Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari.
Haya Taifa lipo na slogan ya OCTOBER TUNATIKI ✅ lakini Kuna mtu anabisha lakini anabisha huku juzi hapa alikuwa anaangalia wajumbe watampitisha mbunge wake yupi🤣 🤣 hii ndo falsafa ya TUNATIKI tunaanzia kwenye kura za maoni za madiwani na wabunge tunamalizia kwa Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan hapo OCTOBER
Wanaume tuachane na ubishi usio na mantic ni kuutesa moyo na fikra hasi zinaua kuliko kisukari.
Mimi naamini OCTOBER TUNATIKI na ndo ukweli wenyewe huo.