MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,342
- 11,227
CCM = Chama Cha Mipasho.
Matusi ya nini kakaMuweweseko huo wa kupoteza jimbo la arumeru!! Mtajuta kudadadeki!
Dada Angel uponakuomba uje uyaseme hayo hapa stendi ya Moshi au Soko la Mbuyuni Moshi, na ndani ya dkk 1 utapata majibu
Nenda kayaseme hayo Moshi mjini kwa Ndesapesa uone kama hawajayakatilia mbali masabur.i yako.
Chezeya Ndesamburo wee?
Usirudie tena!!:nono:
nipo nakusubiri hapa stendi Moshi.Dada Angel upo
Nenda kayaseme hayo Moshi mjini kwa Ndesapesa uone kama hawajayakatilia mbali masabur.i yako.
Chezeya Ndesamburo wee?
Usirudie tena!!:nono:
nipo nakusubiri hapa stendi Moshi.
Matusi ya nini kaka
Usultani hauko arabuni tu hata kwenye vyama lohHasira hasiraaaaaaaaaaaaa kali. Kama ntakumbuka vyema kuna Makupa alikuwa anagombea kacheo fulani CDM! Hakupata nafasi! Akaahidiwa labda kwenye viti maalimu nako hakupata kitu! Basi awe hata mjumbe wa wa halmashauri kuu nako kakosa! Akiangalia sana kule kuna mzee Ndesa, Lucy Owenya na Grace Kiwelu anajiuliza iweje yeye asipate? Kama anavyohisi yeye kuwa Ndesa asingekuwepo angalao angefanikiwa. Well nachukulia ni hasira zake Makupa tu! Rudi tujenge chama Makupa.
Kwani kudadadeki ni tuci Mkuu..? Mbona ndo lugha iliokuwa inatumiwa na magamba kule Arumeru..?
Kumbe kichaa sio Lusinde peke yake wako wengi...
Ukifika pale Moshi mjini ile hali ya usafi iliyopo na ambayo inasimamiwa na sheria ndogo za halmashauri huwezi kuikuta sehemu yoyote Tanzania. Hapo inamaanisha madiwani na mbunge wako kazini. Kujenga au kukarabati hospitali sidhani kama ni kazi ya mbunge, labda wenye uelewa juu ya mfuko wa maendeleo ya jimbo watujuze. Kwa Mrema siwezi kushangaa kama kunadoda kwa kuwa kajifungamanisha sana na CCM.
Ina maana Ndesa, Lucy na Owenya ni ndugu? duh, kaz kweli kweli.Usultani hauko arabuni tu hata kwenye vyama loh