Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

Kwanza, nikushukuru kwa kumpa somo halisi huyu mleta mada ili nina wasiwasi kama atakuelewa.

Pili, Usishangae ukisikia huyu uliyemjibu ana elimu ya Chuo Kikuu!

Tanzania kuna vituko!
Yaani ndo limekuwa wazo langu tangu niliposoma bandiko lake ... dunia hii ama kweli ina maajabu ....
 
Kwani hii nchi anaishi bibi yako tu..sie tulizihitaji sana..
 
Uliza pia hostel zinazojengwa chuo kikuu cha Dar es salaam zinamsaidiaje bibi yako. go Magufuli maneno ya watu yasikurudishe nyuma na jitihada zako za kweli kweli...

Mkuu nakushukuru kwa swali ulilo muuliza huyu mwanakijiji....yaani inamaana hajui kama hizo ndege ni shirika la umma na litakuwa likileta mapato kwa gov.na hayo mapato yatamsaidia bibi yake huko kijijini?.
 
Kweli nimeamn nyumba haitembei bali ndege inaruka
This is 2much
 
Hii mitandao bora ifungwe tuu
Had ww unachat?
Zc is a joke
Ewala baba kwako ww mwenye elimu, ufahamu na haki ya kujiachia upendavyo humu jukwaani ....

Sie hayawani na tusio na elimu, ufahamu na hiyo haki ya kuonekana huku mitandaoni siku zaja na ziko mlangoni kilio chetu kitasikika ..... SUBIRA YAVUTA HERI
 
Kwenye hili la ndege Mr.President kafanya vizuri Na kama ataleta hizo ndege kubwa za masafa atakuwa amemaliza kazi.Ndege zina mchango mkubwa kwenye uchumi wa nchi.Wafanyabiashara wa Tanzania jiandaeni na Dar-Guanghzou NON STOP.Kuna nchi moja ya kigeni nilienda rafiki yangu akaniuliza Shirika lenu la ndege linaitwaje na linaendeleaje.Nikataka kutaja PRCSN nikasita, nikataka kutaja FSTJT nikasita.......Go go Magufuli
 
Nani kakwambia kipimo cha vipaumbele vya nchi ni mahitaji yako na bibi yako? Au kwa vile wewe na bibi yako hamna uwezo wa kupanda ndege basi usafiri wa ndege ufutwe?
Nadhani mtoa mada alikua anamaanisha wale Watanzania Wanyonge. Kwa maana ya priority ni nini kwa Watanzania walio wengi. Bibi hapo amewakilisha tabaka la wanyonge.
 
Uliza pia hostel zinazojengwa chuo kikuu cha Dar es salaam zinamsaidiaje bibi yako. go Magufuli maneno ya watu yasikurudishe nyuma na jitihada zako za kweli kweli...
Hizo hostel uenda wajukuu wake watasoma pale.
 
Siyo muda wa bibi yako, alichelewa kudai haki yake bila shaka alopokwa haki na mkapa au mwinyi.
 
Yeye alichokuwa anasema vipaumbele vingefuatwa kwanza huduma za jamii kwanza baadaye hiyo midege yenu!!!
Huduma za jamii ni endelevu, maboresho yapo kila siku, ni nchi chache sana duniani zimeweza kuboresha huduma za jamii kwa asilimia kubwa, lakini uboreshaji unaenda sambamba na utatuaji changamoto katika maeneo kama ya miundombinu, Uwekezaji,USAFIRI NA USAFIRISHAJI n.k ambavyo vyote vinapofanikiwa hata yule bibi aliyeko kijijini ataweza kufikiwa kwa urahisi.
 
Nani kakwambia kipimo cha vipaumbele vya nchi ni mahitaji yako na bibi yako? Au kwa vile wewe na bibi yako hamna uwezo wa kupanda ndege basi usafiri wa ndege ufutwe?
Mkuu kama huwezi kujibu basi nyamZA
 
Hakuna lami,.na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.wataalamu msaada wenu
What kind of myiopic thinking! Tuna safari ndefu kweli kweli
Je ndege hizo zina mchango wowote kwenye kukua kwa uchumi wa nchi? Itasaidia kwa mfano sekta ya utalii inayoingiza fedha nyingi kwenye hazina?
Kule kijijini bibi ana mahitaji mengi - usafiri, huduma za afya, maji nk. Vitu vtote hivyo vinahitaji serikali iwekeze au itumie fedha.
Utalii ukiongezeka maana yake serikali inakuwa na uwezo zaidi wa kufikisha hizo tajwa kwa wananchi akiwemo bibi. Huo ni mfano mmoja tu.
 
Mkuu unasema utalii,kwani miaka yote haKukuwa na ndege?
 
Hakuna lami,.na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.wataalamu msaada wenu
Hivi lile disco letu Lina msaidia vipi Bibi yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom