Nimeishuhudia ndege hiyo ikiwa imejiandaa kutua hivi punde ktk uwanja Mwl nyerere imebidi rubani airudishe tena hewani
Mie najua tairif huwa zinatolewa umbali mrefu kabla ya kukaribia hata uwanja,sasa wewe umejuaje kwamba umegoma na imerudia hewani.
Ndege huwa hutoa matairi yake ikiwa mbali sana kabla ya kutua, tena kabla hata haijashuka kwenye landing zones, siamini kuwa ilitaka kutua then ikarudi juu ghafla kwa sababu ya matairi kugoma...,
Mie najua tairif huwa zinatolewa umbali mrefu kabla ya kukaribia hata uwanja,sasa wewe umejuaje kwamba umegoma na imerudia hewani.
Wewe unahoji authenticity ya info kwa maana huamini ama?
Safii, nlitaka kumwambia hiki hiki. Hatukatai kuwa ndege imerudi hewani lakini kwa yeye kujua tatizo ni kushindwa kutoa matairi ni ngumu sana.Mie najua tairif huwa zinatolewa umbali mrefu kabla ya kukaribia hata uwanja,sasa wewe umejuaje kwamba umegoma na imerudia hewani.
Taratibu mnaanza kutoka nje ya mada
Pilot lands plane without wheels - YouTubeMimi nimeshuhudia mara kibao ndege ikiingia mjini/karibu na uwanja na bado haijafungua matairi. Ikikaribia ndio hufungua then kushuka/kutua. So kama mleta uzi alivyotoa taarifa, it happens.