Ndege ya Jeshi yaanguka airport Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya Jeshi yaanguka airport Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by doup, Feb 25, 2011.

 1. doup

  doup JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  wadau nimesikia kuna ndege ya jeshi leo mchana imeanguka baada ya kushindwa kutoa matairi wakati wa kutua na kuangukia tumbo; wanajeshi wachache waliokuwemo humo wameumia. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mdau chuo cha zima moto na uokozi;
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh bora haikuangukia kwenye makazi ya watu
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  yaani ni bora haikufanya hivyo.....maana sasa vitu vya jeshi letu hatuna imani navyo tena.....ila belly landing hutokeaga kwa ndege nyingi zenye kutoa matairi
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hata kama ni ajali,hili tunaliunganisha kwenye 'doa' jingine kwa JWTZ na wizara husika.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahah haha umenichekesha na Belly landing haha hahaaa
  Siku hizi tukiona ndege kwenye makazi tutaanza ogopa
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  mmh, hizi dalili si njema sana kwa nchi....haya tufanyeni tu utani
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  bora uogope kabla....ili ikibidi kuogopa uwe umeshaogopa tayari.....hihihihi...
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kunashemeji yangu alikuwa dafur kulinda amani na alitarajiwa kurudi this week, ngoja nimcheki isijekuwa ndo ile iloenda kuwafuata!
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mkuu....hii ya ndege kufanya hivyo huwa inatokea kwa ndege nyingi tu za mtindo huo...
  so hapa suala la usalama wa nchi sizani kama linahusika sana
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  ndege za JW NI mchina zote, hivyo tegemea matatizo ya hivyo anytime. na bahati mbaya zote zinakuja zikiwa ZIMEPIGWA RANGI kama mpya, kumbe ni za 1947.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hehehe....au rubani alitakiwa aelekee 09 yeye akaenda 27.....si nilisikia hawako makini?....hihihihi......JW bana
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kama hizi taarifa ni kweli,basi kwa jinsi hali ya jeshi letu ilivyo-hasa upande wa air wing-tutegemee mengi zaid ya haya-maana ndege zetu ni za zamani sana-chek hii

  A few of the Tanzanian air wing's transport remain serviceable. However, its Shenyang F-5s, and Chengdu F-7s are reported to fly rarely because of airworthiness problems Tanzania's long coastline means that transports are also used for patrol flights.


  In Tanzania, early 1980s; Contrary to what is usually reported, Tanzania never purchased any J-7Is from China. Instead, the Jeshi La Wananchi La Tanzania (Tanzanian People's Defence Force Air Wing, TPDF/AW) was given 14 MiG-21MFs and two MiG-21Us by the USSR in 1974.

  Many of these were lost in different accidents due to the poor training, and two were said to have been lost when their pilots defected. Nevertheless, the few surviving examples took part in the war against Uganda, in 1978-1979, when they saw much action, even if one was shot down in a case of fratricide fire (it was lost to SA-7s fired by Tanzanian troops).  The Tanzanian Army captured seven MiG-21MFs and one MiG-21U trainer from the Ugandan Air Force, as well as a considerable amount of spare parts. All of these were flown out to Mwanza AB, to enter service with the TPDF/AW. In 1998, Tanzania purchased four additional MiG-21MFs from the Ukraine, but these were reportedly in a very poor shape, and not used very often.

  Meanwhile, in 1980, an order for 10 F-7Bs and two TF-7s was issued to China, and in 1997 also two F-7Ns were purchased from Iran, together with four ex-Iraqi Air Force transports of an unknown type. Today, no Russian-supplied MiG-21s remain in service with the TPDF/AW, and only three or four F-7s remain operational. The TPDF/AW MiG-21MFs are now confirmed to have carried serials - in black or green - underneath the cockpit, but no details about these are known.
  [FONT=&quot]
  Source-Tanzania People's Defence Force [/FONT]
   
 13. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli Preta, na hali hiyo huitwa belly landing.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  vifaa vya jeshi vimechoka jamani hadi mabmu yao yote
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ama kweli kua uyaone:
  Miaka kati ya 70-80 nakumbuka nikiwa mdogo hadi naingia shule ya msingi, Jeshi letu lilikuwa madhubuti saaana kupita maelezo.

  Jeshi enzi hizo, lilikuwa na wanajeshi shupavu, wenye misuli na warefu.

  Jeshi pia lilikuwa na vifaa vingi, km magari, Ndege n.k.

  Jeshi lilikuwa likiendehs Hospitali zake karibu katika kila Kambi yake na tena dawa zilikuwa zinapatikana bureeee. Madaktari wa jeshi walikuwa wanaaminika sana kwa kuchapa kazi.

  SASA JESHI LA LEO

  Jeshi la sasa limeingiliwa na maradhi ya mdondo! Nathubutu kusema hivi sababu hao wanajeshio wenyewe ukiwaon utawaonea huruma:

  Yaani MICHANGANYO KALETE!- humo wamo Mbilikimo, kina magagula, kina yomba yomba, kina tendegu, kina YAHEEEEE n.k

  HAPA NAONA KICHEFU CHEFU TU.

  Halafu wengi wao wagumu kishenzi kuelewa, wakikomalia jambo ndio hilo hiloooo mpaka kunakucha.

  Jeshi halina vifaa na wanajeshi wanaishi URAIANI, hii si aibu?
  Hospitali za jeshi nyingi zimezimika kama mshumaa!

  Jeshi limekuwa shabiki wa chama tawala na viongozi wake!

  Wanaofaidi ni wale wakubwa tu wa chini kazi yao kwata na sherehe za kitaifa, jasho linawatoka na wanaambulia soda au chupa ya maji tu.

  nadhani imefika wakati kujifunza na kurudisha heshima ya jeshi letu.
  Tuwe na jeshi dogo lenye nidhamu na la wasomi na siyo kuona kama jeshini ni sehemu ya kuajiri mtu yeyote hata kina CHAKUBIMBI!
   
 16. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mara nyingi huwaga inaanza na bum landing then converted to belly landing!
   
 17. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama anaweza kuwepo nina best friend yupo UN, wao huwa wanatumia ndege za commercial
   
 18. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Poleni, kwanini asingerudi hewani baada ya kuona magurudumu hayatoki?
   
 19. d

  dee Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI HIVI MPAKA RAIS WA MAJARIBIO AONDOKE unless otherwise
   
 20. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama hali hii ni ya kweli inatisha. Inawezekana kabisa kuwa Rwanda leo waki-mount attack on Tanzania wanaweza kuiteka ardhi yetu. Kutokana na jinsi hali ilivyo ovyo, ninawasiwasi sana na uslama wa nchi yetu.
   
Loading...