Ndivyo itakavyokua..!

Ndivyo itakavyokua..!

oyinsuH kuleft,paw kuright,rweye kuleft na wewe kuleft
 
Duh..!magufuli sijui nimpeleke wapi.!nisaidieni wajamen.
 
Athenal kushoto

Arsene Wenger kushoto
SAF kulia
Messi kushoto
Cristiano kulia
Wazza kulia
Chicharito kulia
Chogo kushoto
RVP kulia
Okwi kulia
Haruna Moshi kushoto
Jerry Tegete kushoto
 
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto.
MANGI:Sawa bosi,
Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO....,
wana CCM wote KUSHOTO....
Wachaga wote KULIA...
Wana CHADEMA KULIA.,
Osama KULIA...
Obama KUSHOTO...
Saddam KULIA...
J.K KUSHOTO...
Slaa na kabwe KULIA...
Ila nafasi ya kuingia uzimani ipo,ni wewe tu kunitoa na kiasi chochote cha fedha

sijui itakubidi utumie venn diagram? Maana kuna wana jf waliowaponda wachaga lakini ni wana cdm
 
Back
Top Bottom