piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 613
Aisee ina maana huyo mkaka hatosheki tu na maziwa ya ofisini hadi aanze kunyonya ya mpika chai...
Hahahaha, ni nouma
Aisee ina maana huyo mkaka hatosheki tu na maziwa ya ofisini hadi aanze kunyonya ya mpika chai...
Hahahaaa..umeona hiyo umeshangaa?kuna full body massage..hiyo dem anachuliwa na men...ndio alie piga nondo kifua kikagawanyika vyema kabisa...ili avutie..kina baba wanachuliwa na kina dada..warembo mithili ya jokate...utandawizi!Aaggrrhh...inaudhi sana wakuu nimepita hapa maeneo ya mwenge kuna vitu nimeona ikabidi nianze kujihoji maswali mwenyewe bila kupata majibu ila nikaona sio mbaya majibu ya vitu hivi tuyatafute sote.
Yani kuna mtaa hapa wanawake ni mapaja wameanika nje halafu kuna jamaa wanawasugua na wanawake wenyewe nilivyowaona wapo kwenye hisia za hali ya juu kuna mwingine kavaa pete ya ndoa kabisa na kachanua mapaja yanaminywa minywa tena kafunga mpaka macho kwa hisia"paja ni kiungo cha siri" (sehemu sensitive haswaa)
Akiya mungu mke wangu simruhusu huu ujinga acha nitamsugua mwenyewe mbona mama zetu hawakufanya huu upuuzi?namkumbuka mama yangu alivyokuwa akikata kucha zake kwa wembe tena wakati mwingine mzee alikuwa akimkata lazima niwaige wazee wa zamani kwa niliyoyashuhudia hapa mwenge.
Hali ile ni ya hatari pale kwa haraka haraka vile vijamaa vitakuwa vinakanyaga wake/mademu wa watu kwa kuwatia genye kijinga jinga tu"ndio maana waarabu hawataki huu uhayawani"
Nashauri tusikubali huu ujinga kama hawa wanawake wanataka kwenda kusuguliwa miguu yao na kukatwa kucha ni vema wasuguane kwenye saluni ambazo wanawake wanafanya kazi hiyo wenyewe zaidi ya hapo ni wizi mtupu.
Swali kwa wanaume: Unamruhusu mkeo/ mpenzi wako kwenda kupata huduma hii? Swali kwa wanawake: Kuna kitu gani special kwenda kusafishwa miguu badala ya kujisafisha mwenyewe nyumbani?
Natarajia paniki kwa wanawake wanaoendekeza huu ujinga wa kuzalilisha miili yao tena adharani na kuona ni sehemu ya uadilifu, ila ukweli siku zote najuwa unauma.
Hahahaaa..umeona hiyo umeshangaa?kuna full body massage..hiyo dem anachuliwa na men...ndio alie piga nondo kifua kikagawanyika vyema kabisa...ili avutie..kina baba wanachuliwa na kina dada..warembo mithili ya jokate...utandawizi!
Sasa ndevu na upaja vinahisia sawa?
lin niyeona ni mimi hakuishia magotini alizidi akaenda kwenye mapaja kabisa na ndio kitu kimenustua mimi!!hawafiki mapajani jameni,huwa wanaishia magotini,nyie mkishanyolewa mkianza kuoshwa vichwa si mnaingizwa hadi vidole masikioni kutolewa nywele vilizoingia huko,mnasuguliwa hadi shingo
Mimi ntendelea kusema ngozi nyeusi ina matatizo yake ambayo ukiya discuss hapa utawehuka..kweli massage ni tiba ya stress na misuli kwa ujumla...sasa wao wanafanya yao!Ndugu yangu unaponiambia mambo ya full body massage ninayajuwa vema ile ni tiba
Na kwa taarifa tu zipo nchi duniani ni maarufu kwa hiyo tiba kama thailand n.k.
Unapoingia kwenye clinic za massage uwe ke au me kuna sheria zake za kulinda hiyo taaluma sio kama huu uchafu wanaofanyiwa wake/mademu wa watu bongo ni uzalilishaji tu hamna cha zaidi.
Umetumia nguvu nyingi kuelezea ulichoona!!!
Wanayataka wanaume wenyewe hayo,wao ndio wanaamini huwa wanachoka na wanastahili massage.Akiomba afanyiwe mke foleni ya excuses na hata akikufanyia atataka akukarahishe pia usiifurahie!
Msaidiwe tu!!!!
Una uwakika na unalosema?mbona kama massage mnafanyiwa sana?sema mna katabia kakutoridhika sasa endeleeni kuifanya hiyo miili yenu ni ya mazoezi kila mtu apapase papase tu!!
Mbona sikuoni, umevaaje kwani mi nipo nasugua hapa
Nooo!!kwa nini kawaida tu labda wewe.