Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Kwa mujibu wa msemaji wa Malaysian Airlines aina ya ndege ni Boeing 777-200 na ameeleza huenda ikawa imemaliza mafuta.

kama hiyo ndo itakuwa sababu basi aendelee kuomba ili watu walioko on board wapatikane salama,endapo watacrash then huo utakuwa ni uzembe wa hali ya juu sana....huyo flight dispatcher wao ana kazi gani kama anaweza kuruhusu ndege iondoke ikiwa haina mafuta ya kutosha kufika?
 
Hakuna uwezekano wa ndege kuwa bado angani..maana ilikuwa na mfuta ya 7hrs mpaka sahv ni 14hrs zimeisha..Vietnam wanasema ndege imecrush 250km karibu na kisiwa nchini umo..very sad News kwakweli.. Cnn wanazidi kuleta news...
 
Mkuu simaanishi kukwepa ajali, kwani hili ni beyond human capacity; ila hesabu za kuokoka ukisafiri kwa ndege huwa hazipandi kabisa kichwani mwangu(japo ndege ndio usafiri salama kwa kweli). Ndio kuna mdau aliwahi kusema kwenye industry ya ndege hatutaki rubani awe amepita njia za kupinda-pinda. Mambo kama chuo cha urubani Tabata Magengeni au NIT kutoa marubani kwetu wengine ni msiba. Marubani wasiachiewe TCU kabisaa, wawe na mfumo wao usiojuwa sifa za pesa wala undugunization

Huyu ruban aliyekuwa anaendesha alikuwa na 18,000 hrs na amejiunga 1981 na Air Malysia he is 53yrs..ni mkongwe sana
 
kama hiyo ndo itakuwa sababu basi aendelee kuomba ili watu walioko on board wapatikane salama,endapo watacrash then huo utakuwa ni uzembe wa hali ya juu sana....huyo flight dispatcher wao ana kazi gani kama anaweza kuruhusu ndege iondoke ikiwa haina mafuta ya kutosha kufika?

Ndugu nadhani hujaelewa..Ndege inayoruka umbali fulani mafuta huwa yanakuwa calculated vizuri kabisa kuweza kutoka point A to B , pia kama kuna shida point B basi kunakuwa na mafuta ya kwenda point C (Alternate aerodrome)..pasipo kusahau reserve fuel...

Endapo ndege itapoteza mawasiliano kwa muda kadhaa , wahusika wanahesabu total hours na ndipo wanaanza kuwa na wasiwasi wa mafuta.....
 
Hii ni habari mbaya sana kwenye masikio yetu.
Mwenyenzi MUNGU awaokoe wote wale waliopatwa na majanga haya ya anga!
 
Ndugu zetu hawa aiseee inasikitisha sana vyombo vya habari vimetoa taarifa hii kwa umma muda huu.
Saturday, March 08, 09:05 AM MYT +0800-Malaysia Airlines MH370 Flight Incident - 2nd Media Statement

We deeply regret that we have lost all contacts with flight MH370 which departed Kuala Lumpur at 12.41 am earlier this morning bound for Beijing. The aircraft was scheduled to land at Beijing International Airport at 6.30am local Beijing time. Subang Air Traffic Control reported that it lost contact at 2.40am (local Malaysia time) today.

Flight MH370 was operated on a Boeing B777-200 aircraft. The flight was carrying a total number of 239 passengers and crew – comprising 227 passengers (including 2 infants), 12 crew members. The passengers were of 13 different nationalities. Malaysia Airlines is currently working with the authorities who have activated their Search and Rescue team to locate the aircraft. Our team is currently calling the next-of-kin of passengers and crew.

Focus of the airline is to work with the emergency responders and authorities and mobilize its full support. Our thoughts and prayers are with all affected passengers and crew and their family members. The airline will provide regular updates on the situation.

The public may contact +603 7884 1234. For media queries, kindly contact +603 8777 5698/ +603 8787 1276.

For the next-of-kin, please inform them to to Anjung Tinjau, Level 5, KLIA. Our staff will be there to assist. Transport will be provided to go to the South Support Zone Facility building for the next-of-kin.

Or next-of-kin may head straight to the Support Facility Building at KLIA’s South Support Zone.
 
aise habari ya kusikitisha sana hii
Huwa naota ota sana maajari ya ndege mala kwa mala kiasi kwamba hata ikitokea wakati fulani nikasafiri kwa ndege huwa nakosa amani kabisa kwa kipindi chote ambacho huwa tupo angani
Huwa naziwazia zile picha za ajali za ndege za kwenye kile kipindi cha AIRCRASH INVESTIGATION cha NaGeo Dstv yaani kwakweli huwa inatisha sana usiombe yakakukuta acha kabisa
 
aisee so sad poleni sana ndugu wa abiria waliokuwamo ndani ya ndege iliyopotea
 
Inanipa huzuni sana, watu 239 kwa mahesabu ya haraka ni sawa na wastani wa watu 60 kwa basi moja la abiria mara 4. Endapo wamepoteza maisha ni msiba mkubwa sana. Pole kwa wanandugu, jamaa na marafiki.
 
Mbaya sana! Mungu awapumzishe kwa amani marehemu wote
 
Kwa kweli hapa limeshatokea la kutokea, tumwachie Mungu. Nikipiga hesabu huku nilipo, nimepata tumbo la kuhara ghafla, ingawa ajali haiepukiki. Poleni sana mliopoteza ndugu zenu.
 
Photo: Crowd and players take a moment of silence for the missing Malaysia flight at the Super League match between Singapore and Kelantan - @ http://www.eyeem.com/p/31825879
 

Attachments

  • 1394285203448.jpg
    1394285203448.jpg
    90.8 KB · Views: 214
A map showing the plane's journey and the area where contact was lost
 

Attachments

  • 1394285923085.jpg
    1394285923085.jpg
    30.7 KB · Views: 235
48m
The New York Times quotes Lai Xuan Thanh, the director of the Civil Aviation Administration of Vietnam, as saying there was one slick about 12 miles long.

“An AN26 aircraft of the Vietnam Navy has discovered an oil slick about 20 kilometers in the search area, which is suspected of being a crashed Boeing aircraft -- we have announced that information to Singapore and Malaysia and we continue the search,” Lai Xuan Thanh said.
He said he did not know whether the slick was closer to the Malaysian or Vietnam side of the entrance to the Gulf of Thailand. The last co-ordinates automatically transmitted by the aircraft were from near the midpoint between the two countries, when the plane appeared to be in stable flight at 35,000 feet.


• Vietnamese authorities have reported the sighting of one, possibly two, oil slicks up to 12 miles long off the coast of the country which are consistent with a plane crash at sea. Malaysia’s prime minister, Razak, has said 15 aircraft and nine ships are involved in the search, with the area of the sea operation being enlarged


29m
Philippines military personnel are seen planning search and rescue operations for the missing plane at Antonio Bautista air base in Puerto Princesa.
 

Attachments

  • 1394286841073.jpg
    1394286841073.jpg
    37.1 KB · Views: 298
  • 1394286856229.jpg
    1394286856229.jpg
    20.6 KB · Views: 298
Back
Top Bottom