Ndio nini kuminya minya mapaja wake za watu?

Ndio nini kuminya minya mapaja wake za watu?

Hawa mods wafukunyuku, sasa ndio nini kufuta posts za watu?

Hivi hamjui kuwa watu wanatumia muda wao mwingi kuipaisha hii Jeiefu?

Yaani ninyi pasipo hata hiyana with one single click mnabofya kitufe cha delete...post ya mtu inakuwa imeyeyuka...

Muwe mnaona aibu bana #@@&& %%% zenu!!!
 
kweli sio vyema, maana hapa ni class utafutaje kabla hatuaandika...?
 
CHEZEA UPAJA WA miss chagga WW..
55320_P_1351071730388.jpg

upaja kama huu kweli blaza watu8 eti anafanyiwa na kusuguliwa mapaja....?
 
Last edited by a moderator:
Wameniudhi sana, hivi endoscopy ni tusi? Wajue mie hadi kuweza kuliandika nimemediteti kwa masaa kadhaa

Hawa mods wafukunyuku, sasa ndio nini kufuta posts za watu?

Hivi hamjui kuwa watu wanatumia muda wao mwingi kuipaisha hii Jeiefu?

Yaani ninyi pasipo hata hiyana with one single click mnabofya kitufe cha delete...post ya mtu inakuwa imeyeyuka...

Muwe mnaona aibu bana #@@&& %%% zenu!!!
 
Mkuu hapo kwenye BLUE,, Hivi unapaona huko ndio salama zaidi kwa mkeo????

Pole!

Hata kama sio salama kiivyo lakini hamna uzalilishaji!!ogopa me mwenzio kucheza cheza na mwili wa wife wako anavyotaka ni hatari sana
 
Wameniudhi sana, hivi endoscopy ni tusi? Wajue mie hadi kuweza kuliandika nimemediteti kwa masaa kadhaa

Kwa leo ngoja niwasamehe tu ila siku nyingine lazima niwatangaze...hahahah!!!
 
Sasa kama namnyoa Ikulu, iweje kichwa nisinyoe? Ni maelewano ti na wala sio ubahili, hivi majuzi kama miezi 3 nimenunulia IST ya kwendea job, sokoni n.k. I thank God she is happy with me, apart of all am doing to her to be more natural ... Njoo nikutengeze na wewe

Ndio kumnyoa ikulu ni poa lakini kunyoa na kuwa kipara impossible aisee sijui kutokujiremba mkuu ngumu sana aisee mi nisingekubali tena eti unitengeneze hivo siwezi
 
mi ndo mana nmenunua vifaa vyote ndani, akitaka kuosha sijui kupaka rangi namaliza mwenyewe... Ila na hao vijana wanashida sana, sipati picha wanajipiga bao ngapi kwa siku maana hayo mapaja wanayokutana nayo ..........
Wengi wanazoea na kuna hatari wakawa dysfunctional
 
hah..!! leo ofisini muda wa chai mwenyew menyanyuka naenda chukua kikombe changu binafsi kikubwa mana vya ofisi ni tuduchu sitoshekagi( nlikiweka jikoni )ninywe chai.. binti vuuuuupp nkafungua mlango sijapiga hodi wala nini najua kunakaaga majiko na vyombo vingne vya kupikia tu.. lol nkakuta mdada mpika chai yupo na mkaka mmoja wa hapa ofisini wako bize mkaka anamnyonya mdada maziwa... namimi nkawa bize na yangu nkachukua kikombe huyooo nkawaacha na yao.....
 
Huyo mkaka aliingia kwa niya ya kumsugua miguu then mdada akanogewa wakaanza fujo au?
 
.. lol nkakuta mdada mpika chai yupo na mkaka mmoja wa hapa ofisini wako bize mkaka anamnyonya mdada maziwa...

Aisee ina maana huyo mkaka hatosheki tu na maziwa ya ofisini hadi aanze kunyonya ya mpika chai...
 
Saluni zilikuwa zamani hizi za sasa mi naona ni madanguro tu!!!
Na hii mikongo ndio imeasisi huu upuuzi!!

That's ma man!!!hihii tunasuguana chumbani miguu yetu
 
tehe tehe tehe tehe na nyie safari za salon za sinza mbona zimezidi,kila week mnaenda kunyoa ndevu na nywele ili muoshwe na mshikweshikwe na wale wadada

Sasa ndevu na upaja vinahisia sawa?
 
Aisee ina maana huyo mkaka hatosheki tu na maziwa ya ofisini hadi aanze kunyonya ya mpika chai...

hahahahahaha...mwishowe wadondokee kwenye jiko waungue bureeee mambo gan hayo papara mpaka jikoni??? huyo mkaka ni mume wa mtu hapoo na mkewe namfahamu si wananitafuta lawama tu mana mkaka rafiki angu na mkewe shosti yangu dah...anyway mi sisemi nsije vunja ndoa ya watu mimi..
 
Back
Top Bottom