kethika
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 630
- 472
Huwezi kufanya kila kitu kikamsaidia kila mtu kati ya watu zaidi ya miloni hamsini.Hakuna lami,.na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.wataalamu msaada wenu