Ndivyo itakavyokua..!

Ndivyo itakavyokua..!

yeye mangi alikuwa upande gani?

Mara Mungu akamwambia ze mangi, hebu geuka kule unaitaje majina huku umenigeukia. Mara mangi alipogeuka mbele akawa amewapeleka wapendwa wake kushoto. Na mungu akamwambia, wafuate walio wako
 
mkuu wa kaya bhana hakuna kujadili hata yeye anajua akija tu anapata makofi kadhaa alafu mwenyewe bila kuambiwa anajinyookea kiulaiiiiniiii pande za kushoto

Hakuna ubishi,mzeya! hapo umenena.
 
Mara Mungu akamwambia ze mangi, hebu geuka kule unaitaje majina huku umenigeukia. Mara mangi alipogeuka mbele akawa amewapeleka wapendwa wake kushoto. Na mungu akamwambia, wafuate walio wako

hahahahahahaha....umenichekesha sana,hapo natakiwa niwe makini sana sku hiyo
 
>Walokole wote KUSHOTO...
>Mateja wote KULIA....
>Machangudoa wote....mhh..!hawa cjui waende wapi!!!
>Walevi....hapa inahitaji busara kuchagua.
>Wanaoenda kanisani sana lkn hawatoi sadaka KUSHOTO.
>Wabunge wote wa vyama pinzani ...KULIAAAA!
>Torres alikosa magoli cku Chelsea walipocheza na Man u...KUSHOTO,
>Refa aliyempa Drogba na Bosingwa Red card...KUSHOTO,
>Nani mwingne aende kulia or kushoto?

hao machangudoa wapige kati tu chalii angu
 
kweli jombaa,hawa watawekwa kati hahahahahahaha....

ukiwatia kushoto au kulia watashangaa sana maana matendo yao hayaruhusu kutiwa kushoto wala kulia labda uwatie mbele yako au uwatie nyuma mpaka umalize watu wote ndio uwarudie uwatie kushoto na wengine kulia
 
hahahahahaha...umenichekesha,ila lugha uliyotumia.....mh na wewe kushotoo
 
Na nyie wote mlioleta utani kwa Mwenyezi Mungu ktk siredi hii kushoto!
 
Back
Top Bottom