Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

A Vietnamese Air Force officer takes photos from a search and rescue aircraft in the search area for a missing Malaysia Airlines plane, 250 km from Vietnam and 190 km from Malaysia, in this handout photo from Thanh Nien Newpaper taken March 8, 2014.

(REUTERS/Trung Hieu/Thanh Nien Newspaper)
 

Attachments

  • 1394418744184.jpg
    1394418744184.jpg
    17 KB · Views: 175
A helicopter returns after searching for the missing Malaysian jet to Ca Mau Airport in Ca Mau province, Vietnam, March 9, 2014. Vietnamese search and rescue helicopters on Sunday morning found oil slicks stretching 80 meters in waters 150 km off the coast of Vietnam's southernmost Ca Mau province.

Source: (Xinhua/Nguyen Le Huyen)
 

Attachments

  • 1394420324246.jpg
    1394420324246.jpg
    22.8 KB · Views: 173
  • 1394420338559.jpg
    1394420338559.jpg
    12.6 KB · Views: 175
Updates from BBCSwahilinews.com

Ndege ya Malasia iliyotoweka haijapatikana
10 Machi, 2014 - Saa 02:36 GMT

Wakati juhudi za kuisaka ndege iliyopotea ilipokuwa ikisafiri kutoka Malasyia kuelekea Uchina zikiendelea, ndege moja ya Vietnam imeripoti kuwa imeona kitu kinachofanana na mlango wa ndege kwenye ufuo wa bahari ya Kusini mwa Uchina kwenye mwambao wa taifa hilo.Hata hivyo hakuna thibitisho kuwa mlango huo ni wa ndege iliyopotea ya Malaysia, iliyokuwa na abiria mia mbili na thelathini na tisa. Uchunguzi kuhusiana na kilichosababisha kupotea kwa ndege hiyo mapema siku ya Jumamosi, inawalenga abiria wawili wanaodaiwa kuwemo ndani ya ndege hiyo, waliotumia paspoti iliyoibiwa. Stakabadhi hizo mbili za kusafiria kutoka Italia na nyingine Australia inaaminika kuibwa nchini Thailand. Idara ya polisi ya Kimataifa, Interpol, inasema kuwa ni mapema mno kuhusisha pasi zilizoibwa na kutoweka kwa ndege hiyo. Na huku kushughuli za kuisaka ndege hiyo zikiendelea, Msemaji wa shirika la ndege la Malysia amewaambia jamaa ya watu waliokuwemo katika ndege hiyo, kujiandaa kwa taarifa mbaya. Amesema kufikia sasa hakuna mawasiliano yoyote na ndege hiyo masaa 30 sasa tangu itoweke.

Wakuu wa Malysia wanasema jumla ya meli 30 na ndege 44 kutoka mataifa tisa tofauti duniani, yamejiunga katika shughuli za kuitafuta ndege hiyo. Kamanda William Marks wa kikosi cha saba cha jeshi la wanamaji la Marekani, ametuma ndege aina ya USS Pinckney kusaidia katika usakaji huo. ''Jambo la kwanza kufanywa ni kukadiria mahala na kwa sasa tunalenga mawasiliano ya mwisho kutoka kwa ndege hiyo kabla ya kutoweka na mawasiliano ya rada. Kutoka hapo tunahesabu mwendo kasi ya upepo na mawimbi. Kutoka hapo tunagawanya na eneo na tunatafuta kutumia kila kifaa tuliyonayo- na hiyo siyo tu kutumia vifaa kutoka Marekani lakini pia kutumia meli na anga kutoka mataifa mengine ya dunia." Alisema kamanda huyo.

Ameonya kuwa shughuli hiyo ya kutafuta ndege hiyo inakumbwa na changamoto nyingi. Mfano upepo, joto, na mawimbi makali ya bahari.
 

Attachments

  • 1394421124645.jpg
    1394421124645.jpg
    12.7 KB · Views: 189
  • 1394421142864.jpg
    1394421142864.jpg
    61.9 KB · Views: 180
Probability ya ndege kupata ajali ni ndogo saaana kuliko ya mtembea kwa miguu aendaye dukani kupata ajali..so usiogope maana likikukuta angani ujue no way out hata bafuni kifo kingekukuta tu!

Swadakta,
 
Tuendelee kuwa wavumilivu,uwezekano wa ndege hii
kupatikana ndani ya siku mbili hizi ni mkubwa kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na mataifa mbalimbali
 
A relative of a passenger onboard Malaysia Airlines flight MH370 cries as she talks on her mobile phone at the Beijing Capital International Airport in Beijing March 8, 2014.

(REUTERS/Kim Kyung-Hoon)
 

Attachments

  • 1394422218894.jpg
    1394422218894.jpg
    24.5 KB · Views: 159
Nadhani muda si mrefu taarifa za kupatikana mabaki ya ndege hiyo zitatolewa.
 
Hii kitu ni hatari sana...siku ya tatu leo hakuna taarifa sahihi
 
Malaysian authorities say there's still no sign of missing flight MH370, denying reports that a door of the plane has been recovered. 34 aircraft and 40 ships are involved in the search.

11 Min ago
 
yani ndege 34 ziko angani na meli 40 siko baharini na bado hawaioni, aisee hii kitu inachanganya kwa kweli
 
yani ndege 34 ziko angani na meli 40 siko baharini na bado hawaioni, aisee hii kitu inachanganya kwa kweli

Inachanganya kwelikweli!yani mm nawaza je kwa wale ambao ndugu zao walisafiri na hiyo ndege watakuwa wamechanganyikiwaje?so sad!tuzidi kuomba mungu!
 
yani ndege 34 ziko angani na meli 40 siko baharini na bado hawaioni, aisee hii kitu inachanganya kwa kweli

wasi wasi mkubwa kwa sasa ni kuhofia pengine kuna uzembe au njama zilizofanyika airport na labda pengine kuna abiria walioingia na milipuko na labda pengine pia ndege hiyo ililipuka na kuachana vipande vipande ikiwa bado angani.lakini pia kuna taarifa kutoka beijing kwa mmoja wa ndugu wa wahanga akisema kuwa anajaribu kupiga simu ya ndugu yake inaita tu bila kupokelewa.so,haya ni maajabu ya dunia
 
Sijawahi kuona nchi ina watu mabumunda kama malaysia...siku ya tatu hawana clue nini kimetokea .?mxxxxxx wanaudhi na kukera sana
 
Back
Top Bottom