Ndo naelekea "MSITU WA PANDE"

Ndo naelekea "MSITU WA PANDE"

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Wadau, binafsi huwa napenda week end nikipata muda niitumie kutembelea sehemu au maeneo ambayo sijawahi fika kabla ikiwa kama sehemu ya ku REFRESH! leo nimeona nitembelee MSITU WA PANDE kwa sababu sijawahi fika,nauskia tu. kama kuna mdau atapenda kuongozana nami huko twende!!!
 
leo najisikia kupanda X6 au EVOQUE....sijui ndo uko na mojawapo.....?

Preta usijali,niko na BAISKELI phoenix mpya,made in china,two wheels ride na carrier ina sponge, HOPE uta enjoy!
 
ngoja nitangulie mochwari wakati mnarudi mtanikuta hapo.
 
Mh...msitu wenyewe ndo uko wapi vile?!

Mkuu mentor, si kule wanakofanyiaga mambo yao watu wa SISTIMU,kwa kingereza kunaitwa "THE SILENCING GROUND"
 
ngoja nitangulie mochwari wakati mnarudi mtanikuta hapo.

Aah! banana man,tusitishane bana,mi wataniua kwa lipi, Sijawahi fanya biashara ya madini nikitokea mahenge au kuwa dereva taxi wa sinza, vilevile sijawahi kuwa mwenyekiti wa proffesionals waliogoma tangu nizaliwe! I think niko safe!
 
Mmenchekesha sana leo wadau.., hivi ile koleo na bisibisi wale kina msangi waliviacha kule kule?
 
Jf kuna vituko. Nimecheka mpaka basi tu. huo msitu unatisha. Nadhan kuna makaburi bubu tele. Who is next?
 
Back
Top Bottom