Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ninachoweza sema hapa ikiwa ni magaidi basi baada ya kuiteka ndege watakuwa wameiongoza vizuri na kwenda kutua wanakojua wao ambako hakuna uwanja wala njia yoyote ile ya escape, na hapo abiria wote kuzuiwa kufanya mawasiliano, kwa utafiti wote uliofanyika wangeona mabaki ya ndege baharini na kama ni porini basi pangekuwa na mkusanyiko wa tai wengi na ndege au wanyama. Kama imecrash basi anga lingekuwa na harufu ya moshi na madege yanayo patrol huko yangenasa vikemikali vya gesi kwenye hewa, lakini hamna kitu, kama ingekuwa chini na kuungua basi ardhi ingekuwa na harufu ya damu, sasa duuu hata bahari imekataa kutoa ushahidi kuwa ndege iko wapi? Haijapokea ndege toka angani! Hii issue sio ya kawaida lazima ugaidi umehusika vema hapa.

umejifunzia wapi uongo
 
It's Difficult to say it but people are now prepared for the Worst... hoping for the Best..
 
The current malaysian time is 8:18 PM (Night)
Sunday, March 9, 2014
Standard Time +0800 UTC

East Africa, Tanzania is 15:18 pm (Noon)
 
  • Thanks
Reactions: prs
Updates:

Malaysia's civil aviation chief says 34 aircraft and 40 ships now involved in multi-national search and rescue effort for missing Malaysia Airlines plane - @cnbcSri http://www.breakingnews.com

3min
 
  • Thanks
Reactions: prs
Kwa hali hii sasa madege ya kivita yamejipanga kwenye uwanja mkubwa wa beijing na australia kusubiri ripoti wapi ndege ipo waweze kuelekea kuokoa kitakachopatikana japo sasa hali ya joto inaathiri zoezi zima la utafiti, kama kuna nabii wa kweli duniani tunaomba atabiri uelekeo wa hii ndege ilienda wapi?

huna tofauti na wale wayahudi waliomdhihaki Bwana Yesu kwa kumpiga makofi kisha wakawawanamwambia abashiri nani kampiga. Usamehewe bure, kikubwa tuendelee kuomba muujiza juu ya ndege hiyo, lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana.
 
Updates:

Vietnam says search plane finds suspected fragments of missing jetliner - @WSJ http://stream

1hr
 
Updates:

More: Vietnam search and rescue authorities say a new object has been spotted 80 km. south-southwest of Tho Chu island - TrongKhanhVu http://www.

1hr
 
Last edited by a moderator:
Updates: Vietnam releases photograph of suspected fragment of missing jet

KUALA LUMPUR—A Vietnamese search aircraft located fragments Sunday floating in waters off southern Vietnam that are suspected of coming from a Malaysia Airlines 3786.KU 0.00% jetliner that went missing a day earlier with 239 people on board.
The Search for Flight 370

Five Things to Know About Missing Malaysian Jet
1. Airline, Aircraft Have Top Safety Record
2. Flight Carried Executives, Calligraphers, Beachgoers, Two Infants
- U.S. Tech Firm had 20 Employees on Plane
- A Tense Wait in Beijing
3. Jet's Disappearance Could Complicate Carrier's Turnaround
4. Statements From Airline | Passenger List
5.Recent Air Crashes

The fragments were believed to be a composite inner door and a piece of the tail, Vietnam's ministry of information and communication said in a posting on its website. They were located about 50 miles south-southwest of Tho Chu island.

Officials released photograph of one fragment floating in the water. Malaysia Airlines said it had received no confirmation regarding the suspected debris.

By
Jason Ng,
Gaurav Raghuvanshi and
Jake Maxwell Watts
connect
Updated March 9, 2014 9:59 a.m. ET

1 hr ago
 
Attachments

  • 1394377575179.jpg
    1394377575179.jpg
    31.6 KB · Views: 219
  • 1394377586393.jpg
    1394377586393.jpg
    16.6 KB · Views: 218
  • Thanks
Reactions: prs
Updates:

Malaysia requests the Civil Aviation Authority of Vietnam allow its 5 ships to enter the Vietnamese waters to search for the suspected floating fragments during the night, Vietnamese state-run newspaper Tienphong reports via @WSJ http://www.breakingnews.com

35min ago
 
  • Thanks
Reactions: prs
Ninachoweza sema hapa ikiwa ni magaidi basi baada ya kuiteka ndege watakuwa wameiongoza vizuri na kwenda kutua wanakojua wao ambako hakuna uwanja wala njia yoyote ile ya escape, na hapo abiria wote kuzuiwa kufanya mawasiliano, kwa utafiti wote uliofanyika wangeona mabaki ya ndege baharini na kama ni porini basi pangekuwa na mkusanyiko wa tai wengi na ndege au wanyama. Kama imecrash basi anga lingekuwa na harufu ya moshi na madege yanayo patrol huko yangenasa vikemikali vya gesi kwenye hewa, lakini hamna kitu, kama ingekuwa chini na kuungua basi ardhi ingekuwa na harufu ya damu, sasa duuu hata bahari imekataa kutoa ushahidi kuwa ndege iko wapi? Haijapokea ndege toka angani! Hii issue sio ya kawaida lazima ugaidi umehusika vema hapa.

Unaweza ukawa uko sahihi ndugu yangu. Radio DW Ujerumani muda huu wanadai kuwa rubani wa ndege aliamua kugeuza na kuanza kurudi kule alikotoka na hajatoa sababu yeyote wala kufanya mawasiliano ya uamuzi huo, meanwhile ndege bado haijapatikana,...., possibility kubwa ya yeye kufanya hivi inaweza kuwa ndege ilitekwa! Otherwise wanaoitafuta wangekuwa tayari wameshaiona sehemu ilipoangukia. Hii uwezekano mkubwa itakuwa imetekwa. Bora iwe imetekwa kuliko kuwa imeanguka,..., Mungu apishie mbali.
 
Tuko pamoja, hili ni tukio la uchungu sana kwetu tunaosafiri na usafiri huu wa anga tunafahamu dhiki ya maafa kama haya ndo maana tunafuatilia kujua nini kinaendelea kwenye mitandao ya eneo la tukio. Na kama kweli baada ya U-Turn iliyofanyika na hizo civilian radar basi itakuwa bado ipo katika anga bara jingne huko pengine Antactica kwenye baridi kali, hakuna ajuaye, tuwape wanaanga nafasi ya kutuletea taarifa kamili,
 
Kupotea inawezekana ila kutokuonekana ndo inaleta mashaka, kama umewahi kuangalia move ya LOST walao unaweza kujua mazingira kidogo! Bt w hav to pray!
 
hapo kinachosubiriwa ni Qadar za Mungu,uwezo wa kibinadam na mateknolojia yake ushafikia kikomo,

Haujafika kikomo in time itapatikana tu na sio kwamba Mungu atashuka kuonyesha ilipo. Air France ilichukua siku 5 kujua ilipo and kuna parts imechukua miaka miwili kupata zilipo, Mungu ndio alionyesha?
 
Back
Top Bottom