Eman Abiud
Member
- Apr 10, 2014
- 37
- 10
Wewe ni rubani?
Ndege ilitua saa 15:19 ilishindwa kutua kwa wakati kutokana na upepo mkali uliodumu kwa takriban dakika 15.Jamani eeeeh.., kwa wale mliokuwepo jana airport JNIA ama kupokea wageni waliokuja kwa Emirates au wafanyakazi wa airport, au abiria yeyote aliyekuwepo ndani tuambieni basiii ndege ilitua jana jioni ama haikutua?? Na tatizo lilikuwa nini? Ili kukate mzizi wa fitna
wewe ulikuwa ni cabin crew
haya hebu tueleze kwa mfano kukiwa na suala kama hili nyinyi huwa mnaambiwa nin na je kwa nin Emirates haitoa passenger anouncement kwa kiswahili ???
Mkuu kuna hii ndege ya Ethiopia ambayo mara nyingi abiria wote ni wa Tanzania lakini PA zao huwa ni za Kiamharic na english kwa nin wasitumie kiswahili badala ya kiamharicUkiwatangazia abiria kila kitu wapo watakao panic na kusababisha madhara zaidi,mpaka watangaze ujue mambo ni magumu sana lakini kwa issue zinazowezekana kama hizi mambo yanamalizwa kimyakimya,mawasiliano ya simu pamoja na sign zinatumika kama mambo haya yakitokea,Kuhusu kutotumia lugha ya kiswahili Emirates inakwenda zaidi ya miji 125 kila siku kutokea Dubai hivyo ukitaka kila mji itumike Lugha yake itakuwa ngumu kidogo.Cabin crew ni kazi ngumu si nyepesi kama wengi wanavyofikiri ndio maana malipo yake ni mazuri japo yana risk kubwa,kwa sasa Emirates wanalipa $1200 basic na $25 kwa kila saa unapokuwa angani,mfano Dubai -USA ni masaa 12 pamoja na kurudi ni 24×$20 ni $480 kwa mwezi cabincrew mzuri anawezapiga $4500 kulala,matibabu,mikopo pamoja na discount kwenye hotels na malls nk.
Mkuu kuna hii ndege ya Ethiopia ambayo mara nyingi abiria wote ni wa Tanzania lakini PA zao huwa ni za Kiamharic na english kwa nin wasitumie kiswahili badala ya kiamharic
mkuu watu tunachokataa si kwamba haiwezekani ndege kufail kutoa tairi ..ila kwa mazingira ya hii habari ilivyo ndio kinachotupa shida! mtu tu yupo airport kaona ndege inapaa hajaona tairi za nyuma basi aseme ndege imeshindwa kutua sababu ya tairi..!!?? unajua ni process ndefu sana mpaka ifikie ndege imeshindwa kutua sababu ya tairi na ndege haiwezi kuruhusiwa kutua kizembezembe tu airport kwa matatizo kama haya..na sistoshe kuna vielelezo vyote hapo juu kuwa ndege kubwa huwa inaanza kutoa tairi zake ikiwa bado ipo juu na umbali wa kutosha kutoka airport( mara nyingi hata kabla haijaanza kuonekana from airport kwa macho) na ikitokea kuna tatizo kwenye tairi si rahisi pilot akaanza kutua hivyo hivyo afu then hatua za mwisho kabisa karibu na airport ndo ahairishe??Ata mimi nashangaa ubishi huu,maana nime attach mpaka video za ndege zilizo fail kutoa tairi lakini jamaa bado wanabisha,failure hizi utokea sana niliziona sana nilipokuwa Emirates Cabin crew.Airline pia utumia pesa nyingi kuzima ajari ndogondogo zinapotokea ili wateja wasione tatizo kwenye airline zao,mfano kwa sasa hakuna mtu anayetaka kupanda Malaysia Airline maana mambo yao yapo wazi.Nakumbuka kuna siku Emirates tulishatua baharini lakini walitumia pesa nyingi sana kuizima ile issue.
Hata mimi nashangaa watu wanabishana lakini hawasemi kama ndege hiyo ilitua au bado iko angani maana kama tairi hazitoki ni lazima itue kwa kuburuza tumbo na matokeo yake ni kulipuka! Iko wapi hiyo ndege jamaniii?Isije kuwa kama ile ya Malaysia ambayo mpaka leo ipo angani lakini haijulikana ni anga lipiKwa mabishano haya Nadhani hii ndege bado iko angani aisee
Hata mimi nashangaa watu wanabishana lakini hawasemi kama ndege hiyo ilitua au bado iko angani maana kama tairi hazitoki ni lazima itue kwa kuburuza tumbo na matokeo yake ni kulipuka! Iko wapi hiyo ndege jamaniii?Isije kuwa kama ile ya Malaysia ambayo mpaka leo ipo angani lakini haijulikana ni anga lipi
Sidhani landing gear iligoma Kama unavyosema matairi hutolewa mbali kabla hata ndege haijaikaribia runway, inawezekana ilikuwa ni crosswind na Hali hiyo ikitokeapilot anaweza abort landing hata Kama ndege ilishagusa runway believe that.
Kama Air Tanzania ingekuwa inakwenda USA au popote kule lugha zingekuwa mbili Kiswahili(lugha mama ya airline)na English ata kama hakuna abiria mswahili.Kutumia lugha yako ni moja ya njia ya kutangaza,utalii + culture yako.
sasa hizo FT 35000 to 40000 kuna O2 kweli?km hamna kwanini abiria hawafi?
Hembu tuangalie hapa,iende chini halafu irudi juu,kweli?
View attachment 183264
Halafu angalie anga ambalo aliloanza kutoa tiiri kwa ukubwa wa ndege yenye(AIRBUSES)
View attachment 183265
Ifahamamike kwamba endapo kama inatokea Zanzibar basi ni muda wa chini ya 18 minutes tu.
Sasa ndio najiuliza kasi hii na kutoa tairi kwa kubahatisha anakosema mkuu ndio tatizo.
The issue ni kwamba kadakia habari na hajaona wewe.Unajua ukiwa mkweli kwamba nimepata habari kutoa Airport sio kwamba utamchongea rafiki yao alikupa habari.
We angalie hata wengine walivyopost kwamba kuna kitu nimepata taarifa kadha wa kadha then watu tunajua kwamba jamaa wengine watatujuza.
Sasa yeye anasema ameshuhudia,duhh hapo ndio tatizo
labda angekuwa huyu
View attachment 183273View attachment 183274
swssssawswsassqssIn aviation , a touch-and-go landing or
circuit is a maneuver that is common
when learning to fly a fixed-wing
aircraft. It involves landing on a runway
and taking off again without coming to
a full stop. Usually the pilot then
circles the airport in a defined pattern
known as a scircuit and repeats the
maneuver. This allows many landings to
be practiced in a short time.[1]
If the pilot brings the aircraft to a full
stop before taking off again then it is
known as "stopwSzsazaza-zwaszand-go".
In aviation , a touch-and-go landing or
circuit is a maneuver that is common
when learning to fly a fixed-wing
aircraft. It involves landing on a runway
and taking off again without coming to
a full stop. Usually the pilot then
circles the airport in a defined pattern
known as a circuit and repeats the
maneuver. This allows manyztwdtseffatffftdfef landings to
be practiced idn a short time.[1]
If the pilot brings the aircraft to a full
stop before taking off again then it is
known as "stop-and-go".
wUnaleta utani
mambo mengine tumekaa kiubishi tu,ku abort landing mbona ni kitu cha kawaida?ni kwa kuwa tu matukio haya huwa hayawekwi sana kwenye habari ndo maana tunaona ni kitu cha ajabu cha kubishania.rubani anaweza kuabort landing kwa sababu nyingi tu.naweza kupa mfano halisi,mwaka jana mwezi wa tisa tarehe za kati kati kama sikosei,fastjet ili abort landing mwanza airport.mvua ilikuwa inayesha sana tu mwanza,dk kama ishirini kabla tulikuwa tushatangaziwa kufunga mikanda kwa ajili ya kuland,tulikuwa tumeshashuka chini sana japokuwa kutokana na mvua hata uangalie dirishani ilikuwa ni vigumu kuona chini,but with no tym captain alichochea kurudi juu.hii ilifanya kijana mmoja aliyekuwa amekaa pembeni yangu kuanza kutaharuki,akaanza kuuliza kwa sauti kwanini tunarudi juu?(alikuwa amekaa pembeni yangu tukiwa tumetenganishwa na njia.yeye kushoto mimi kulia0.akahamaki akawa anataka kunyanyuka kwenye kiti,akidai kuwa yeye amesoma sana kuhusu ajali za ndege,ndege nyingi huanguka wakati wa kutua.nikamtuliza nikamwambia kwani hakusikiliza maelekezo kabla hatujaondoka dar?kama kuna tatizo(emergency) si tutaambiwa?ndipo kijana mwenzangu akatulia.BUT wakati tunarudi juu ndio tulifanikiwa kujua kuwa tulikuwa tunakama dk 3 hivi tutouch down.so tulirudia upya landing.KUHUSU NDEGE KUFELI KUTOA MATAIRI(LANDING GEAR) NI COMMON ISSUE,NDEGE INARUKA FT 35000 AU HATA 40000 KUTOKA USAWA WA BAHARI,INAKUTANA NA DIFFERENT AIRMASSES NA TEMPS,KUNA TABULANCES ETC,SO NA YENYEWE KUPATA DEFECTS NI KITU CHA KAWAIDA KABISA.NI KAMA VILE GARI LINAVYOKUTANA NA MILIMA NA MABONDE NA LINAWEZA KUPATA HITILAFU,HADI RUBANI ATANGAZE KUTUA KWA DHARURA UJUE KAJARIBU MBINU ZOTE NA ZIMEKWAMA.HABARI HIZI HUWEZI KUKUTA UNAWEKEWA MAGAZETINI KILA SIKU,NI VITU AMBAVYO VINARECODIWA NA WAHUSIKA.HII NI INCIDENT NDOGO TU KATIKA MENGI YANAYOTOKEA KATIKA NDEGE