Ndio nini kuminya minya mapaja wake za watu?

Ndio nini kuminya minya mapaja wake za watu?

Mie sijaelewa yani huyo mtengeneza kucha anamshika huyo bidada mapajani ama?maana sijaona connection ya kucha na mapaja
Yani ni kama alikuwa anamfanyia massage maeneo hayo tena na mikono telezi ni shidaa..
 
Yani ni kama alikuwa anamfanyia massage maeneo hayo tena na mikono telezi ni shidaa..

Aiseeee hiyo kweli kiboko.Hao watakuwa hawajiheshimu tu lakini sidhani mtu na heshima zake anaweza kuruhusu ujinga huo
 
Mmmhhh natamani nikazione....ntapita jion hapo

Usiishie kupita tu, nawe ukipata muda nenda na rasta zako hapo ukakae kitako Wamaasai wakurembe kichwa...

Kwa kufanya hivyo utakuwa umeklia kila aina ya dauti....
 
Aiseeee hiyo kweli kiboko.Hao watakuwa hawajiheshimu tu lakini sidhani mtu na heshima zake anaweza kuruhusu ujinga huo

Kilicho nichosha zaidi ni pale nipoona anapete ya ndoa kwenye kidole nilijawa na maswali mengi mno!!na sio huyu tu wapo wengi sana hii ni kitu ya kupiga vita kabisa.
 
Usiishie kupita tu, nawe ukipata muda nenda na rasta zako hapo ukakae kitako Wamaasai wakurembe kichwa...

Kwa kufanya hivyo utakuwa umeklia kila aina ya dauti....

Kuona inatosha.....sio kila kitu kinajaribiwa.
 
Wamevaa sketi fupi kajamaa kanaanzia kwenye unyayo kanapandisha mkuno mpaka katikati ya paja tena kwa povu la sabuni na demu ana pete ya ndoa dah aisee nimeona ni kujizalilisha tu!!

iyo ya kufika mapajan labda imeanza leo!
 
huhuhuuu wewe hata mkeo hajawahi nusa saloon

Magaga nayo ni ugonjwa.....sasa nisisuguliwe mguu nikapaka rangi kisa kuolewa???....

CHEZEA MUKE YA Kibo10 WEWE....

10540853_665729870170400_5788108419108851536_n.jpg
 
Mke wangu , sasa ivi ana kipara, namnyoa mwenyewe home, nina home cut, kucha kama primary school, nazikata mpaka nakaribia nyama! Nikiwa home mapema tunaoga wote, bafu la master-bed room, nasugulia miguu huko huko! Huo upuuzi wa mwenge, siju kinondoni, cjui salun ya nani..hajawahi kutamka.... Sabuni anaogea kipande cha JAMAA, mafuta Asherz yale ya kunukia.... she is real, na mimi ndie nimemtengeza hivyo, mpaka ndugu zake na wangu wanamsifia kuwa natural toka aolewe..... Changes is in you!
 
Wameruhusiwa na waume zao wewe inakuhusu nin? utawala wako peleka kwa mkeo ndio umwambie namna ya kuvaa kwa sababu una contral naye
 
iyo ya kufika mapajan labda imeanza leo!
Sweet16 swala la lini imeanza wewe unajibu maana unaweza kuwa mumini mzuri wa sehemu hizo
Ila mimi nimeshuudia kwa macho yangu tena sio mmoja wapo wengi tu!
 
Last edited by a moderator:
yaan wanawake mnatetea ujinga tu hebu jiulize wanatetea nini , mi binafsi nikishakuoa uzuri wako wote uufanye kwa ajili yangu nisipopenda unataka kumuonyesha nani kuwa unamiguu mizuri?
Eee wewe mwanamke mapamboo, mwanamke kupendezaa, mwanamke kivutio saasaa kama ntabakia rafurafu mikucha kama sokwe,nywele kaa zimwii,magaga sh 100 inazama nini maana yake? wewe mwenyewe ungenikuta kiporipori usingevutiwa lzm nipendezee ukiniona ufurahi. wee rafiki zako wanakuja ndoo kwanzaa niko na kaniki iliyopaukaa kiunoni,mikucha ya kuchana shuka,minywele nimesuka vitunguu mwezi wa pili sasa nabandika kitambaa kuficha aibu ya nini yotee hayoo!
 
Kilicho nichosha zaidi ni pale nipoona anapete ya ndoa kwenye kidole nilijawa na maswali mengi mno!!na sio huyu tu wapo wengi sana hii ni kitu ya kupiga vita kabisa.
Naomba kujua, lini mara yako ya mwisho kumsugua mkeo miguu, na kumpaka rangi miguuni?
 
Acha tuoshe na tusuguliwe kucha tena raha hamna shida sisi wenyewe ndo tunataka
 
Mke wangu , sasa ivi ana kipara, namnyoa mwenyewe home, nina home cut, kucha kama primary school, nazikata mpaka nakaribia nyama! Nikiwa home mapema tunaoga wote, bafu la master-bed room, nasugulia miguu huko huko! Huo upuuzi wa mwenge, siju kinondoni, cjui salun ya nani..hajawahi kutamka.... Sabuni anaogea kipande cha JAMAA, mafuta Asherz yale ya kunukia.... she is real, na mimi ndie nimemtengeza hivyo, mpaka ndugu zake na wangu wanamsifia kuwa natural toka aolewe..... Changes is in you!

Huo ni ubahili sasa wa kumpa tu mkeo akapendeze ni shidaah kah ndo umemunyoa usingizie u natural na mwendo wa vipara ningekuwa mimi thubutu
 
Back
Top Bottom