Ndege ya Emirates imegoma kutoa matairi ya nyuma

Ndege ya Emirates imegoma kutoa matairi ya nyuma

Nisaidieni mnaofahamu, Hivi rubani anajuaje kama tairi zimetoka ama bado ?
 
Nisaidieni mnaofahamu, Hivi rubani anajuaje kama tairi zimetoka ama bado ?

Dash Board inamwonyesha kila kitu kilichopo kwenye ndege,ata kama abiria hajafunga mkanda itaonyesha.

th
 
Mimi ndo nilishuhudia ikiwa inataka kutua but sikuoma matairi ya nyuma nikaona rubani kaongeza thrust ya engine kitu kikaanza kupaa juu hayo ndo niliyoyaona so sijui why aliamua kuahirisha kutua nawasilisha
 
Kimsingi uwezekano wa ndege kufail kutoa taili ni mdogo sana kwa ndege za kisasa. Kuna back systems kama tatu hivi(HYDRAURIC, ELECTRICAL NA MECHANICAL). Ndege nyingine pia zina manual back up in case hydraurical, electrical na mechanical zina fail
 
Nisaidieni mnaofahamu, Hivi rubani anajuaje kama tairi zimetoka ama bado ?

Kwenye chumba cha marubani kuna kitu kinaitwa instrument panel ambayo ni sawa kama dashboard kwenye gari. Hapo kuna kila kitu kinacho muwezesha rubani kuendesha ndege,ikiwa kuna tatizo kwenye mfumo wowote ndani ya ndege, ikiwemo hiyo ya matairi kugoma kutoka yote tayari kwa ndege kutua, basi rubani atagundua kupitia hiyo panel, sababu hakuna yeyote ndani ya ndege anayeweza kuchungulia kama yametoka au la.Na vilevile hata kama matairi yote yametoka bado haitoshi. Yanatakiwa yawe yame "ji-lock" sawa sawa ili kuweza kuhimili mikiki mikiki pamoja na uzito wa ndege yenyewe baada kugusa ardhi.yote hayo pamoja na mengine mengi tu rubani anapata information kupitia sensors mbalimbali zilizopo kila kona ya ndege na zinapeleka habari kwenye hiyo instrument panel. Hope imesaidia.
 
Usipost kitu ukama unauhakika 100% kumbe sio,tatizo haikua matairi but hali ya hewa ilkua mbaya na upepo ulkua mwingi sana so akaamua ku hold juu had hali ilipotulia akatua
 
Sio rahisi mtu aliye nje ya ndege kujua ndege imeshindwa kuland coz ya ma tairi hasa boing, ndege inapokaribia kutua uwanja wa dar abiria hujulishwa, kufunga mikanda na kubaki Ktk viti vyao kwa Muda wote ambao ni Kati ya dk 30 -45, wakati huo ndege huwa bado inazunguka Baharini Kati ya dar na Zanzibar , pilot anapopewa go ahead na control tower then uchukua mweleo akiwa baharini na kisha kufungua matairi kisha uzikunjua/ huziongezea upana mbawa za ndege kisha uzikunja kwa nyuma , then uanza kuingia eneo la nchi kavu akiwa fullmziki mpaka atapokanyaga running trucks
 
Wamkoani mnatabu sana.
Kuamini na maelezo ni vitu tofauti sana.
Umbali wa ndege kubwa kama Emerate ni lazima tairi zitolewe ikiwa umbali mkubwa sana,sasa mtoa habari anasema ameona inarudi angani,hapa ndio napata tabu.
Mleta uzi angesema ameambiwa na sio kuwa maeona,maana anajichanganya,huwezi kuwa uwanjani au karibu yake ukaona eti inarudi angani kisa tairi hazikutoka.
Ukiambiwa changanya na akili zako.

Hivi watu wa mkoa wa Dar es Salaam wote wanajua namna kila aina ya ndege inavyotua na kupaa?
 
Nimeishuhudia ndege hiyo ikiwa imejiandaa kutua hivi punde ktk uwanja Mwl Nyerere imebidi rubani airudishe tena hewani.

iliwah kunitokea mara 2 ya kwanza ilikuwa ni emaretes ila haikushindwa kutoa tairi ilishuka kabisa mpaka ikagusa chini kulikuwa na mvua so nafikiri kama pilot alikosea tageti cjui coz ilivyofika chini aliikoleza spidi tena halafu ikapaa hapo hapo nyerere airport tukaenda tena mpaka zanzibar ndio ikarud kutua salama. ya pili ni KQ ilitoka kenyata airport ikaruka tulikuwa tunaelekea hong kong. imefika guba ya aden kama yemen ruban anatangaza ndege inatakiwa irud Nairobi inatatizo. tukarud muda wa lisaa na nusu kukaribia ruban kachomoa tairi ndege ikakataa tulizunguka pale anga ya kenyata lisaa na nusu tena broda ndio ikaja kufunguka tukashuka lakin nikawa nimepingukiwa kilo nne kwenye ndege watu walikuwa wamechanganyikiwa ila tumefika chini salama wakatupa ndege nyingine kutubadilishia. nilikataa mimi nakalala Nairobi kesho yake nikapanda gari ya scandnavia niashukia moshi nikaenda kula machalari na mama kijijini wiki ndio nikaja dar.
 
Hiyo ndege ya Emirates moja niliiona jana mitaa ya Tabata Kimanga ikipiga misele kiasi cha maandishi yake kusomeka kabisa, ilikuwa inaelekea kaskazini mashariki.
 
iliwah kunitokea mara 2 ya kwanza ilikuwa ni emaretes ila haikushindwa kutoa tairi ilishuka kabisa mpaka ikagusa chini kulikuwa na mvua so nafikiri kama pilot alikosea tageti cjui coz ilivyofika chini aliikoleza spidi tena halafu ikapaa hapo hapo nyerere airport tukaenda tena mpaka zanzibar ndio ikarud kutua salama. Ya pili ni kq ilitoka kenyata airport ikaruka tulikuwa tunaelekea hong kong. Imefika guba ya aden kama yemen ruban anatangaza ndege inatakiwa irud nairobi inatatizo. Tukarud muda wa lisaa na nusu kukaribia ruban kachomoa tairi ndege ikakataa tulizunguka pale anga ya kenyata lisaa na nusu tena broda ndio ikaja kufunguka tukashuka lakin nikawa nimepingukiwa kilo nne kwenye ndege watu walikuwa wamechanganyikiwa ila tumefika chini salama wakatupa ndege nyingine kutubadilishia. Nilikataa mimi nakalala nairobi kesho yake nikapanda gari ya scandnavia niashukia moshi nikaenda kula machalari na mama kijijini wiki ndio nikaja dar.

poles sana mkuu du mimi naamini ningezimia kabisa.
 
Hebu nami nitoe ushamba hapa.Eti yakiachwa (matair)Mwanzo wa root mpaka mwisho wa Root.kitu gani kitakachotokea??
A)Yatakatwa na mawingu?
B)Gris itayeyuka kwa upepo?
C)Moja likilegea linaweza likachomoka na kusabisha Maafa kwa Abiria na yule litakae mkuta chini?
chris mushendwa, MASTER P,
Polisi
msaada,mnipunguze ujinga kidgo,kwny maswala ya boeing.
 
Last edited by a moderator:
Au atakuwa ameiona inaruka tena in opposite direction maana mara nyingi huwa inaruka kutokea usawa Gongolamboto kuelekea town na kutua inakuwa opposite hivyo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa imeruka upande mwingine akaona kitu kimeibukia gongo la mboto huku matairi ya nyuma yameshaingia ndani kabla ya mbele nalo zamu yake kufika, Emirate si huwa inaruka mida ya alasiriji kweli kama sikosei

Sidhani landing gear iligoma Kama unavyosema matairi hutolewa mbali kabla hata ndege haijaikaribia runway, inawezekana ilikuwa ni crosswind na Hali hiyo ikitokea pilot anaweza abort landing hata Kama ndege ilishagusa runway believe that.
 
Hebu nami nitoe ushamba hapa.Eti yakiachwa (matair)Mwanzo wa root mpaka mwisho wa Root.kitu gani kitakachotokea??
A)Yatakatwa na mawingu?
B)Gris itayeyuka kwa upepo?
C)Moja likilegea linaweza likachomoka na kusabisha Maafa kwa Abiria na yule litakae mkuta chini?
chris mushendwa, MASTER P,
Polisi
msaada,mnipunguze ujinga kidgo,kwny maswala ya boeing.

Hakuna madhara yoyote. Mfano ndege zile ndogo ndogo kabisa zinazofanya safari fupi huwa hazina uwezo wa kuingiza matairi yake ndani. Ni masuala tu ya kiufundi zaidi ila kikubwa nachofahamu mie ni kuwa iligundulika kuwa ni vizuri zaidi ama kuna faida ndege (hasa ndege kubwa) kusafiri ikiwa imeyaingiza matairi yake ndani kuliko kuyaacha yamening'inia. Yakiwa nje ndege inapokata upepo,(kumbuka ndege kubwa huwa na magurudumu mengi zaidi kushinda ndege ndogo), mfumo wa matairi yanaongeza kitu kinaitwa "drag",ambayo ni nguvu inayokinzana na ile nguvu nyingine (thrust), inayotolewa na injini inayoisukuma ndege kwenda mbele, hivyo kuilazimu ndege kutumia nguvu za ziada kidogo, hii maana yake ni kwamba kunakuwa na gharama zaidi kwa upande wa consumption ya mafuta kuliko kama ndege ikisafiri matairi yakiwa ndani.
 
Unaleta utani
 
who are you master p?a pilot or what,....i like your flights knowledge although i hav my doubts
 
Sio rahisi mtu aliye nje ya ndege kujua ndege imeshindwa kuland coz ya ma tairi hasa boing, ndege inapokaribia kutua uwanja wa dar abiria hujulishwa, kufunga mikanda na kubaki Ktk viti vyao kwa Muda wote ambao ni Kati ya dk 30 -45, wakati huo ndege huwa bado inazunguka Baharini Kati ya dar na Zanzibar , pilot anapopewa go ahead na control tower then uchukua mweleo akiwa baharini na kisha kufungua matairi kisha uzikunjua/ huziongezea upana mbawa za ndege kisha uzikunja kwa nyuma , then uanza kuingia eneo la nchi kavu akiwa fullmziki mpaka atapokanyaga running trucks

mambo mengine tumekaa kiubishi tu,ku abort landing mbona ni kitu cha kawaida?ni kwa kuwa tu matukio haya huwa hayawekwi sana kwenye habari ndo maana tunaona ni kitu cha ajabu cha kubishania.rubani anaweza kuabort landing kwa sababu nyingi tu.naweza kupa mfano halisi,mwaka jana mwezi wa tisa tarehe za kati kati kama sikosei,fastjet ili abort landing mwanza airport.mvua ilikuwa inayesha sana tu mwanza,dk kama ishirini kabla tulikuwa tushatangaziwa kufunga mikanda kwa ajili ya kuland,tulikuwa tumeshashuka chini sana japokuwa kutokana na mvua hata uangalie dirishani ilikuwa ni vigumu kuona chini,but with no tym captain alichochea kurudi juu.hii ilifanya kijana mmoja aliyekuwa amekaa pembeni yangu kuanza kutaharuki,akaanza kuuliza kwa sauti kwanini tunarudi juu?(alikuwa amekaa pembeni yangu tukiwa tumetenganishwa na njia.yeye kushoto mimi kulia0.akahamaki akawa anataka kunyanyuka kwenye kiti,akidai kuwa yeye amesoma sana kuhusu ajali za ndege,ndege nyingi huanguka wakati wa kutua.nikamtuliza nikamwambia kwani hakusikiliza maelekezo kabla hatujaondoka dar?kama kuna tatizo(emergency) si tutaambiwa?ndipo kijana mwenzangu akatulia.BUT wakati tunarudi juu ndio tulifanikiwa kujua kuwa tulikuwa tunakama dk 3 hivi tutouch down.so tulirudia upya landing.KUHUSU NDEGE KUFELI KUTOA MATAIRI(LANDING GEAR) NI COMMON ISSUE,NDEGE INARUKA FT 35000 AU HATA 40000 KUTOKA USAWA WA BAHARI,INAKUTANA NA DIFFERENT AIRMASSES NA TEMPS,KUNA TABULANCES ETC,SO NA YENYEWE KUPATA DEFECTS NI KITU CHA KAWAIDA KABISA.NI KAMA VILE GARI LINAVYOKUTANA NA MILIMA NA MABONDE NA LINAWEZA KUPATA HITILAFU,HADI RUBANI ATANGAZE KUTUA KWA DHARURA UJUE KAJARIBU MBINU ZOTE NA ZIMEKWAMA.HABARI HIZI HUWEZI KUKUTA UNAWEKEWA MAGAZETINI KILA SIKU,NI VITU AMBAVYO VINARECODIWA NA WAHUSIKA.HII NI INCIDENT NDOGO TU KATIKA MENGI YANAYOTOKEA KATIKA NDEGE
 
Back
Top Bottom