Ndio nini kuminya minya mapaja wake za watu?

Ndio nini kuminya minya mapaja wake za watu?

Sasa kwan wanashka mapaja? ? Bas kama n hvo wanaimprove their standard. ..He he he he sjapata kuona aisee

Njoo nikuminye minye basi na wewe!

ntatumia mafuta ya nywele you know!
 
Rudia tena we Remote ya hitachi....

AISEE....
594979597_o.jpg
 
Mke wangu , sasa ivi ana kipara, namnyoa mwenyewe home, nina home cut, kucha kama primary school, nazikata mpaka nakaribia nyama! Nikiwa home mapema tunaoga wote, bafu la master-bed room, nasugulia miguu huko huko! Huo upuuzi wa mwenge, siju kinondoni, cjui salun ya nani..hajawahi kutamka.... Sabuni anaogea kipande cha JAMAA, mafuta Asherz yale ya kunukia.... she is real, na mimi ndie nimemtengeza hivyo, mpaka ndugu zake na wangu wanamsifia kuwa natural toka aolewe..... Changes is in you!

Mmmh hongeraaa

M ningerud kwetu shida hizo sitaki
 
Aaggrrhh...inaudhi sana wakuu nimepita hapa maeneo ya mwenge kuna vitu nimeona ikabidi nianze kujihoji maswali mwenyewe bila kupata majibu ila nikaona sio mbaya majibu ya vitu hivi tuyatafute sote.

Yani kuna mtaa hapa wanawake ni mapaja wameanika nje halafu kuna jamaa wanawasugua na wanawake wenyewe nilivyowaona wapo kwenye hisia za hali ya juu kuna mwingine kavaa pete ya ndoa kabisa na kachanua mapaja yanaminywa minywa tena kafunga mpaka macho kwa hisia"paja ni kiungo cha siri" (sehemu sensitive haswaa)

Akiya mungu mke wangu simruhusu huu ujinga acha nitamsugua mwenyewe mbona mama zetu hawakufanya huu upuuzi?namkumbuka mama yangu alivyokuwa akikata kucha zake kwa wembe tena wakati mwingine mzee alikuwa akimkata lazima niwaige wazee wa zamani kwa niliyoyashuhudia hapa mwenge.

Hali ile ni ya hatari pale kwa haraka haraka vile vijamaa vitakuwa vinakanyaga wake/mademu wa watu kwa kuwatia genye kijinga jinga tu"ndio maana waarabu hawataki huu uhayawani"

Nashauri tusikubali huu ujinga kama hawa wanawake wanataka kwenda kusuguliwa miguu yao na kukatwa kucha ni vema wasuguane kwenye saluni ambazo wanawake wanafanya kazi hiyo wenyewe zaidi ya hapo ni wizi mtupu.
Swali kwa wanaume: Unamruhusu mkeo/ mpenzi wako kwenda kupata huduma hii? Swali kwa wanawake: Kuna kitu gani special kwenda kusafishwa miguu badala ya kujisafisha mwenyewe nyumbani?

Natarajia paniki kwa wanawake wanaoendekeza huu ujinga wa kuzalilisha miili yao tena adharani na kuona ni sehemu ya uadilifu, ila ukweli siku zote najuwa unauma.

Naona umeamua kurusha jiwe gizani, litakae mpata atajibu tu.
Goja niendelee ku tune on jf
 
Kilicho nichosha zaidi ni pale nipoona anapete ya ndoa kwenye kidole nilijawa na maswali mengi mno!!na sio huyu tu wapo wengi sana hii ni kitu ya kupiga vita kabisa.

Pete hizo hizo zinauzwa na hao Majinga kwa hiy pete ni urembo kama kucha za bandia
 
Pete hizo hizo zinauzwa na hao Majinga kwa hiy pete ni urembo kama kucha za bandia

Sikatai zipo pete za urembo lakini sio ile na kidole alichokuwa amevalia lili kuwa jiko la mtu kabisa
 
tehe tehe tehe tehe na nyie safari za salon za sinza mbona zimezidi,kila week mnaenda kunyoa ndevu na nywele ili muoshwe na mshikweshikwe na wale wadada
 
Huo ni ubahili sasa wa kumpa tu mkeo akapendeze ni shidaah kah ndo umemunyoa usingizie u natural na mwendo wa vipara ningekuwa mimi thubutu

Sasa kama namnyoa Ikulu, iweje kichwa nisinyoe? Ni maelewano ti na wala sio ubahili, hivi majuzi kama miezi 3 nimenunulia IST ya kwendea job, sokoni n.k. I thank God she is happy with me, apart of all am doing to her to be more natural ... Njoo nikutengeze na wewe
 
Back
Top Bottom