Ndoa bila Tendo......Msaada

Ndoa bila Tendo......Msaada

Mwambie dadako atujuze in details haya yafuatayo:-

1- ilianza lini hali hiyo kwa mumewe?

2- ilianza vip i.e. Ni ghafla au ni kadri siku ziendavyo uwezo unapungua?

3- wanahistoria ya magomvi huko kipindi cha nyuma na hasa ya kimahusiano?

4- alishawahi kumfumania mmewe?

5-mmewe alishawwahi kumwomba tigo?

6- amefanya uchunguzi kujuwa kama mmewe ana small house na kama anayo amechunguza sifa za small house ikiwamo ya kutoa tigo?

7-mmewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara na kama biashara au kazi ni ipi?

8-mmewe ana historia ya magonjwa kama moyo sukari figo na ini?

9-mmkewe/dadako unaweza kumweka katika sifa zipi mzuri wa kawaida mzee sana tipwatipwa au kimodel? Tafadhali kuwa mkweli katika hili.

10-nikipata majibu juu ya hayo nitakuwa kwenye nafasi ya kujuwa chanzo cha tatizo.
 
na mi ndo nimejishangaa!
yaah kusema ukweli hili la mke kusema kwa mdogo wake najua anakuwa anatafuta pa kuongea!lakini i think it is way too much! SaraM mwambie dadako nyumba na mume ni vyakwake!
anapokuambia kila hatua mume wake anayopitia kimwili itis too ambarassing!
kifua kina sababu zake kuwa hivi kilivyo jamani!
nani anajua mume anajua kuwa dadayake mleta mada anajua tatizo lake!
jamani erction ni zaidi ya ya dushe kusimama(hapa naanza zile bangi zangu!)
nyuma kuta nne na bati lake juu!wapenzi!
Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazi
 
kasema kila akijaribu kuongelea hilo swala analetewa ukali wa hali ya juu, na kumbuka kumwongelesha mwanaume kitu hicho yataka ujasiri,akimwambia twende hospital anajifanya kaenda mwenyewe anarudi na vidawa vya forever living na health sijui nini, yaani nimeonyeshwa, naona kama ni za kawaida tu zile herbal

Lakn hakuna njia nyingine bora zaidi ya hii ya kujadiliana na kuambiana ukweli...........otherwise natural justice itatake place...kwa maana ya mwanamke kushindwa kuendelea kuvumilia kisichovumilika na kisicho na mwisho.......what next mm sijui ila kipo na hata hivyo najua kipo tangu kitambo tu.....miaka 6? tena with no solution struggle...no way!!!!!!
 
Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazi

Yeeeeeeeeeee.....this is serious!!!!!
Ila yeye ndio mwenye solution ya mambo hayo asitafute mchawi....afuate kanuni tu hasa ya majadiliano.....km yanashindikana km unavyosema basi kuna sehemu huwa tunafika kwenye majadiliano tunasema.........WE AGREED TO DISAGREE.....hapo kila mtu anaangalia upepo wake unavuma vizuri upande gani!!!!!!!
 
Kuna vitu unavisikia unabaki unashangaa tu

Ila kuna wakati ili mwanamme afunguke tatizo lake la ndani, inabidi umtengenezee mazingira'assurance' kuwa yuko salama mikononi mwako

Hasa matatizo yanayohusiana na 'uanamme' wake, muulize bila kuumiza 'ego' yake
Mwanmme akihisi unaweza sema chochote kwa mtu yeyote, hasemi ng'ooo hata umuue, atakufa na tatizo lake

Afu kwa hali hii usidhani hata huyo mme ana raha, anadhalilika sana mbele ya mkewe ila hawezi sema tu.
Hivi unajua kila mwanamme huwa anataka aonekane kidume kwa mkewe? Hata kama nje anadharaulika na kila mtu?

Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazi
 
Kuna vitu unavisikia unabaki unashangaa tu

Ila kuna wakati ili mwanamme afunguke tatizo lake la ndani, inabidi umtengenezee mazingira'assurance' kuwa yuko salama mikononi mwako

Hasa matatizo yanayohusiana na 'uanamme' wake, muulize bila kuumiza 'ego' yake

Hawa wadogo zetu wa dotcom wanajua jinsi ya kumfanya dume afunguke??

Babu DC!!
 
Lazima kunasababau, lbda mume amekuwa mlevi sana, au mume anamahusiano mengine na amehamisha moyo uko huko inje!

Hata kama angekuwa na mahusiano nje, naamini bado isingekuwa miaka 6, kuna tatizo la kiundani zaidi au NATA unasemaje hapa
 
Babu Dc please come back,mwaga busara zako

SaraM tafadhali nipe majibu ya maswali yangu niliyouliza nianze kutiririka na ndani ya 1 month mabadiliko utakuja kutoa ushuhuda hapahapa jukwaani na watu kuanza kumiminika kwangu wakiulizia tiba utadhani mie sheikh yahaya wao....PLEASEEE NIPE MAJIBU.
 
Ujue Babu DC,

Mwanmme akihisi unaweza sema chochote kwa mtu yeyote, hasemi ng'ooo hata umuue, atakufa na tatizo lake

Afu kwa hali hii usidhani hata huyo mme ana raha, anadhalilika sana mbele ya mkewe ila hawezi sema tu.
Hivi unajua kila mwanamme huwa anataka aonekane kidume kwa mkewe? Hata kama nje anadharaulika na kila mtu?

Sijui kama wadogo zetu wanajua haya, ila mwanamme hata awe mbabe vipi, ukimpa assurance ya kuongea utamhurumia
Sometimes they weep, japo mara chache sana. Ukiona hivyo jua alilokuwa nalo lilikuwa linamwelemea

Hawa wadogo zetu wa dotcom wanajua jinsi ya kumfanya dume afunguke??

Babu DC!!
 
Mi nahisi hisia kwa mkewe zimeisha siku nyingi na hii inaweza kuwa may be

1)imetokana may be kama waliwahi kuwa na misunderstandings katika uhusiano wao toka siku nyingi ambazo zimepelekea ku suppress hisia za jamaa.

2).But also there is another gud reason kwamba huyo Mume ana nyumba ndogo ambayo imempelekea kuwa kama alivyo kwenye love making .

Mke inabidi amchunguze sana mume na kama hayo niliyotaja hayana ukweli kwenda HOSPITAL ndio SOLUTION.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
sema tu ni wewe sie huku hatunaga shida usikimbie kivuli chako ,ndio sababu unajikanyaga ,na anonymus yote bado una woga???we bwata tu hapa hatuweki footprint mama

Nivea, hapo umemshambulia mtu binafsi badala ya hoja. So tatizo liko pale pale; kama ni yeye binafsi amevaa uhusika wa mwingine tatizo bado liko palepale.

Jitahidi kutoa suluhisho.
 
Mi nakuwa na swali hapa. Je, huyu mheshimiwa analichukuliaje tatizo lake? Yaani kwa miaka sita akae tuuuu bila kujishughulisha, kwenda hospitali?

Nina wasiwasi kwamba;
... inawezekana hana hisia kwa mke wake kwa sasa, ndo maana wala hajali na anakuwa mkali pindi mkewe anapojaribu kutafuta sjluhisho.
... labda kweli ana tatizo na anaogopa kwenda kufanyiwa check up ya mwili wake.

Ila ninavyojua mimi, hakuna mwanaume atakayeridhika kukaa na hali ya namna hiyo kwa miaka 6, atashika mbingu na nchi, ilimradi tu ajisikie mwanaume zaidi.
 
Imani yake ikoje? Inabidi aende kwenye maombi atafunguka. Mwambie dada yako afunge akimuombea mumewe mambo yatakuwa fresh, TO GOD EVERYTHING IS POSSIBLE
 
pole sana for ur csta.je umewahi kumuliza huyo dada yako kama mume wake amewahi kupata tatizo lolote la kiafya kabla ya tatizo hilo kuanza?hususani kisukari,BP and other life style diseases.
 
pole sana for ur csta.je umewahi kumuliza huyo dada yako kama mume wake amewahi kupata tatizo lolote la kiafya kabla ya tatizo hilo kuanza?hususani kisukari,BP and other life style diseases.

Kama hana mojawapo ya hayo inawezekana ni majini mahaba, yakiingilia kati ndoa inakuwa chungu. Mara nyingi yanajulikana kama mtu anaota anafanya tendo la ndoa na mtu asiyemjua. Na anaweza kuwa kwa mke au mme na kumdhuru mwenzake. Kama chanzo siyo magonjwa ya kibinadamu watafute kanisa linalofanya huduma za maombezi wakaombewe. Kama ni muangaliaji mzuri wa Emmanuel Tv utayaona hayo na ndiyo chanzo kikubwa cha tatizo hilo.
 
..katika raha na shida....afya na maradhi...... MSALABA.....
 
Umenena kweli

mh! Kaunga umenipa kikombe kizito ujue!
najaribu kusema nashindwa!najaribu kunyamaza nashindwa najaribu kuvaa viatu vya hao wanandoa nashindwa(vinanibana i see)

weell!
tumeumbwa tukiwa wanadamu unajua enh!lakini pia kwenye uumbaji wetu tulipewa utashi na maamuzi!
ni ngumu sana ukiiangalia ngumu mno!lakini ndio mumeo ndio mkeo!unafanyaje?

mume namuelewa ukali na kukumbushia makosa ya mke ya zamani ni kujaribu kujisahaulisha tatizo!lakini anaumia pia!nani anaweza kuona rahisi kuona tu paja na zangundi ya mke ikivaa na kuvua teitei bila kuweza kuigusa jamani!
lakini sasa hao wawili inabidi watafute namna ya kusaidiana !
kuanzia kimwili mpaka kiroho!

kimwili ,japo si very suffiecient kihivyo lakini bora nusu hasara bana!mume anaweza kumpa support wife kivingine!
lakini hili nalo lataka ridhaa ya mke kiakili!like ajue kuwa mume wangu anaweza hili na hili ndio napaswa kuridhika nalo!kuridhika ni pamoja na kutokumfanya mwenzie aone hafai tena!KILA KITU NI AKILI TU!akili tu ukiiset kitu inakubali na maiisha yanaendelea!

kiroho,hakuna wakati hii ndoa inahitaji sala na kumlilia Mungu kama huu!hakuna!
na katika hilini maombi na kufunga kwa pamoja!SALA zinaleta faraja jamani,sala zinapeleka nguvu na tumaini paliposhindikana!

ilayote tisa!
Kumi
NDOA NI ZAIDI YA TENDO!NI ZAIDI YA KUZAA WATOTO!NI ZAIDI YA MIILI YETU!
ukiweza kufika stage unahisi umeoa na kuolewa na nafsi ya mwenzi wako!,walahi hata kumuona akifua na kurudi nyumbani tu ni ridhiko la kijinsia tosha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom