Ndege yatolewa majini Bukoba

Nadhani wote tunaijua speed ya ndege. Tunazoongea hapa ni assumptions
 
Shuhuda mmoja, ambaye ni mvuvi wa eneo hilo, anasema mahali ambapo ndege ilizama ni eneo lenye mchanga tu na hakuna miamba. Sasa huko kupinda (kuvunjika) kwa hiyo ndege mbona kunaashiria kama ilikita kwenye kitu kigumu?
Momentum ya ndege unaijua? Ni kasi yake zidisha kwa uzito wake. Inaonekana ilikuwa katika usawa wa kutua, ikashukia majini, siyo kwa kuanguka sulubi kutoka juu, bali almost sambamba na ardhi kana kwamba inaelekea kwenye touch-point majini.

Sasa sehemu ya mbele iliwahi kugusa maji ya kina kifupi, then ikashuka chini kwenye mchanga. At that moment, kasi upande wa mbele inakuwa imepungua relative na mkia ambao ulizidi kuinuka juu na kusababisha ndege kukatika fulani hivi (kujipinda), kama inavyoonekana.
 
Ingekuwa hivyo, sehemu ya mbele ingeharibika kabisa (ila sasa kuna mvunjiko wa kawaida). Imagine kasi ya ndege yenye tani 20!

Ukiona imeharibika zaidi sehemu ya mbele KWA CHINI. Maana yake ni kwamba ilikuwa katika usawa wa kutua, yaani sambamba na ardhi (au maji). Haikushuka moja kwa moja kutoka juu na kuanguka kichwa chini. I don't think so.
 
I agree kuhusu maelezo yanayofuata. Lakini Hero Majaliwa alikuwa na sababu gani ya kusema uongo, mkuu? Kwamba aliwaona rubani na probably first officer wakiwa hai, na akazuiwa kuvunja kioo.

Mimi naona hakuwa na sababu ya kusema uongo tena kwa kuwa detailed kiasi hiki. Asingesema alizuiwa. Angesema labda alishindwa. Au hata aliamua kufanya uokozi kwingine kule juu.
 
Mkuu Tairi zinaonekana, Angalia hapo chini ya Mbawa
Usikute impact ya ndege at touch point ilipasua kabisa sehemu hiyo ya mbele kwa chini (kwenye kifua). Just saying. Kama hii ni kweli, basi ndege ilikuwa na tatizo mojawapo la landing gear.
 
Waliolizia matairi hayo hapo ya mbele na nyuma yanaonekanaView attachment 2410363
Another observation which must not be ignored ni kwamba ile impact ya ndege ya tani 20 kwa kasi hiyo, wakati mwingine inasababisha kulegea kwa systems za landing gears.

So, usikute impact yenyewe ndiyo chanzo cha kuachia kwa landing gears. Just saying. I was not there.
 
Ukweli tutaujua kwa kupata mawasiliano baina ya tower na rubani
 
wataalam mnatufungua fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…