Ndesamburo na Lyatonga Mrema hawatakiwi

Ndesamburo na Lyatonga Mrema hawatakiwi

Toa unazi wako hapa kapeleke fb huna haya wala hata hilo domo lako hupigi mswaki tumbafuuu yaani wewe muraaa!!!
 
Na kama Mzee Ndesa walikuwa hawamtaki pale Moshi wasingekubali kila uchaguzi wanamchagua mtu ambaye hana maana kwao
Wanamchagua maana wanajua anawafaa
Na pia wasingekubali kuipa ridhaa Halmashauri waipe team ambayo haina mpango kwao
Hebu Makupa tena jina la huko huko Moshi acha unazi wako
Rudi kajipange upya kuisemea Moshi na haswa Ndesa

Huyu mzee kwa kuchakachua ndio mwenyewe
 
Fanya utafiti kijana/binti kabla ya kuja humu ndani,usije kishabiki wakati hujafika Moshi
 
Hivi ile OPERATION ya Ndesamburo ya kurudisha mali zote za Halmashauri ya Moshi Mjini ambazo CCM ilijimilikisha imefikia wapi?

Nafikiri Makupa anaogopa kivuli chake, Mzee Ndesa kabla hujaachia ubunge hakikisha hayo majumba yetu waliojimilikisha CCM yanarudi kwa wannachi wa Moshi Mjini.
 
Threads zingine zinaboa. Acheni "Ushostitooooooooooo wa Siasa za kwenye taarabu" Think critically for the wellbeing of the nation and its revolutionary people wewe *************:-*
 
ndesapesa, tena iko mingi na sio ya kifisadi, chezea wenye akili mbofu mbofu kama mzee wa kiraracha.
 
ACHA KUDANGANYA WATU BARABARA INAANZIA KAWAWA ROAD MPAKA BARAZANI,(kwa mangi) NA NI KM TANO TU

SASA UNAPODANGANYA WATU HAPA INAANZIA UCHIRA KUPITIA KIRUA VUNJO THEN MARANGU, NAJIULIZA WAIJUA GEOGRAPHIA KWELI YA HILI ENEO??? KIMSINGI HAYO NI MAJUNGU, HII BARABARA NA ZILE NYINGINE ZINA UFADHILI WA BANK YA DUNIA NA SEREKALI KUPITIA TANROADS KWA SASA SWEREKALI IMEFILISIKA MARADI MINGI IMESIMAMA, NA NDO MAANA HII BARABARA INAJENGWA KWA KUSUA SUA

Mkuu sio km 5 bali n Km 10 ambapo inapita vijiji vya Uparo, kisangani sumi na mwisho barazan takriban Km 10 toka kawawa road
 
Nikiwa mmoja ya wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kilimanjaro, nimekuwa nafuatilia utendaji wa wabunge waliopo, nilichogundua ni kwamba yale majimbo yalio na wabunge wazee yaani Ndesamburo na Lyatonga Mrema wananchi husika wanajuta kuwachugua kutokana na kutokutekeleza ahadi zao tangu wachaguliwe kuwa wabunge.Mfano mzee Ndesamburo aliahidi kuhakikisha kuwa hospitali ya Mawezi itaoboresha imekuwa ni kinyume chake, Lyatonga Mrema ameshindwa hata kufuatili ujenzi wa barabara ya lami kutoka uchira kupitia kirua hadi marangu.Rai yangu ni kwamba wanachi watumie fursa hii ya kuandaa upya katiba ili kuwezesha wananchi wa jimbo husika wapewe ruhusa ya kuwapigiwa wabunge kura ya kutokuwa na imani na mbunge hasa pale mbunge husika anaposhindwa kuhudumia wapiga kura wake.

Hapo kwny red sio kweli hiyo barabara inaanzia Kawawa-pakula-Marangu. Mengine yanahitaji utafiti wa kina ili kuweza kujua ukweli wake
 
Kama kuna mtu hatakiwi hapa Tanzania basi ni yule Janga la Kitaifa. Sababu ni kuliingiza taifa katika machafuko ya kisiasa kwa kuwatuma wanachama wake wawapige na kuwaua wanachama wa vyama vya upinzani kwa usimamizi wa Polisi na Usalama wa Taifa.
 
Weka wazi kama wewe ni kada wa Ccm. Na mpinga maendeleo wa mkoa wa Kilimanjaro.
yote yaliyoajiri hapo ni unazi wa kisiasa, Ki Ccm.
 
Kuna jimbo linaitwa Mtera kule ukiona nyumba ya bati tu ujue ni ya Malecela Family au Lusinde yanii watu ni masikini hadi wananuka. Kuna tembe za hatari....watu wanaishi maishi duni kuliko wanyama wa Serengeti. Sina maneno ya kuelezea umasikini wa Mtera.
 
Huyu mzee kwa kuchakachua ndio mwenyewe

Kuna wachakachuaji kama wenzio wa magamba aise
Wacha kutukana mamba bana
Watu wanaweka kura mpaka kwenye themos
Unazi wako ni balaa mkuu mpaka white unasema ni black
 
Makupa,
yanawasha sio??
Nenda Pale Moshi ukaongee hayo unayosema hapa juu ya Ndesa tuone kama hujakunwa!!!
 
Mkuu sio km 5 bali n Km 10 ambapo inapita vijiji vya Uparo, kisangani sumi na mwisho barazan takriban Km 10 toka kawawa road
Kisangani na Sumi sio vijiji.......

Lakini upo right kwa maana ya route!!
 
Siyo kweli, uchaguzi wa 2010 ccm walichangisha mihela ili kulikomboa jimbo hilo mikononi mwa Ndesamburo, badala yake wakapoteza na mengine mkoani humo.

Mkapa alipiga kambi wiki nzima Moshi 2005 kumpigia debe shemeji yake. Muulize kilichomkuta! Chezea Ndesapesa wewe!
 
Back
Top Bottom