Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Duh...Ndege huwa ni usafiri salama ila likitokea la kutokea ndio hivyo tena ..mara nyingi unakuwa msiba wa kitaifa
 
Lakini ukisikiliza press interview wanasema imecrash kisiwani ila hawajaona wreckers(mabaki) sa sijui inakuaje na bado hii taarifa sio confirmed so bado hakuna solid n conclusive news. Tuendelee kuwaombea
 
Sasa tunapomkatazaga mkuu wa kaya kusafiri safiri haya ndo madhara yake..tunaanza kusumbuana kutunga,nyimbo za,kuomboleza hapa

We Kigogo unanichekesha sasa mambo ya mkuu wa kaya yanatoka wap
 
Last edited by a moderator:
yaani ata avata yako inaonyesha wewe ni kilaza wa namna gani,some news utakiwi kuwa na matani ya kipuuzi kama haya,f%***la mkubwa wewe

Hunijui na sikujui so acha kunitusi..ntakutukana mpaka utaona jf chungu ...acha kushobokea wanaume utatiwa mimba huku umesimama
 
Sasa tunapomkatazaga mkuu wa kaya kusafiri safiri haya ndo madhara yake..tunaanza kusumbuana kutunga,nyimbo za,kuomboleza hapa

Wee Jamaa ushawahi kuwa serious japo kidogo? Ndege Boeng 777-200 na watu 239 kupotea si suala dogo. Punguza kidogo michezo japo unatufanya tucheke kidogo. Hebu jiulize sie ndie kwanza tuko busy na CRJ za watu 50-50 tena Second Hand, wao wanazungumzia Boeng yenye 7 tatu mkuu!
 
Malaysia transport minister says no signs of Malaysia Airlines plane wreckage; denies reports plane crashed off Vietnam - reuters
 
Last edited by a moderator:
Malaysia transport minister says no signs of Malaysia Airlines plane wreckage; denies reports plane crashed off Vietnam - reuters

Kaka uko sawa kbs, jamaa wa Sing A/line wametuma ship na helcopter kufuatilia lakini habari za kucrash huko Vietnam hazina ukweli 100%
 
Last edited by a moderator:
Duh...Ndege huwa ni usafiri salama ila likitokea la kutokea ndio hivyo tena ..mara nyingi unakuwa msiba wa kitaifa

Kwa kifupi sijawahi kuupenda usafiri huu hata kidogo; huwa najitahidi sana kukwepa kwa local flights ila inapokuja international flights nakuwa sina ujanja. Mungu aepushilie mbali baa la ajali za ndege
 
It Crashed at the Southern Sea of Vietnam. Vietnam official Statement quoted navy official. Ni msiba kwa kifupi

The passengers are of 13 nationalities, the airline said. They were from China and Taiwan (154), Malaysia (38), Indonesia (12), Australia (7), France (3), United States (4), New Zealand (2), Ukraine (2), Canada (2), Russia (1), Italy (1), Netherlands (1), Austria (1).
 
BEIJING, BEIJING, CNN News
7minutes,
Still no confirmation what happened to missing Malaysia Airlines flight during press conference in Beijing, malcolmMoore reports on tweeter
 
Last edited by a moderator:
Kaka uko sawa kbs, jamaa wa Sing A/line wametuma ship na helcopter kufuatilia lakini habari za kucrash huko Vietnam hazina ukweli 100%

Nakuelewa. lakini wee bado una tumaini ya kupatikana ikiwa salama hii. Hebu jiulize: Wamesema mafuta yaliyowekwa ni ya masaa 7 na dk 30 hivyo haiweze tena kuwa angani. Na kama ingekuwa imetua kwa dharura sehemu yoyote duniani, watu wana vifaa vya mawasiliano hadi baharini nowdays. Ingekuwa washapiga simu kusema walipo. Kinachoonekana kuwa na nguvu ni hiyo taarifa ya Afisa wa Jeshi la Maji wa Vietnam. Kinachosubiriwa ni States & Political preparations tu si zaidi mkuu.
 
Dah msiba mbaya, watu wanaondoka na kufikiri watafika kumbe ndo mwisho wa maisha yao.
Maisha haya tumuachie Mungu tu ndo anajua
 
MALAYSIA
3h
Malaysia Prime Minister Najib Razak: My thoughts and prayers are with the family members of [Malaysia Airlines] flight MH370. I've asked all measures possible to be taken - @
 
Back
Top Bottom