Ndoa bila Tendo......Msaada

Ndoa bila Tendo......Msaada

SaraM

Senior Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
162
Reaction score
110
Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.

Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.

Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.
 
Miaka sita bila unyumba na hao watoto waliwapataje
Inawezekana kuna matatizo aliyo nayo huyo mwanaume na hataki kuwa wazi
Muhimu ni kuwa dada yako atafute nafasi nje kabisa ya nyumbani hata kama ni kuingia gharama amtoe sehem atulie nae waulizane tatizo ni nini kistaarabu na sehem yenye utulivu.
Duh ila miaka sita bila unyumba hapo hapana aise
 
::
Ajaribu kumuandalia Karanga mbichi (zilizosagika) zilizochanganyika na mihogo iliotwangwa(sagika) ale ikiwa peke yake.
Kama anapenda asali atumie kijiko kimoja kikubwa kabla ya kulala na asubuhi kabla ya kupiga mswaki..ashushie maji asubuhi.
::
Kiakili
Anatakiwa ajitahidi kumtia moyo wakati wa tendo la ndoa.
Uchawi mzuri anaoweza kuutumia ni kumpa sifa mumewe na pongezi kwa kila jambo.Avae sura ya upya kiasi cha mumewe kumshangaa.
::
Kifamilia
Aanze kujiwekea utaratibu wa kumwomba Mungu kama familia,na amshirikishe Mungu tatizo lake.
=
 
mh! Kaunga umenipa kikombe kizito ujue!
najaribu kusema nashindwa!najaribu kunyamaza nashindwa najaribu kuvaa viatu vya hao wanandoa nashindwa(vinanibana i see)

weell!
tumeumbwa tukiwa wanadamu unajua enh!lakini pia kwenye uumbaji wetu tulipewa utashi na maamuzi!
ni ngumu sana ukiiangalia ngumu mno!lakini ndio mumeo ndio mkeo!unafanyaje?

mume namuelewa ukali na kukumbushia makosa ya mke ya zamani ni kujaribu kujisahaulisha tatizo!lakini anaumia pia!nani anaweza kuona rahisi kuona tu paja na zangundi ya mke ikivaa na kuvua teitei bila kuweza kuigusa jamani!
lakini sasa hao wawili inabidi watafute namna ya kusaidiana !
kuanzia kimwili mpaka kiroho!

kimwili ,japo si very suffiecient kihivyo lakini bora nusu hasara bana!mume anaweza kumpa support wife kivingine!
lakini hili nalo lataka ridhaa ya mke kiakili!like ajue kuwa mume wangu anaweza hili na hili ndio napaswa kuridhika nalo!kuridhika ni pamoja na kutokumfanya mwenzie aone hafai tena!KILA KITU NI AKILI TU!akili tu ukiiset kitu inakubali na maiisha yanaendelea!

kiroho,hakuna wakati hii ndoa inahitaji sala na kumlilia Mungu kama huu!hakuna!
na katika hilini maombi na kufunga kwa pamoja!SALA zinaleta faraja jamani,sala zinapeleka nguvu na tumaini paliposhindikana!

ilayote tisa!
Kumi
NDOA NI ZAIDI YA TENDO!NI ZAIDI YA KUZAA WATOTO!NI ZAIDI YA MIILI YETU!
ukiweza kufika stage unahisi umeoa na kuolewa na nafsi ya mwenzi wako!,walahi hata kumuona akifua na kurudi nyumbani tu ni ridhiko la kijinsia tosha!
 
Last edited by a moderator:
Miaka sita bila unyumba na hao watoto waliwapataje
Inawezekana kuna matatizo aliyo nayo huyo mwanaume na hataki kuwa wazi
Muhimu ni kuwa dada yako atafute nafasi nje kabisa ya nyumbani hata kama ni kuingia gharama amtoe sehem atulie nae waulizane tatizo ni nini kistaarabu na sehem yenye utulivu.
Duh ila miaka sita bila unyumba hapo hapana aise
Ndoa yao ina miaka zaidi ya kumi na hivi, so watoto aliapata bila tatizo ndugu yangu, wanasafiri mbuga za wanyama, wanaendaga zanzibar sijui ma nchi ya mbali,dada akirudi ananiambia hakuna kitu kilichotokea, huruma jamani
 
Lazima kunasababau, lbda mume amekuwa mlevi sana, au mume anamahusiano mengine na amehamisha moyo uko huko inje!
 
mh! Kaunga umenipa kikombe kizito ujue!
najaribu kusema nashindwa!najaribu kunyamaza nashindwa najaribu kuvaa viatu vya hao wanandoa nashindwa(vinanibana i see)

weell!
tumeumbwa tukiwa wanadamu unajua enh!lakini pia kwenye uumbaji wetu tulipewa utashi na maamuzi!
ni ngumu sana ukiiangalia ngumu mno!lakini ndio mumeo ndio mkeo!unafanyaje?

mume namuelewa ukali na kukumbushia makosa ya mke ya zamani ni kujaribu kujisahaulisha tatizo!lakini anaumia pia!nani anaweza kuona rahisi kuona tu paja na zangundi ya mke ikivaa na kuvua teitei bila kuweza kuigusa jamani!
lakini sasa hao wawili inabidi watafute namna ya kusaidiana !
kuanzia kimwili mpaka kiroho!

kimwili ,japo si very suffiecient kihivyo lakini bora nusu hasara bana!mume anaweza kumpa support wife kivingine!
lakini hili nalo lataka ridhaa ya mke kiakili!like ajue kuwa mume wangu anaweza hili na hili ndio napaswa kuridhika nalo!kuridhika ni pamoja na kutokumfanya mwenzie aone hafai tena!KILA KITU NI AKILI TU!akili tu ukiiset kitu inakubali na maiisha yanaendelea!

kiroho,hakuna wakati hii ndoa inahitaji sala na kumlilia Mungu kama huu!hakuna!
na katika hilini maombi na kufunga kwa pamoja!SALA zinaleta faraja jamani,sala zinapeleka nguvu na tumaini paliposhindikana!

ilayote tisa!
Kumi
NDOA NI ZAIDI YA TENDO!NI ZAIDI YA KUZAA WATOTO!NI ZAIDI YA MIILI YETU!
ukiweza kufika stage unahisi umeoa na kuolewa na nafsi ya mwenzi wako!,walahi hata kumuona akifua na kurudi nyumbani tu ni ridhiko la kijinsia tosha!
Sioni like!! thanks snow
 
snowhite dah umefafanua vyema sana na asante kwa uzi wako
na mahali pengine niseme wazi inawezekana dada yako nae ni chanzo cha matatizo ya mumewe kama kuna masimabo ndani ya nyumba kama kushawahi kutokea dharau kwa upande wa mkewe wakati wa kile kitendo kwa kweli inauwa sana hali halisi. Asiwe anamsimanga au kumsema vibaya mumewe au kumkumbushia pale aliposhindwa kufikia lengo au kumuona kuwa hafai au hajakamilika kama mume
Inapaswa kumpa moyo na kusaidia kutafuta ufumbuzi maana kama wana watoto na ndoa ni ya muda hivyo kuna mengi ambayo inawezekana yametokea kwa huyo mwanaume au kuna matatizo aliyo natyo na hajapata sehem ambako anaweza kutulia akamueleza mke wake may be kutokana na masimango ya mke au maneno ya mke
 
Last edited by a moderator:
mh! Kaunga umenipa kikombe kizito ujue!
najaribu kusema nashindwa!najaribu kunyamaza nashindwa najaribu kuvaa viatu vya hao wanandoa nashindwa(vinanibana i see)

weell!
tumeumbwa tukiwa wanadamu unajua enh!lakini pia kwenye uumbaji wetu tulipewa utashi na maamuzi!
ni ngumu sana ukiiangalia ngumu mno!lakini ndio mumeo ndio mkeo!unafanyaje?

mume namuelewa ukali na kukumbushia makosa ya mke ya zamani ni kujaribu kujisahaulisha tatizo!lakini anaumia pia!nani anaweza kuona rahisi kuona tu paja na zangundi ya mke ikivaa na kuvua teitei bila kuweza kuigusa jamani!
lakini sasa hao wawili inabidi watafute namna ya kusaidiana !
kuanzia kimwili mpaka kiroho!

kimwili ,japo si very suffiecient kihivyo lakini bora nusu hasara bana!mume anaweza kumpa support wife kivingine!
lakini hili nalo lataka ridhaa ya mke kiakili!like ajue kuwa mume wangu anaweza hili na hili ndio napaswa kuridhika nalo!kuridhika ni pamoja na kutokumfanya mwenzie aone hafai tena!KILA KITU NI AKILI TU!akili tu ukiiset kitu inakubali na maiisha yanaendelea!

kiroho,hakuna wakati hii ndoa inahitaji sala na kumlilia Mungu kama huu!hakuna!
na katika hilini maombi na kufunga kwa pamoja!SALA zinaleta faraja jamani,sala zinapeleka nguvu na tumaini paliposhindikana!

ilayote tisa!
Kumi
NDOA NI ZAIDI YA TENDO!NI ZAIDI YA KUZAA WATOTO!NI ZAIDI YA MIILI YETU!
ukiweza kufika stage unahisi umeoa na kuolewa na nafsi ya mwenzi wako!,walahi hata kumuona akifua na kurudi nyumbani tu ni ridhiko la kijinsia tosha!

Umeona, ukibananishwa unakuwa na busara.
Kweli l agree Mke awe patient na supportive kwa mumewe badala ya kumnanga. Achukulie ni tatizo lao sio la mumewe; sema maumbile yako friendly kwetu otherwise labda nasi tungekuwa na erection (sio ctrito or nipple) huenda tungeelewa!
 
Last edited by a moderator:
wapenzi salaam,
nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.

Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.

Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.
sema tu ni wewe sie huku hatunaga shida usikimbie kivuli chako ,ndio sababu unajikanyaga ,na anonymus yote bado una woga???we bwata tu hapa hatuweki footprint mama
 
Atafute chanzo cha tatizo la mumewe kwa kumshirikisha mumewe ipasavyo tena live live, amwaambie ukweli kuwa anafanya underperformance kulinganisha na miaka ya nyuma.......ila miaka 6 kavumilia, hapa bado sijaelewa maana hata huyo bwana alishajua kuwa hii hali haimuathiri mkewe......sasa leo anaweza kuona anachoambiwa ni cha ajabu sana!!!!!!

Lkn kubwa jema la kufanya ni kuhakikisha kuwa mumewe anajua kuwa anaunderperform then solution itaanzia hapo
 
Lazima kunasababau, lbda mume amekuwa mlevi sana, au mume anamahusiano mengine na amehamisha moyo uko huko inje!
Naweza sema maybe anae mtu,lakini navyowaona hakuna changes zozote, zaidi ya sister kusinyaa kila kukicha.
 
Atafute chanzo cha tatizo la mumewe kwa kumshirikisha mumewe ipasavyo tena live live, amwaambie ukweli kuwa anafanya underperformance kulinganisha na miaka ya nyuma.......ila miaka 6 kavumilia, hapa bado sijaelewa maana hata huyo bwana alishajua kuwa hii hali haimuathiri mkewe......sasa leo anaweza kuona anachoambiwa ni cha ajabu sana!!!!!!

Lkn kubwa jema la kufanya ni kuhakikisha kuwa mumewe anajua kuwa anaunderperform then solution itaanzia hapo
kasema kila akijaribu kuongelea hilo swala analetewa ukali wa hali ya juu, na kumbuka kumwongelesha mwanaume kitu hicho yataka ujasiri,akimwambia twende hospital anajifanya kaenda mwenyewe anarudi na vidawa vya forever living na health sijui nini, yaani nimeonyeshwa, naona kama ni za kawaida tu zile herbal
 
Umeona, ukibananishwa unakuwa na busara.
Kweli l agree Mke awe patient na supportive kwa mumewe badala ya kumnanga. Achukulie ni tatizo lao sio la mumewe; sema maumbile yako friendly kwetu otherwise labda nasi tungekuwa na erection (sio ctrito or nipple) huenda tungeelewa!
na mi ndo nimejishangaa!
yaah kusema ukweli hili la mke kusema kwa mdogo wake najua anakuwa anatafuta pa kuongea!lakini i think it is way too much! SaraM mwambie dadako nyumba na mume ni vyakwake!
anapokuambia kila hatua mume wake anayopitia kimwili itis too ambarassing!
kifua kina sababu zake kuwa hivi kilivyo jamani!
nani anajua mume anajua kuwa dadayake mleta mada anajua tatizo lake!
jamani erction ni zaidi ya ya dushe kusimama(hapa naanza zile bangi zangu!)
nyuma kuta nne na bati lake juu!wapenzi!
 
Last edited by a moderator:
sema tu ni wewe sie huku hatunaga shida usikimbie kivuli chako ,ndio sababu unajikanyaga ,na anonymus yote bado una woga???we bwata tu hapa hatuweki footprint mama
Sio mie, sijaolewa nivea.ingekuwa mie wala nisingeona shida coz hakuna anaenijua humu
 
Kwanza washirikiane kujua chanzo ni nini?
Halafu mwanamme aende hospital labda ana shida nyingine kubwa.

Ila kwa upande wangu, my husband comes first.
Kama anajitahidi kunyanyuka kidogo, itabidi tufundishane umaliziaji
Kama umefunga ndoa na mtu, michezo ya nje wala hainogi ni kujichafua tu nafsi(Ni mtizamo wangu tu)
 
Back
Top Bottom