Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Hawa wenye "false passport" watakua magaidi bila shaka, raia tu amezamiaje kwenye dege hili lenye ukaguzi wa uhakika?

zinatumika sana ila haijawai tokea,mbona inasemekana kuna waafrika wanamilik pass za tz bt c watz huko China
 
Sasa hapo Mungu kafanya muujiza upi! Kaficha ndege au? Mambo mengine tusimsingizie Mungu

hapo kinachosubiriwa ni Qadar za Mungu,uwezo wa kibinadam na mateknolojia yake ushafikia kikomo,
 
Kiukwei pamoja na technology yao hawajaipata hapo kazi ipo ila itapatikana tu
 
Aisee inanikumbusha ajali moja ya ndege ya AEROFLOT 593 Moscow - Hong Kong flight march 1994 ambapo pilot aliwaruhusu watoto wake in the control cabin na kusababisha ajali abiria wote walifariki
 
Kwa hali hii sasa madege ya kivita yamejipanga kwenye uwanja mkubwa wa beijing na australia kusubiri ripoti wapi ndege ipo waweze kuelekea kuokoa kitakachopatikana japo sasa hali ya joto inaathiri zoezi zima la utafiti, kama kuna nabii wa kweli duniani tunaomba atabiri uelekeo wa hii ndege ilienda wapi?
 
Updates:
Vietnam's search and rescue coordinators in Hanoi say Singapore's search team notified them of a suspicious object floating 100 kilometers south-southwest of Vietnam's Tho Chu island - @WSJ http://online.wsj.com/news

50 min
 
Kuna dalili za matumaini ebu isikie hii news

Updates:

More: Vietnamese forces sent 3 vessels to the site of suspicious floating object; 1st of which is expected to arrive by 7 pm local time - @WSJ http://www.breakingnews.com

56min
 
Updates:

Thailand's PM Yingluck Shinawatra offers 1 vessel and 1 aircraft to aid in the search for missing Malaysia Airlines flight - najibRazak http://www.breakingnews.com

23min
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: prs
Kwa hali hii sasa madege ya kivita yamejipanga kwenye uwanja mkubwa wa beijing na australia kusubiri ripoti wapi ndege ipo waweze kuelekea kuokoa kitakachopatikana japo sasa hali ya joto inaathiri zoezi zima la utafiti, kama kuna nabii wa kweli duniani tunaomba atabiri uelekeo wa hii ndege ilienda wapi?

Tb Joshua kajitokeza nae anadai hiyo ajali aliiona toka 2013, wizi mtupu
 
Updates:

Australian government joins search and rescue mission for missing Malaysia Airlines flight; deploys 2 maritime surveillance aircrafts - @NST_Online http://www.breakingnews.com

13min
 
  • Thanks
Reactions: prs
Tb Joshua kajitokeza nae anadai hiyo ajali aliiona toka 2013, wizi mtupu

Hawa manabii kama kweli Mungu yuko ndani yao leo malaysia na beijing anga na bahari isingekuwa imechafuka kwa vyombo vya hatari na migongano ya hisia kati manahodha, rubani, na viongozi wa nchi na muundaji wa Boeing 777 kuwa ndege hii iko wapi sasa?
 
Ni kweli TB Joshua alishatabiri hii kitu, na alifikisha ujumbe kwa office za ubalozi wa malyasia nchini Nigeria, itakuwa walipuuzia....
 
Jitihada za hawa mabaharia kuelea angani hivi usalama wao uko wapi, ikiwa hali ndo hii kweli hyu nabii hajaonyeshwa tu, au hili ni la Uweza wa Mwenyezi?
 
Attachments

  • 1394365298529.jpg
    1394365298529.jpg
    37.4 KB · Views: 194
Kuna kumbukumbu hapa inaweza ikafanana na tunachokisubiria huko malaysia:

Pan Am Flight 7 (1957)

On Nov. 8, 1957, Pan Am Flight 7 was en route from San Francisco to Hawaii, when it vanished in the Pacific Ocean. The Boeing 337 plane wreckage was found a week later by the Navy aircraft carrier Philippine Sea, which spotted bodies and plane debris floating off course in the ocean northeast of Honolulu.

The cause crash, which killed 44 people, has never been definitively determined. The mystery was exacerbated by the fact that no distress signals were sent and toxicology reports revealed higher than normal carbon monoxide levels in the bodies of recovered passengers.
 
Kwa hali hii sasa madege ya kivita yamejipanga kwenye uwanja mkubwa wa beijing na australia kusubiri ripoti wapi ndege ipo waweze kuelekea kuokoa kitakachopatikana japo sasa hali ya joto inaathiri zoezi zima la utafiti, kama kuna nabii wa kweli duniani tunaomba atabiri uelekeo wa hii ndege ilienda wapi?

tb joshua
 
Ni kweli TB Joshua alishatabiri hii kitu, na alifikisha ujumbe kwa office za ubalozi wa malyasia nchini Nigeria, itakuwa walipuuzia....

lini na wapi.. tb joshua anaropokaga tu
 
Back
Top Bottom