Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Uwezekano wa kuwapata abiria wakiwa hai haupo kabisa mkuu.

hatuwezi kusema haupo kabisa mkuu,kwani hatujui ndege iko wapi na japokuwa tunazidi kupoteza matumaini,cha msingi tuwaombee kwa Mungu awanusuru popote pale walipo.inasikitisha sana,roho 239 kwa wakati mmoja...so sad
 
lakini pia kuna taarifa kutoka beijing kwa mmoja wa ndugu wa wahanga akisema kuwa anajaribu kupiga simu ya ndugu yake inaita tu bila kupokelewa.so,haya ni maajabu ya dunia

haya kweli ni maajabu.....
 
Tuendelee kuwa wavumilivu,uwezekano wa ndege hii
kupatikana ndani ya siku mbili hizi ni mkubwa kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na mataifa mbalimbali

Mmmhu, sijui.

Kweli tuwe wavumilivu...
 
Sijawahi kuona nchi ina watu mabumunda kama malaysia...siku ya tatu hawana clue nini kimetokea .?mxxxxxx wanaudhi na kukera sana

pole sana Kigogo,kuna mataifa zaidi ya kumi,yenye uwezo mkubwa tu na teknolojia kubwa tu yanayoitafuta hiyo ndege na bado hayajatoa taarifa yoyote siku ya tatu leo sembuse malaysia?kama ndege hiyo ingepata matatizo mchna nadhani ingekuwa rahisi sana kugundulika hata na waenda kwa miguu au wavuvi etc kama ujuavyo mchana watu wako active sana,lakini wakati wa usiku inakuwa tabu kidogo
 
wasi wasi mkubwa kwa sasa ni kuhofia pengine kuna uzembe au njama zilizofanyika airport na labda pengine kuna abiria walioingia na milipuko na labda pengine pia ndege hiyo ililipuka na kuachana vipande vipande ikiwa bado angani.lakini pia kuna taarifa kutoka beijing kwa mmoja wa ndugu wa wahanga akisema kuwa anajaribu kupiga simu ya ndugu yake inaita tu bila kupokelewa.so,haya ni maajabu ya dunia




Pole yao,ndomana yule Mholanzi hapandi ndege

Huyu mholanzi anasafirije nje?
 
France's air accident board offers to help Malaysia and Vietnam with the recovery of missing Malaysia Airlines plane -
reuters http://www.breakingnews.com

23min ago
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ni hatari sana...siku ya tatu leo hakuna taarifa sahihi

Unajua safari za bahari zina mengi maana ndiko yule joka audanganyaye ulimwengu alitupwa toka mbinguni, kwahiyo ni himaya yake ndo maana utafiti ni mgumu sana
 
Ni dennis bergkamp hutumia usafiri wa maji kwa safari zake

Aissseee huyu ni kama mlibya aliyekuwa akitumia gari kusafiri barani africa enzi hiyo akiwa hai ndani ya utawala wake eti eeh?
 
Ni dennis bergkamp hutumia usafiri wa maji kwa safari zake

Bergkamp's fear of flying only began while in the US during the 1994 World Cup, when 2 incidents happened (presumably during different flights): 1. a journalist on the same plane speculated that a delay was due to a bomb being found on board. 2. There was some kind of malfunction during a flight.

I suspect that this began as an extreme reluctance to fly, but soon developed into a complete refusal to get on a plane (but probably not until he'd returned to Europe).
 

Attachments

  • 1394430469400.jpg
    1394430469400.jpg
    14.9 KB · Views: 153
[h=3]Monday, March 10, 10:00 AM MYT +0800 Malaysia Airlines MH370 Flight Incident - 9th Media Statement[/h]It has been more than 48 hours since we lost contact with our flight MH370 from Kuala Lumpur to Beijing.
Despite not being able to establish any positive findings on the whereabouts of the aircraft, Malaysia Airlines has been actively cooperating with the search and rescue authorities coordinated by the Department of Civil Aviation Malaysia (DCA).
DCA has confirmed that search and rescue teams from Australia, China, Thailand, Indonesia, Singapore, Vietnam, Philippines and the United States of America have come forward to assist. We are grateful for these efforts.
Malaysia Airlines' primary focus at this point in time is to care for the families. This means providing them with timely information, travel facilities, accommodation, meals, medical and emotional support. The costs for these are all borne by Malaysia Airlines.
Initial financial assistance has been given out to all families over and above their basic needs.
At least one caregiver is assigned to each family. These caregivers are well-trained staff and volunteers from Malaysia and other organisations.
As of now, there are more than 150 "Go Team" members consisting of senior management and caregivers at Beijing to attend to these families. In Kuala Lumpur, a different group of caregivers are attending to the families' needs.
Families from other nations apart from China have been arriving at Kuala Lumpur since early yesterday. More are expected to arrive today.
Malaysia Airlines is working closely with the government of China to expedite the issuance of passports for the families as well as with the immigration of Malaysia for their visas into Malaysia.
When the aircraft is located, a Response Coordination Centre (RCC) will be activated within the vicinity to support the needs of the families. This has been communicated specifically to the families.
The airline continues to work with the authorities and we appreciate the help we are receiving from all parties and agencies during this critical and difficult time especially the members of the media.
Malaysia Airlines reiterates that it will continue to be transparent in communicating with the general public via the media in all matters affecting MH370.
Malaysia Airlines is similarly anxious and we appreciate the patience, support and prayers from everyone.
 
Updates:

Transport, foreign ministries, civil aviation authorities have 'dropped everything else to focus on MH370,' say Chinese officials -

@STForeignDesk

2min ago
 
Updates:

Transport, foreign ministries, civil aviation authorities have 'dropped everything else to focus on MH370,' say Chinese officials -

@STForeignDesk

2min ago

Hope they will, lets keep praying for the victims wherever they are
 
A military search and rescue ship is seen before departing to search for malaysia airlines flight MH370 at a port in Vietnams Phu Quoc Island
 

Attachments

  • 1394433680971.jpg
    1394433680971.jpg
    83.2 KB · Views: 144
Intensive, round-the-clock efforts by an army of rescue workers from at least seven countries, manning as many as 72 vessels by air and by sea have failed to turn up a single indication that the Boeing B777-200 aircraft carrying a staggering 239 people had crashed.There has been no confirmed signs of wreckage or debris, no distress signal from the aircraft before it lost contact with ground control, and no clear indication that the plane had experienced any technical failure in mid-air.
- See more at: Conspiracy theories abound as search for MH370 enters third day | Malaysia | The Malay Mail Online

MAS_Malaysia-Vietnam_Waters_840_841_100.jpg
 
Back
Top Bottom