Lamborghini
Senior Member
- May 30, 2014
- 122
- 55
nimelaik nikaona haitoshi. Yaani hapa nacheka mpaka machozi. Huwa nabaki mdomo wazi pale napoona watu wazima wakidaka safari toka kwa askofu "pokea safari ya china, pokea safari ya amerikani" halafu watu wazima wanaruka kwa furaha, wanadaka huku wengine hata wakiwa hawana paspoti. Kali kuliko zote ni pale wanapopokea gari, hihihihihihiiiiii,,,pokea funguo funguo za gari lako, ameeeeeeeen! Wanadaka funguo za kufikirika halafu wanaambiwa wawashe gari. Hapo hata kama huna bandama lazma ucheke. Watu wazima wanawasha gari, mkono mmoja umeshika usukani, mwingine unawasha. Wanasema, "chonyonyonyooo" halafu wanaitikia njii njii njii njiiiiii. katikati ya kicheko unashtuka kuwa hili ni janga, unaingiwa na huzuni unahamia chaneli nyingine.
uuuuuwiii mimi dar napasikia...nimezaliwa sitimbi...maisha yangu sitimbi....nikiona lami ntafurahiije...
Kasinde nasubri crush+popo wa obama+wabeba box wape hi
Sasa mbona ile picha niliyoomba kwa inbox hujatuma?? I wanna see how real you are.."you know what I'm saying?"..lols
Mara nyingi huwa napenda sana kusafiri na njuka....huwa inanikumbusha safari yangu ya kwanza...!!
Ila safari za kwa Obama zinakera sana!
nimelaik nikaona haitoshi. Yaani hapa nacheka mpaka machozi. Huwa nabaki mdomo wazi pale napoona watu wazima wakidaka safari toka kwa askofu "pokea safari ya china, pokea safari ya amerikani" halafu watu wazima wanaruka kwa furaha, wanadaka huku wengine hata wakiwa hawana paspoti. Kali kuliko zote ni pale wanapopokea gari, hihihihihihiiiiii,,,pokea funguo funguo za gari lako, ameeeeeeeen! Wanadaka funguo za kufikirika halafu wanaambiwa wawashe gari. Hapo hata kama huna bandama lazma ucheke. Watu wazima wanawasha gari, mkono mmoja umeshika usukani, mwingine unawasha. Wanasema, "chonyonyonyooo" halafu wanaitikia njii njii njii njiiiiii. katikati ya kicheko unashtuka kuwa hili ni janga, unaingiwa na huzuni unahamia chaneli nyingine.
hahahahaa ntajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu zisitokee labda tuu sijui iweje japo ntajiachia sana kujirusha kwa kula ujana
polee.....
dah we acha tu mkuumauzauza
sasa picha umepiga wewe au umepigwa?hahaha safari njema ushafika.
Habari zenu wapendwa,
zali limendondokea nimegongewa visa ya mwaka mzima kwenda kwa Obama.
Hapa nilipo niko on transit mitaa ya dubei kwa waarabu wa wese.
Sasa bana hii ndo mara yangu ya kwanza kuja huku, msinicheke ila kwenye ndege nimekunywa maji mengi mno na apple juice.
Pia nimekula msosi wote kila kitu nilichowekewa sijabakisha kitu kwenye trei.
Hapa nakusibiri kukonecti ndege kuelekea kwa Obama nikasema wacha niwashirikishe wadau wenzangu, ila msiniulize hilo zali la kwenda kwa Obama nimelipataje.
Ntakuwa huko kwa mwaka mmoja visa ikiisha narudi bongo (mission have to be accomplished looh).
Nikirudi lazima kilugha kiwe kimebadilika looh you know what am saying zitakuwa kwa wingii hehehehee ila kiyoyozi kikali hapa aiport balaa halafu nimepiga umini sasa daah wacha nikatafute stockings.
Ndo mara yangu ya kwanza hii kwenda kwa Obama, mlioko huko mtakuja kunipokea airport? msijali niko full loaded no string attached.....
See you later guys, always Kasinde!!
MORE UPDATES:
Basi bwana nikajisemea sishuki kwenye ndege hadi niache puu yangu humu, sasa ikawa haiji nikaanza kuwasumbua wale crew kuwa nataka fruit salads na any sea food maana mie tumbo langu na se food huwa halikopeshi lazima nikaripoti toilet.
Thank God nikapa puu bana nikaenda zangu toilet kwanza kachumba kenyewe kadogo daah nikashangaa shangaa pale nikatengeneza mazingira vizuri kisha nikakaa kwenye ile seat. Paratataaaa nikaachia puuh like winnie the pooh looh sasa nikamaliza nikaangalia mahali pa kuflush nikapaona nikabonyeza weeeh nusura nitoke na mlango kwa woga....hahahhaa msinicheke jamani maana kile choo kilikuwa kinaflash na speed ya ajabu na hakikuwa na maji mengi sasa sauti ya flush ndo ilinistua nikaogopa nila nilijigonga mlangoni daaah. Nashukuru nikatoka salama nikijikausha kama mwenyeji vile ila next time nshajua sipuu tena roho yaweza kutoka mie nlijua chini kumetoboka na hewa inaingia ndani kwa nguvu looh!!
Bado sijafika kwa Obama niko on the way natumia wifi internet ya kwenye ndege masaa 16 angani si mchezo daah!!!
Luv u all guys!!
hahahahaa kuzeeka hapa no, nakula ujana full kujiachia, I can crush but no jig jig looh maana zinazeesha hizo