Sasa hivi hawawezi kuua tena, si wameshashtuakiwa, Charminglady kama vipi twenzetu, ndo naenda kumpitia Preta
alaa kumbe, ngoja nkafanye booking ya flight ili wakiku-ulimboka nikupeleke nje ya nchi ukatibiwe!
Mkuu Pinokyo,uoga wa nini? si matembezi tu!?
Hayo ndo maneno, hii ishu inaweza ikanipa DEAL ya kupanda ndege na kwenda nje ya nchi kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe, great idea!
Wadau, binafsi huwa napenda week end nikipata muda niitumie kutembelea sehemu au maeneo ambayo sijawahi fika kabla ikiwa kama sehemu ya ku REFRESH! leo nimeona nitembelee MSITU WA PANDE kwa sababu sijawahi fika,nauskia tu. kama kuna mdau atapenda kuongozana nami huko twende!!!