Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,785
- 40,544
Mimi ndio maana kan'tangaze wangu huwa namfanyia nyumbani.
Last edited by a moderator:
Naomba kujua, lini mara yako ya mwisho kumsugua mkeo miguu,
Hilo ni jukumu langu na huwa nalitekeleza kwa ustadi mkubwa,kila akiitaji huwa nafanya hivyo au mawifi zake.
Nipo hapa muda huu sioni hata paja moja lililo nje achilia kuguswa. Wanawakata kucha na mmoja ndoo anasuguliwa mguu chini ya goti. Bahati mbaya siwezi kupiga picha. Hakuna cha ajabu mtoa Uzi umeingiza hisia zaidi. Hii in fani ya watu

Kama we unafanya hongera,acha wasio fanya hivo wasaidiwe.....Hilo ni jukumu langu na huwa nalitekeleza kwa ustadi mkubwa,kila akiitaji huwa nafanya hivyo au mawifi zake.