Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara.
Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza Familia inayoongozwa na Baba inakua haiteteleki wala kupata misukosuko maana Baba likitokea lolote la kutokea anajua jinsi gani ya kufanya kuzima kila jambo liwe jema au liwe baya.
Tutoke huko, mfano mdogo mimi kuna sehemu X nilikua naishi miaka ya nyuma na watu fulani km ndugu na jamaa. Pale mimi nilikua na-play as a father as a uncle and some sort like that you see, sababu nilikua naishi na watoto pia, sasa kuna mtu niliekua naishi nae pale ni madam yeye hakua anataka mimi niishi pale kwa sababu zake binafsi. Kwanini? Kwa sababu Mimi linapokuja suala la malezi ya watoto nina copy ya malezi ya zamani yale malezi ya wazazi wangu enzi ya ukoloni kiboko na fimbo adhabu za hapa na pale ukifanya ujinga nakuadhibu sipendi upuuzi na walikua wananyooka mpaka sometimes watoto wanasema uncle mkoloni Baba mkoloni sana, you see?
Sasa madam akakasirika mimi kua na tabia za hivyo yaan ukoloni mwingi in fact unajua ndani ya nyumba yeye hataki anapenda kuwadekeza watoto na sio kuwaadhibu wanapokosea, ikabidi nifanyiwe deportation ili nimwache na mji peke yake. Mimi nika-move on to another City for awhile in only one year, baada ya mwaka kupita huku nyuma kila kitu kimeparaganyika kumevurugika madam kaikimbia mpaka nyumba sasa hivi anaishi km panyabuku leo shimo hili kesho shimo lile.
Ndio nikaja kugundua kwamba nyumba yoyote kusipokua na Baba Imara anaeweza kuisimamia Familia yake kunakua hakuna nyumba lazima ianguke tu. Ndio maana nikiona Familia zinaendeshwa bila Baba hua naumia sana.
Yangu ni hayo tu.