Ndo mara yangu ya kwanza...!

Babuuu, long time no see u!! uko wapi? Karibu kwa Obama bana tule maisha, bills on my side lools, yaani mie nimeinjoy sijapata kero yoyote ila nahisi kiuna kinataka kufa ganzi kwa kukaa muda mrefu looh


Hiyo nayo ni sehemu ya ku-enjoy??

Ahsante sana kwa offer...Ngoja niwasiliane na bibi tuone kama tunaweza kuchangamkia fursa..

Na ticket unatutumia??
 
Hahahahahhaaaaa.. mama huwa ananiacha hoi sana. Apo kwenye wimbo yaani kama namuona vile, nfgoja nivizie hii alhamisi kama sikosei saa tatu tatu sio.
 
Mbaayaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! Hahahahaaaaaa... Aise you made ma day!!!

''wewe kila siku mbagala ubungo, mbagala kariakoo... POKEA MIGUU YA KWENDA ULAYAAAAA'' Kidogo nianguke kwa kicheko siku namuona jamaa akipiga gia baada ya kupokea gari kimoyomoyo..... jamaaa kapiga njii njiinn njiiiiiiiiiinnnn..ppsssiiiiiiii!!! katupia gia (japo sijui ilikua namba ngapi) ila itakuwa gia ya RIVASI ile.. maana imetupiwa apo apo imerudishwa nyuma kwa kasi... afu unamuona dereva akinesa nesa baada ya kupiga hio gia....Hihhihihihihiiiii!!

Interesting... Usiombee umkute akiponda wadada... eti wengine hadi magreda na MABULDOZA yameshawapitia ndio maana wapo wapo tu.....hao waoaji wanajidai ''if you can get free milk, why keep a cow''..........mbaayaaaaaaaa!!!
 
Nilishawahi kupata kazi ya kuhudumia mzee mmoja mwenye pesa zake huko ili kusaka mshiko tu. Nenda nawewe ukajaribu bahati yako mama lakini usisahau kubeba Mimba ya Kimarekani ili utokemo....
 
Hahahahahhaaaaa.. mama huwa ananiacha hoi sana. Apo kwenye wimbo yaani kama namuona vile, nfgoja nivizie hii alhamisi kama sikosei saa tatu tatu sio.
Wiki iliyopita alikuwa Bunju B kuzindua tawi la kanisa lake, si unajua sasa hivi ni askofu baada ya kujitoa TAG....Basi shughuli ilikuwa shughulini mbona Bunju B kumeachwa mashimo kwa kutembea kwa kishindo cha Ngi..ngi..ngi..ngi..ngi..ngi.....
 
Mada imechangamka si mchezo.....mi bado niko tazara,full foleni tumejazana ndani ya DCM naenda kitunda, joto kama kawa,nakuoneaje wivu jimama,we nend a kale maraha state,ila usifanye dili za mapouda huko..!!
 
uuuuuwiii mimi dar napasikia...nimezaliwa sitimbi...maisha yangu sitimbi....nikiona lami ntafurahiije...
Kasinde nasubri crush+popo wa obama+wabeba box wape hi

Poreeee mwaya.
 
Last edited by a moderator:
safari njema Kasinde!

sijui huko nako kutakuwa na popo wing? hahahaaa!!

ntakutafuta nikutumie vidolare unitumiepo ki 4G kimoja hivi!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa...... Mkuu umeniacha hoi kwa kicheko aisee... Hahaaaa kie kie kie..

Shetani alivyokanyagwa kanyagwa atakua ana ngeu kila mahali sasa hivi huko aliko. ngi...ngi...ngi...ngi...ngi...ngi..!!!!!!!!

Wiki iliyopita alikuwa Bunju B kuzindua tawi la kanisa lake, si unajua sasa hivi ni askofu baada ya kujitoa TAG....Basi shughuli ilikuwa shughulini mbona Bunju B kumeachwa mashimo kwa kutembea kwa kishindo cha Ngi..ngi..ngi..ngi..ngi..ngi.....
 

wajuzi wa kusimulia mpo wengi huku JF, ila safi sana nimependa!
 
Lakini kwenye ndege unatakiwa uzime simu, sasa hiyo conection ya net kwenye ndege uli ipateje wakati simu iko off.
 
Kasinde sio unatupiga kamba?, sisi wenzio tuliozoea kupanda Abood na Nganga tulisimuliwa kua kwenye ndege hakuna kuwasha simu, you either switch it, on a flight mode or swith off .......lipi ni lipi
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nikaingia kwenye thread kuangalia story, I was thinking maybe its her first time to taste dushe mmmh kumbe nilienda mbaliii sana lol..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…