bleedingsouls
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 123
- 108
Nimekuwa najiskia vibaya sana pale naposafiri kwenda nchi ndogo kama Seashels/Mauritious/Rwanda/Cape verde/Guinea iquotoria/ ni viinchi vidogo vidogo sana ila wana ndege za nchi zao Air sichels/Mauritious airways/Rwanda air/Swatzi airways/ ni inchi ndogo hata mkoa wa Arusha mkubwa!
Alafu najiambia ivi mbona sie hatuna hata kandege kamoja kalichoandikwa air Tanzania?
Zaidi nlijiskia vibaya pale ndege ya Kenya airways ilipoenda mpaka Rio d janairo kupeleka wana michezo tokea Kenya! Dah ukiangalia Ethiopian airlines ndo ndege kongwe zaidi barani Africa na ndo Ethiopia wanaitegemea kwa uchumi wa nchi yao!
Alafu ukiangalia kwa Rasilimali Africa nzima tanazo ni ndio vyanzo va mapato makubwa! Ambapo ndo tungetakiwa tuwe the South Africa ya East Africa
ukweli nashindwa elewa wanaobeza mafanikio makubwa na yaa ajabu anayo yafanya kwa mda mfupi amekuwa madarakani, mueshimiwa Rais! anachofanya tena kwa manufaa ya Watanzania mijitu inaponda? Kweli alie tuloga watanzania sijui alitulogea kwa mganga gani? Bora tumtafte uyo mganga awague baadhi ya Watanzani!
VIVA MY PRESIDENT VIVA!