Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

"We are all very worried. We hope everyone is safe.
 
Attachments

  • 1394389703867.jpg
    1394389703867.jpg
    20.7 KB · Views: 267
  • 1394390350524.jpg
    1394390350524.jpg
    29.8 KB · Views: 241
Tuko pamoja, hili ni tukio la uchungu sana kwetu tunaosafiri na usafiri huu wa anga tunafahamu dhiki ya maafa kama haya ndo maana tunafuatilia kujua nini kinaendelea kwenye mitandao ya eneo la tukio. Na kama kweli baada ya U-Turn iliyofanyika na hizo civilian radar basi itakuwa bado ipo katika anga bara jingne huko pengine Antactica kwenye baridi kali, hakuna ajuaye, tuwape wanaanga nafasi ya kutuletea taarifa kamili,

mafuta ya kufika huko bara jingine kama usemavyo wameongeza wapi???kumbuka ndege hio ilikuwa na mafuta ya masaa 7 angani yanayotosha kuwafikisha beijing na diversion tu in case of emergency.au walitumia kidumu?
 
dah. tuombe mungu abiria wawe salama. inasikitisha sana
 
dah. tuombe mungu abiria wawe salama. inasikitisha sana

hio ndege imeanguka baharini.watu wote wamekufa.lakini kwa taratibu wanatumia neno IMEPOTEA mpaka waipate ndege na miili ya watu.bahari ni kubwa sana kwahio ndege kuiona sio rahisi kihivyo ndio maana mpaka sasa wanahangaika.
 
hizi habari zinachanganya sana, bora hata kama imetekwa kuna watakao pona naomba mungu abiria wawe salama,
 
Kwa kifupi sijawahi kuupenda usafiri huu hata kidogo; huwa najitahidi sana kukwepa kwa local flights ila inapokuja international flights nakuwa sina ujanja. Mungu aepushilie mbali baa la ajali za ndege

Probability ya ndege kupata ajali ni ndogo saaana kuliko ya mtembea kwa miguu aendaye dukani kupata ajali..so usiogope maana likikukuta angani ujue no way out hata bafuni kifo kingekukuta tu!
 
kama hiyo ndo itakuwa sababu basi aendelee kuomba ili watu walioko on board wapatikane salama,endapo watacrash then huo utakuwa ni uzembe wa hali ya juu sana....huyo flight dispatcher wao ana kazi gani kama anaweza kuruhusu ndege iondoke ikiwa haina mafuta ya kutosha kufika?

Alimaanisha ndege ikipitisha muda wake uliopangwa kufika huwa ni nadra sana kufikisha nusu saa angani....wese lazima liishe so baada ya kuzidi zaidi ya saa bila kufika wakajua kitu tayari...no way out kiwe angani!!!
 
hizi habari zinachanganya sana, bora hata kama imetekwa kuna watakao pona naomba mungu abiria wawe salama,

ingekuwa imetekwa sasa hivi ingekuwa ishafika huko watekaji wanakotaka na washasema wanataka nini. kuna mdau eti kasema imetekwa imepelekwa sijui wapi huko!please hii ni ndege kubwa huwezi kuishusha vichakani!
 
Uwezekano mkubwa itakuwa imeanguka. Kuna taarifa kwamba imeonekana Vietnam kama taarifa hii kutoka BBC inavosema.

Ni kumwomba Mungu.
 
ndege ime kutwa imesha anguka baharini na wote wamefariki.
mungu azilaze pema peponi roho za marehem wote,amin
 
Inatisha hii as kwa sasa kuna watu wawili walipoteza/kuibiwa passport zao na majina yao ni mojawapo kwa waliokuwemo kwa ndege, bali wao hawakuwemo. Mmoja kaongea ameshapata ingine ila ndio hivyo ya zamani imetumika.

Kitu hii ndio inaanza kuchunguzwa sasa, inakuwa uchunguzi wa dunia nzima now. As inawezekana ni hao wawili wamefanya kitu, Mungu aepushe isiwe njama hizi mpya sasa. Ila upande huo wa dunia ni mshtuko as wasingetegemea kupata haya.

Abiria mmoja(kama sio wote) alikuwa anaenda China, then anaunganisha kwenda Amsterdam.

Kweli vipande pande vinavyokisiwa ni vya ndege vimeonekana karibu na Vietnam.
 
Dah nawaza tu hii kitu ningekuwemo humo ingekuwaje..this world is nt fair
 
A Malaysian boat patrols the waters during search and rescue operations. Photograph: Malaysian Maritime Enforcement/AFP/Getty
 
Attachments

  • 1394416643730.jpg
    1394416643730.jpg
    18.3 KB · Views: 162
Buddhists hold a special prayer for the missing Malaysia Airlines flight at Kuala Lumpur international airport. Photograph: Ahmad Yusni/EPA
 
Attachments

  • 1394416751535.jpg
    1394416751535.jpg
    26.1 KB · Views: 153
The Malaysian Maritime Enforcement Agency (MMEA) has sent samples of an oil slick (pic) found in the South China Sea, about 100 nautical miles from the Tok Bali Beach, Kelantan, to the Chemistry Department in Petaling Jaya. MMEA director-general Maritime Admiral Datuk Mohd Amdan Kurish said the samples, which were taken by KD Amanah, were sent to the department.

"The result of the analysis is expected to be known tomorrow (Monday) afternoon," he told reporters at a media conference on the search for the missing Malaysia Airlines (MAS) flight MH370, at the MMEA Tok Bali 10th Maritime District Office here. The MH370 aircraft which took off from the Kuala Lumpur International Airport (KLIA) at 12.41am on Saturday with 227 passengers and 12 crew, was reported missing while heading to Beijing, China.

Mohd Amdan said the samples had to be sent to the Chemical Department in Petaling Jaya because there was no such facilities in Kelantan and Terengganu.

He said the two kilometres long oil-slick was yellowish in colour and was different from the ubiquitous oil slick from oil spills of ships.

An air survey this evening, in the areas 70-100 nautical miles from the shore, in the waters of Terengganu, Kelantan and bordering Thailand and
Vietnam, did not reveal any sign of the MH370 aircraft.

He said the number of search and rescue teams was increasing, including the number of vessels and aircraft from the Royal Malaysian Air Force, Royal Malaysian Police and MMEA.

"We will continue the operation tomorrow in a new area involving 70 nautical miles up to the beach," he said.

Mohd Amdan said MMEA had taken proactive steps based on new information, on the possibility of the aircraft reverting back and going missing in the Straits of Melaka, by sending four patrol ships to conduct a search in the area 60 nautical miles from Langkawi, Kedah. – Bernama, March 10, 2014.
 
A view of oil slicks (pale line near the bottom right) spotted in an area of the South China Sea about 100 nautical miles (185 km) from Tok Bali Beach in Malaysia's Kelantan state March 9, 2014. The Malaysian Maritime Enforcement Agency said it is investigating the oil slicks to determine if they could have come from a missing Malaysia Airlines plane
 
Attachments

  • 1394418060938.jpg
    1394418060938.jpg
    15.4 KB · Views: 164
A Vietnamese airforce aircraft AN-26 sits on the taxi way at an airforce base before heading out to the sea area between Vietnam and Malaysia where a Malaysian airliner vanished, in Ho Chi Minh City, Vietnam, Sunday, 9 March 2014. Military radar indicates that the missing Boeing 777 jet may have turned back, Malaysia's air force chief said Sunday as scores of ships and aircraft from across Asia resumed a hunt for the plane and its 239 passengers.

(AP Photo/Na Son Nguyen)
 
Attachments

  • 1394418299332.jpg
    1394418299332.jpg
    23.6 KB · Views: 182
Back
Top Bottom