kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,335
- 15,990
basi nitaipa barua ipeleke pale mrijo kwa mke wangu
jamaa umenichekesha sanaKwanini watumie drone? Lisipofika sehemu husika itakuwaje ? Wakulima wakilipiga manati huko porini.
kwa mujibu WA documentary ya CNN ya zipline Rwanda drone zinapeleka dawa sehem husika Na wanatumia GPS,drone haiwezi kukosea labda aliyeingiza coordinates akosee,pia wapokeaji wanapewa muda ambao drone itaachia mzigo kutoka angan so wanakua standby kuupokea.Pia kwa umbali inaopita Ni ngumu Sana kupopolewa mawe labda wakati WA kutua Na kupaa Kama nlivosema mwanzo kuwa kule inakipoleka mzigo haitui Ina udondosha then inageuka kurud kwenye station yake.
kwa mujibu WA documentary ya CNN ya zipline Rwanda drone zinapeleka dawa sehem husika Na wanatumia GPS,drone haiwezi kukosea labda aliyeingiza coordinates akosee,pia wapokeaji wanapewa muda ambao drone itaachia mzigo kutoka angan so wanakua standby kuupokea.Pia kwa umbali inaopita Ni ngumu Sana kupopolewa mawe labda wakati WA kutua Na kupaa Kama nlivosema mwanzo kuwa kule inakipoleka mzigo haitui Ina udondosha then inageuka kurud kwenye station yake.
.....kwa mujibu WA documentary ya CNN ya zipline Rwanda drone zinapeleka dawa sehem husika Na wanatumia GPS,drone haiwezi kukosea labda aliyeingiza coordinates akosee,pia wapokeaji wanapewa muda ambao drone itaachia mzigo kutoka angan so wanakua standby kuupokea.Pia kwa umbali inaopita Ni ngumu Sana kupopolewa mawe labda wakati WA kutua Na kupaa Kama nlivosema mwanzo kuwa kule inakipoleka mzigo haitui Ina udondosha then inageuka kurud kwenye station yake.
we jamaa bhana!Madawa yanapopokelewa huwa kuna document zinasainiwa na mpokeaji na aliyekabidhi hubaki na nakala,sipati picha itakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
....Kwanini watumie drone? Lisipofika sehemu husika itakuwaje ? Wakulima wakilipiga manati huko porini.
Drone haitodanganya km tafiti za zile taasis zetu.Kwanini watumie drone? Lisipofika sehemu husika itakuwaje ? Wakulima wakilipiga manati huko porini.
Nani kakuambia ni shida, ktk zitatua ktk vituo kutawekwa sensor ambazo zitahakiki mzigo wote umefika na upo ndani . Au km ni kwa wanakijiji hakuna haja.Conroller atakuwa anaona moja kwa moja na itajisign yenyewe. Tatizo ni kwamba CCM itatolewa ktk ramani. Kwa vile watakaopewa ni wale wenye mahitaji si wale watakaoisaidia ccm. Pia zikiwa angania zitakuwa km timu ya walinzi na watalii wa anga letu.Madawa yanapopokelewa huwa kuna document zinasainiwa na mpokeaji na aliyekabidhi hubaki na nakala,sipati picha itakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba wameshaanza jiona wameachwa, haikuwa ktk ilani yao.Sasa hawapo sure km si ilani ya ukawa ambao walionekana wakitumia ktk kampeni. Si unasikia michango yao humu.Kuna ulazima wa kufanya au kujitafutia sifa za kilumumba
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahahaha..........kwanini isiwe damu mkuuDuuh kwa Bongo hapa. Inaweza ikaachia juu ya paa la nyumba yangu.
Isiwe damu. Iwe dawa. Itakuwa burdani.
Damu itakuwa hasara.hahahahahahahahaha..........kwanini isiwe damu mkuu