaka mifupa..sasa ukirudi home kwa mzee mwenzio unaona kero tuu na mashine haisimami wala nn. Sasa anaweza kujiongeza kuboresha muonekano ikiwamo kwenda gym kukata matairi kama sanamu la michelini na kuvaa viguo vya mitego mitego ili aonekane kijana..sio mama na mibazee na mkofia kama wa mama kikwete na hellen johson sirlif...utadhani upo na mamako kijijini.
10-nikipata majibu juu ya hayo nitakuwa kwenye nafasi ya kujuwa chanzo cha tatizo.
Napata shida kidogo kuamini kuwa dada yako anakueleza kila kitu kwenye hiyo ndoa yake, kweli?? pili huyu mwanaume kwa muda wote huo haoni kuna haja sasa kutafuta suluhu ya hilo tatizo? miaka 6 bila jigijigi? hii inaweza ikawa pysychological issue na ina bidi ai address accordingly, nasema hivyo kwa sababu nikama anatunza jipu ambalo dawa yake si zaidi ya kutoboa usaha utoke. tatu, ukweli ni kwamba mficha maradhi kifo kinamuumbua, awaone specialist, ni maoni tu lakini.Sio mie, sijaolewa nivea.ingekuwa mie wala nisingeona shida coz hakuna anaenijua humu